Trump hakuumwa! Mzee yule ni muongo kupindukia. Kila limtokalo mdomoni ni uongo kwa minajili ya kujinufaisha.
Boris si mzee kiasi hicho, ni wa miaka ya 50, ila usipojikinga, maradhi yatakupata. Kheri yake nchi yao ina Kila aina ya ujuzi juu ya matibabu.
Kwetu tunajinasibu kwa majengo tu, huduma hamna!
Hebu tufanyeni kikowa na kulimaliza hili lisifutikwe mchagoni, ndimi hazitatulia na midomo haitapumbaa....! na ndimi zisipotulia mafikara yataundiwa uhalisia kisha midomo itaropoka ropo!Lisemwalo linasemwa na waliozoea kufanya ufisadi, sasa hasira zao wamehamishia kwenye uzushi na uzandiki
Kelele za chura hazimzuii tembo kunywa majaba ya maji.Hebu tufanyeni kikowa na kulimaliza hili lisifutikwe mchagoni, ndimi hazitatulia na midomo haitapumbaa....! na ndimi zisipotulia mafikara yataundiwa uhalisia kisha midomo itaropoka ropo!
Uchuro huu Mshana!!
Hell no
Kazi ipoKwa tamaduni zetu huyu ndio uchuro
Kwenye hili hakuna kutumia nyenzo nyingine.....!!!!Or else utumie nyenzo mbadala