Nyimbo 15 bora za HIP HOP kati ya 2000 na 2010

Nyimbo 15 bora za HIP HOP kati ya 2000 na 2010

15. Dar-Es-Salaam stand up -chid benz
14.Anakuja - Sister P
13. Hayakuhusu - Rah P
12. Stimu zimelipiwa -Joh makini
11. Bila sanaa -Imamu Abbas ft Juma nature.
9. Ni hayo tu - Fid q
10. Wauguzi -Wagosi wa kaya
9. Propaganda -Fid Q
8. Mchizi wangu remix.
7. Ukisikia paa remix - Jcb ft Jay moe & Fid q
6. Mtazamo - Afande ft sollo & prof J
5. Mwanza - Fid Q
4. Ndiyo mzee & Kikao cha dharura -Prof J.
3. I'm Proffesional - Fid Q
2. Alikufa kwa Ngoma - Mwana FA
1. Darubini -Afande selle.

Nyimbo nyingine 5 za bonus ni;

Maisha ya boarding - Jay mo
Binti mlokole - Suma G
Asali wa moyo -Inspector Haroun
Kighetogheto -Juma nature
Mkuki moyoni -Afande selle

Vigezo nilivyotumia ni
. Ujumbe wake ulivyopokelewa katika jamii
. Durability
. Flow
. Production ( vocal, mixing and mastering)
. Upekee wa wazo (idea)
. Zikipigwa leo club lazima watu waamke.
Binti Mlokole sio Suma G ni Father G
 
Wewe Uliyeleta Huu Uzi Kwa Sasa Utakuwa WCB Yaani Hujui Mziki![emoji1][emoji1]Umeacha Mapini Nomaaaaa
 
Mbele kwa mbele - Dj Yusuph
Mtoto wa kiume - Geez mabovu
Nilipotoka - Geez Mabovu ft. Joh makini
Mimi - Fid Q, Geez Mabovu, JayMoe
Cheza kwa step - Jaymoe ft. Ngwair
Ghetto langu - Ngwair
Speed 120 - Ngwair ft. Chid Benz
Umenisoma - Chid Benz
Hao - Joh Makini
Ndo zetu kuwakilisha - Nako 2 Nako
Mchizi wangu - Nako 2 Nako
Niaje - Mandojo,Domokaya ft. Nature
Dingi- Mandojo ft Domokaya
Trafiki - Wagosi wa Kaya
Mtazamo - Solo thang, Prof Jay ft. Afande sele
Mkasa wa boss - Ferouz ft Solo Thang
Barua- Daz Nundaz
Safari - Ferouz
Kamua baba - GWM
Machoni kama watu - AY ft. Jaydee
Inategemea na mtu - AY
Bado Nipo nipo - Mwana FA
Alikufa kwa ngoma - Mwana Fa
Jukumu letu - Mwana FA ft Prof Jay
Umri - TMK
Brotherman - Juma Nature
Ya leo kali - GWM
Hatuna Kitu - Rich One ft. Nature
Sijutii - Joh Makini
Msela - Ngwair ft. Juma nature
Bongo dsm - Prof Jay ft. Lady Jaydee
Nikusaidiaje - Prof Jay
Nangatuka- Prof Jay
Tshirt na Jeans - University Corner
Nipo bize - jafarai ft. Daz baba
Namba 8 - Fid Q ft. Daz baba
Wife - Ngwair ft. Daz baba
Ugali - Sir Nature
Naomba unipende kama nilivyo mi mselaaa, usiniacheee!! -- Hii alieimba simjui ila bonge la pini nalo.

Zipo nyingi sana yani hizo baadhi tu.
 
Wewe kweli mwehu, nakshi nakshi, mac muga zaidi yako, ulikuwa unafananisha na ngoma gani kipindi kile
Nilijua lazma mje wafia chama. Ila ukweli ndio huo. jamaa yenu mziki ulimshinda enzi hizo. Hadi akaja kufufuliwa na Man Walter. kwa hizo nyimbo za njiwa peleka barua labda ulikua unasikiliza wewe tu.
 
Nilijua lazma mje wafia chama. Ila ukweli ndio huo. jamaa yenu mziki ulimshinda enzi hizo. Hadi akaja kufufuliwa na Man Walter. kwa hizo nyimbo za njiwa peleka barua labda ulikua unasikiliza wewe tu.

Sa wewe ulizijuaje kama ulikuwa husikilizi, ur too young to argue
 
Sa wewe ulizijuaje kama ulikuwa husikilizi, ur too young to argue
Kubali ukweli man. Enzi hizo bwanaharusi alikua mtu wa kawaida sana. Hata akitoa nyimbo watu walikua wanamwona wa kawaida sana.Sio tu wakawaida hata uwezo wa kupambambana na hivyo vichwa alikua hana. Enzi hizo kuna Mtu kama Ay kila siku alikua anapambana kuipeleka Bongo Flavour mbali.
 
Huwezi elewa coz unaongelea enzi ambazo akili zako zilkuwa bado. Unaikumbuka project ya one 8? Ilikuwa mwaka gani na tanzania iliwakilishwa na nani na R kelly alisemaje?
 
Kubali ukweli man. Enzi hizo bwanaharusi alikua mtu wa kawaida sana. Hata akitoa nyimbo watu walikua wanamwona wa kawaida sana.Sio tu wakawaida hata uwezo wa kupambambana na hivyo vichwa alikua hana. Enzi hizo kuna Mtu kama Ay kila siku alikua anapambana kuipeleka Bongo Flavour mbali.

And certainly, their single incorporates each of the member’s distinct talents. With Nigerian R&B singer 2Face, Tanzanian crooner Ali Kiba, DR Congo singer Fally Ipupa, hip-hop trio 4×4 from Ghana, rapper Movazhaleine of Gabon, Zabian singer JK, Ugandan rapper Navio and R&B singer Amani from Kenya, ONE8 brings a unique and modern sound that is distinctly African.

Alafu unasemaje Ali kiba alikuwa underground?
 
Baada ya hapo toa project nyingine aliyofanya Man. Alafu man mm sio mtoto. Bongo Flavour naijua toka enzi za Sugu naifatilia. Hiyo project aliwakilisha nchi haina ubishi. Ila bado hakuweza kushindana na Kina Ay, Fid Q, Prof j,Ngwea na wengine wengi. Mfano mdogo Navio aliwakilisha Uganda, je Navio alikua juu kuliko Mfalme Josee. Leo hii Chukua wasanii wote toka 2000- 2018 jipe quiz ndogo tu. Nani anastahili kuitwa King Wa Bongo fleva.
 
Wewe Uliyeleta Huu Uzi Kwa Sasa Utakuwa WCB Yaani Hujui Mziki![emoji1][emoji1]Umeacha Mapini Nomaaaaa
Hizi nyimbo zimeimbwa na WCB au?? Akili yako inapochoka kuwaza usiyape makalio yako kazi isiyofaa kwa kuyafnya kuwa mbadala wa akili yako.
 
Baada ya hapo toa project nyingine aliyofanya Man. Alafu man mm sio mtoto. Bongo Flavour naijua toka enzi za Sugu naifatilia. Hiyo project aliwakilisha nchi haina ubishi. Ila bado hakuweza kushindana na Kina Ay, Fid Q, Prof j,Ngwea na wengine wengi. Mfano mdogo Navio aliwakilisha Uganda, je Navio alikua juu kuliko Mfalme Josee. Leo hii Chukua wasanii wote toka 2000- 2018 jipe quiz ndogo tu. Nani anastahili kuitwa King Wa Bongo fleva.

Wewe ulisema ali kiba alikuwa chini, nmekupa fact unatapatapa endelea kutapatapa ivo ivo. Sina tena muda.
 
Wewe ulisema ali kiba alikuwa chini, nmekupa fact unatapatapa endelea kutapatapa ivo ivo. Sina tena muda.
Kama ulifatilia mziki vizuri majibu na ukweli unao kichwani mwako. Game ilimshinda ndio maana alipotea hadi akafufuliwa tena.
 
Wakati tunaendelea kuonyesha Ubabe tulivyo makini kwenye tasnia ya HIP HOP MUSIC tusisahau kuwa nikati ya mwaka 2000 mpaka 2010
Tusichanganye mahaba wakuu
 
Hits Za mnyalu unaziachaje? hata diamonds aliiba idea au hujui?
 
Back
Top Bottom