Nyerere namuelewa vizuri mno
ukitaka hebu tafuta kwanza hotuba yake ya kwanza bungeni baada ya uhuru
alisema kuwa kuna migawanyo ya kidini kielimu iliosababishwa na wakoloni
serikali yake itafanya kazi kuirekebisha
sasa miaka miingi baadae mwandishi wa Uingereza akasema Nyerere anawapendelea Wakatoliki...
mind you sio mimi ninaesema haya....ni mwandishi wa Uingereza....
na Nyerere jibu lake lilikuwa hilo kuwa hajui hata dini za mawaziri wake...
Point hapa ni kuwa kama alisema wakoloni walisababisha mgawanyo kidini...
alijuaje? unarekebishaje? unajuaje kuwa unachokifanya kinarekebishika?
unahitaji source sio?takwimu sio?
sasa utasemaje hujui?