BABA SANIAH
JF-Expert Member
- Oct 20, 2013
- 4,777
- 6,269
hivi nyie nacte,kwa nini mtandao wenu uko verry slow na mara nyingine haufanyi kazi kabisa,sasa vijana wetu wanaotkakuomba vyuo wataombaje ilhali mtandaowenu unazingua,
rekebisheni system zenu vinginevyo muongeze muda wa hizi mambo .
kama nacte officers mnapita humu nadhani mmenielewa.
rekebisheni system zenu vinginevyo muongeze muda wa hizi mambo .
kama nacte officers mnapita humu nadhani mmenielewa.