Nyie wenye madaraka kumbuka: The Evils that men do live after them

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
50,141
Reaction score
96,170
Mulilo, kuna hukumu ya Mungu inakusubiri, Samia hatakuwepo, utajibu wewe mwenyewe

Bado una muda wa kurekeisha kasoro!

na nyie polisi pamoja na kwamba mnatii amri, chukulia mama zenu , ndugu zenu wa damu for clarity , wamekuja kwenye kesi ya Lisu mahakamani, mtawapiga na kuwapeleka Mabwe pande/ununio /Bagamoyo na kuwatesa.
Basi usiyoweza kuwatendea msiwatendee chadema na wafuasi wao.

“The evil that men do lives after them; the good is oft interred with their bones.” These insightful words were spoken by Marc Antony in Shakespeare's Julius Caesar.
 
Huwa wanastaafu Vibaya kama Mbwa koko, unakuta wananyanyapaliwa Hadi na Watoto wao.
 
Hakuna atakayekwepa kifo, na ukifa maana yake hukumu ni lazima.
 
Mulilo, kuna hukumu ya Mungu inakusubiri, Samia hatakuwepo, utajibu wewe mwenyewe

Bado una muda wa kurekeisha kasoro!

na nyie polisi pamoja na kwamba mnatii amri, chukulia mama zenu , ndugu zenu wa damu for clarity , wamekuja kwenye kesi ya Lisu mahakamani, mtawapiga na kuwapeleka Mabwe pande/ununio /Bagamoyo na kuwatesa.
Basi usiyoweza kuwatendea msiwatendee chadema na wafuasi wao.

“The evil that men do lives after them; the good is oft interred with their bones.” These insightful words were spoken by Marc Antony in Shakespeare's Julius Caesar.
Inasikitisha sana
 
Back
Top Bottom