Nyie mmegoma kukomuniketi

Nyie mmegoma kukomuniketi

Sielewei hii kitu inavyokwenda vipi jf nisaidie
 
haya nimekupata chapaa kazi ni kwako umennunua nini sabasaba hii wewe mtoto
 
hii forum sijaipata kisawasawa inaniogopesha pia siielewi ni tofauti na ile ya michuzi
hivi chapaa nikitaka kuchat nifanyeje nisaidie wewe muungwana
 
hii forum sijaipata kisawasawa inaniogopesha pia siielewi ni tofauti na ile ya michuzi hivi chapaa nikitaka kuchat nifanyeje nisaidie wewe muungwana
ww pande hz ni ndio kama unavyoona kwanza zimekaa kisegment kuna masiasa,majokes,mascience na makilakit kwamfano pande ulizoingilia ww ni za jokes so unachagua mwenyew unapopapenda na kwenda sambamba na raia kama maandish yanavyojieleza sjui umenipata!
 
rudi hotwire....!

mziki mnene huu bidada
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom