Chizi Msomi
Senior Member
- Jun 23, 2026
- 129
- 219
Hebu acheni dharau kilamtu ana maisha yake iweje mtu anamiliki infinix wewe unamilik iphone au samsung unaanza kutukana na kuropoka ety infinix ni kifaa cha kuhifadh line unajua kipato chake? au unabwabwaja tu kufuata mkumbo a new way situmii smartphone lkn nahshimu sana kitu anachomiliki so kama uwezo wako ni samsung 1M usiphos mwenye 1.5k amiliki samsang kila mtu na maisha yake acheni kuponda watu humjui mtu kipato chake unaanza kubwabwaja oooh jamaa anamilik sm ya bei ndogo!
NAFUPISHA:
acheni shobo kila mtu na maisha yake
kila mtu na kipato chake
IMEISHA IYO;
NAFUPISHA:
acheni shobo kila mtu na maisha yake
kila mtu na kipato chake
IMEISHA IYO;