Nyie wadada Mungu anawaona!

Nyie wadada Mungu anawaona!

15965925_224132201377633_3471185642866551385_n.jpg
Kuanzia leo humu JF, watu muwe na heshima na nidhamu kuhusu jina la Mwenyezi Mungu, kuna huu msemo watu wamekuwa wanautumia " Mungu anakuona", watu wamekuwa wanaongea bila hata aibu na wengine ni wanaume kabisa utakuta anaongea bila aibu. Katika vitakatifu hasa Biblia Mwenyezi Mungu katika amri zake amekataza kutaja jina lake bure. Sasa hii tabia ya kutaja jina la Mwenyezi Mungu huku unaunganisha na picha za ajabu kama mtoa mada naomba kuanzia leo iwe mwisho na hata Mods tunaomba muwe mnafuta mada zinazokashifu jina la Mwenyezi Mungu.
Nitarudi badae
 
hii mizigo ya hivi mimi siihitaji hata kidogo dhambi za kijinga kijinga mi sitaki...Amani kwa flat screen wote bado tunawapenda na kuwahitaji kama mlivyo muwe na amani tuu
 
Tukiwa tunatembea wawili huwa tunaongozana kwa kushikana mikono kwa zamu, ili upate mda wa kutosha wa kuchabo..
 
Daaa akivua nguo kitendo cha yeye kunigusa na chura tu basi kikombee lazima kijae maana daaaa naweza kufaaa kabsa watu wanafaid sijui watoto hawa wanapatkana wap
 
Kuanzia leo humu JF, watu muwe na heshima na nidhamu kuhusu jina la Mwenyezi Mungu, kuna huu msemo watu wamekuwa wanautumia " Mungu anakuona", watu wamekuwa wanaongea bila hata aibu na wengine ni wanaume kabisa utakuta anaongea bila aibu. Katika vitakatifu hasa Biblia Mwenyezi Mungu katika amri zake amekataza kutaja jina lake bure. Sasa hii tabia ya kutaja jina la Mwenyezi Mungu huku unaunganisha na picha za ajabu kama mtoa mada naomba kuanzia leo iwe mwisho na hata Mods tunaomba muwe mnafuta mada zinazokashifu jina la Mwenyezi Mungu.
Nitarudi badae
Safi sana mkuu, Mungu si wa kuhusisha kwenye mambo ya kijinga kama hayo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom