Kusema haki za binadamu unakubali, lakini haki za mashoga hutaki ni contradiction.Mbona M7 na Ruto wana uthubutu wa kusema wazi kuwa hawataki ushoga kwenye nchi zao?
Sisi kama nchi tunaweza kusema tu kuwa haki za binadamu tunakubali, lakini kipengela cha ushoga ni HAPANA!
Watumiaji wa madawa ya kulevya na Ma Dada poa nao ni Binaadamu,Kama tumeamua kuachaa mashoga wale starehe yao bila bughuzaa,na hao nao waachwe wale vyao bila bughuzaa! Kila Mtu atapambana na Madhara yake mwenyewe huko mbeleni!!Kusema haki za binadamu unakubali, lakini haki za mashoga hutaki ni contradiction.
Ni sawa na kusema haki za binadamu unakubali, lakini hutaki haki za wahindi kuwa na dini yao.
Eti kwa sababu kwenu wengi ni Waislamu na Wakristo.
Mashoga nao ni binadamu. Hata kama ni minorities, wana minority rights.
Hii ni "whataboutism". Hapa tunaongelea mashoga, ambao kuna mikataba ya kimataifa tumesaini inayolinda haki zao.Watumiaji wa madawa ya kulevya na Ma Dada poa nao ni Binaadamu,Kama tumeamua kuachaa mashoga wale starehe yao bila bughuzaa,na hao nao waachwe wale vyao bila bughuzaa! Kila Mtu atapambana na Madhara yake mwenyewe huko mbeleni!!
Tuambiwe nani alisaini, na ni lini?Kwenyemasualaya kisiasa nakwambia tushasaini mikataba ya kimataifa ya kutetea haki a mashoga, sasa kama hatuzitaki, kwa nini tuli sign?
Mikataba ya kimataifa inasainiwa na rais.Tuambiwe nani alisaini, na ni lini?
Hapo tulipigwa na kitu kitu usoniNa nukuu maneno haya amesema hivi “Msiwalegeze watoto wetu fanyaneni wakubwa kwa wakubwa watoto waache”
Chawa nawasubiri muandamane kuunga mkono au kumpongeza mama yenu karuhusu fanyaneni wakubwa lazima tutaelewana tu dhambi tulioifanya itaturudiaView attachment 2581271
Sasa wakubwa wakiwa mabwabwa, kizazi kipya kitatoka wapi?Naunga mkono hoja..wakubwa watajijua na mik#ndu yao.. lakini kuwaharibu watoto Ni ukatili
Ndio maana Uganda wakubwa wakichenjuana adhabu Ni miaka 20.. lakini mkubwa akimfanya mtoto adhabu Ni kifo..shubamiti !
Acha uongo mzee, hata Samia akiona hii comment yako anaona kabisa unamsingiziaNadhani mleta mada Una uelewa duni Sana wa kupambanua mambo.
Rais anaposema fanyianeni wakubwa hapo anatumia fasihi kufikisha ujumbe Kwa mataifa makubwa kwamba hayo mambo ya upinde wafanyiane wao Kwa wao na sio kuyaleta Kwa watoto(watanzania).
Sisi wazenji tumemuelewa sana.
Kama wako celibate wanatutangazia ushoga wa nini?.
Hapo ndipo watu wengi wanapofeli, wana judge mambo bila kuyajua, yani mtu akisikia ushoga anajua ni kufirana tu, wakati kuna mashoga wako celibate!
Kwanza ushoga ni nini? Nimegundua Wwatanzania wengi hawajui hata ushoga ni nini, na hapo ndipo tatizo linapoanzia.Kama wako celibate wanatutangazia ushoga wa nini?
Just to inform us that they fantasize about men?
To give a heads up to someone who would like to play with shit?