Nyerere's best hotuba.

Nyerere's best hotuba.

sasa katika vurugu hiyo
mtu mwingine anaweza sema
Sheria za mipango miji zijali dini za watu

mfano mtaa wenye msikiti isiwepo bar
au kama kanisa limetangulia....kusiwepo disco karibu
sasa ili uweze influence yote haya takwimu first...

Sawa, takwimu waende huko kwenye majumba ya ibada watazipata.

Boss wewe dini gani kwani?

Mi nakumbuka mdingi alikuwaga ananipeleka pale kanisa la mtakatifu Petro kwenda kumuona Nyerere...lol. Enzi hizo ilikuwa bonge la dili kumshika mkono rais Nyerere....lol
 
Sasa mbona serikali hiyo hiyo inahesabu makanisa na misikiti?

Tatizo letu hatuna serikali, serikali inaenda kwa mapokeo kama dini. Kitu akisema Nyerere hakipingwi.

Mkapa kakataa kuweka picha yake kwenye noti kwa sababu anajiona mbaya hataki kutisha watu, Kikwete anayemfuatia ambaye hana sababu hiyo naye anaogopa kuweka picha yake kwenye noti, mwishowe noti zinabaki na wanyama tu, mpaka watu wanauliza kwani hii nchi haina rais zaidi ya hawa Nyerere Karume na Mwinyi?

Nyerere kasema mambo ambayo inawezekana yalikuwa sawa siku zake, nchi inabadilika kila siku, kuna haja ya kuyatafakari upya.

Hahahaa anajiona mbaya hataki kutisha watu? lol
utashitakiwa aisee lol his mother said he is handsome lol
 
Sawa, takwimu waende huko kwenye majumba ya ibada watazipata.

Boss wewe dini gani kwani?

Mi nakumbuka mdingi alikuwaga ananipeleka pale kanisa la mtakatifu Petro kwenda kumuona Nyerere...lol. Enzi hizo ilikuwa bonge la dili kumshika mkono rais Nyerere....lol

Hahahaa Bahia....
 
Kwa msingi huu utajuaje kwamba watu wa Mkoa fulani hawatafanya hivyo hivyo ili ku boost population ya mkoa wao?

Upo sahihi lakini utambue "panapofuka moshi ujue kunamoto" jambo linaposhikiwa bango tena na watu wachache hata kufikia hatua watu wapo radhi kugome kushtakiwa kwa sababu madai yao hayajasikilizwa utambue kuna jambo lipo nyuma ya pazia wana maslahi nalo, ..Yatupasa kujua malengo ya hao watu kabla ya kufikia maamuzi!
 
Okay, fine. But it shouldn't be mandatory as race is in some countries.

I mean, if I don't want to share what my religious beliefs (of lack thereof) are then I shouldn't be forced to.

It's none of anyone's business.

Of course of course, kuna sie wengine ma walii uchwara ukituuliza kama ni wakristo tutaanza kukujibu kwa kukuuliza definition yako ya Mkristo ni ipi kama vile dibaji ya insha ya Bertrand Russell.

Na katika kufuatilia sana tutajiona kwamba hata tungetaka kuwa wakristo tungeshindwa.

Na kukwambia hata huyo Papa pengine si Mkristo.

We jitu haliishi kwenda kupiga ramli, eti lilazimike kujiorodhesha kama muislam kwa sababu tu jina lake Said?

Haiyumkiniki.

Ndipo hapo utakapoona upuuzi mzima wa kunasibisha suala la dini kwenye sensa na religious fundamentalism.

Sensa itaonyesha waislam ni 60% mathalani, uamsho watasema wana supporters 60%, kumbe waislam wenyewe 10% wanywa pombe, 10% nyingine msikitini mara mbili kwa mwaka, 10% nyingine wameoa wakristo, 10% nyingine ni regulars at kitimoto stands etc etc.

Wawaambie waanzishe nao Jihad basi tuone.

Serikali kwa kuwakatalia inawapa msemo zaidi.
 
Upo sahihi lakini utambue "panapofuka moshi ujue kunamoto" jambo linaposhikiwa bango tena na watu wachache hata kufikia hatua watu wapo radhi kugome kushtakiwa kwa sababu madai yao hayajasikilizwa utambue kuna jambo lipo nyuma ya pazia wana maslahi nalo, ..Yatupasa kujua malengo ya hao watu kabla ya kufikia maamuzi!

Hata manhole covers hufuka moshi kwa mvuke tu, bila moto.

Inawezekana hamna lolote zaidi ya bullshyt za uamsho.

Serikali nzima inaonekana inaogopa uamsho bure, wakati wangewapa hizo figures za sensa tungeona uamsho wangefanya nini.
 
Labda serikali haitaki kutoa data kwa sababu yenyewe ndio ina cha kuficha. Tumewaza hilo?

Once sensa ikija, kutakuwa na analysis zitakazoonyesha uhusiano wa dini na huduma za jamii kama elimu, afya, maendeleo, uchumi....

Labda, narudia labda, serikali haitaki ionekane kuwa imeshindwa kutoa huduma kwa wananchi wake katika sehemu ambazo mashirika ya kidini hayajafika
 
Mtumee,

Uamsho washaingia!

Extraordinary insinuations require extraordinary evidence.

Lawrence Summers alitolewa Harvard kwa ku insinuate -in an academic setting- kwamba "Labda hatuna wanawake wengi katika mathematics and science kwa sababu wanawake vichwa vyao haviwezi masomo haya, narudia labda"

Watu wakammwaga.
 
Kama kungekuwa na mpango wa Serikali kushughulikia matambiko ya watu, nalo lingekuwa ni swali la msingi!

Hapana. Tungependa kazi serikalini nk zigawanywe kadiri ya wingi wa watu kwenye makabila yetu.

The problem is always when or where to stop.
 
Serikali yetu haina dini.

Kwa hiyo ikae mbali na mambo yahusuyo dini.
 
Serikali yetu haina dini.

Kwa hiyo ikae mbali na mambo yahusuyo dini.

Sawa.

Hili limezidi dini, limefika kwenye habari za takwimu zitakazoathiri public policy kama nilivyoonyesha hapo juu.

It's not like serikali iulize kama mtu anaamini katika utatu mtakatifu au la. Hizi ni labels tu zinazosaidia kujua demographics as much as age and sex.

Nimeonyesha hilo hapo juu nilipoongea maswala haya yalivyojilink katikla research, na kutoa mfano wa reproductive health, ujenzi wa mahospitali na shule etc.
 
Mtumee,

Uamsho washaingia!

Extraordinary insinuations require extraordinary evidence.

Lawrence Summers alitolewa Harvard kwa ku insinuate -in an academic setting- kwamba "Labda hatuna wanawake wengi katika mathematics and science kwa sababu wanawake vichwa vyao haviwezi masomo haya, narudia labda"

Watu wakammwaga.

Hapa tuna explore possibilities ziwezekanazo

As long as serikali haitoi takwimu tutajuaje ukweli?

Huyo jamaa yako lazima wammalize kwa sababu alizungumzia hilo kwenye academic setting na yeye akiwa ni mmoja wa viongozi wakuu, sawa na serikali Ije iseme "labda Uamsho hampo wengi serikalini kwa sababu vichwa maji"

Lazima wammwage japo kwa albadiri
 
Hivi serikali leo ikikataza watu kuendesha magari kwa sababu tu kuna watu fulani wataendesha vibaya magari na kusababisha ajali, utaona sawa hilo?
 
Uamsho inatisha mpaka watu wanalia "Msalie Mtume" kwa mtume wasomuamini!

:]

Hapana,

Kwa mtume wa dini isiyo na imani.Reason.

For all you know I might have been referring to Mtume Sam Harris au Christopher Hitchens.
 
Alikuwa nabii japo hakukubalika sana nyumbani
 
Hivi serikali leo ikikataza watu kuendesha magari kwa sababu tu kuna watu fulani wataendesha vibaya magari na kusababisha ajali, utaona sawa hilo?

Kwa hakika sitaona sawa.

Ila hizi sababu wanazotoa serikali kukataa kutoa takwimu, sijazielewa kwa sababu hiyo ya kuwa watu wachache watazitumia vibaya hawajawahi kuisema hadharani
 
Sawa.

Hili limezidi dini, limefika kwenye habari za takwimu zitakazoathiri public policy kama nilivyoonyesha hapo juu.

It's not like serikali iulize kama mtu anaamini katika utatu mtakatifu au la. Hizi ni labels tu zinazosaidia kujua demographics as much as age and sex.

Nimeonyesha hilo hapo juu nilipoongea maswala haya yalivyojilink katikla research, na kutoa mfano wa reproductive health, ujenzi wa mahospitali na shule etc.

In partnership, serikali inaweza kufanya kazi na asasi mbalimbali za kidini na kupata takwimu za uhakika zaidi.

Shughuli za maendeleo ni za kushirikiana. Lakini si kila takwimu zinazohitajika basi zipatikane kupitia sensa.

Mimi naamini zaidi kuwa serikali au mtu mwingine yeyote anaweza akapata takwimu za uhakika zaidi kupitia hizo asasi za kidini na nyumba za ibada kuliko watu binafsi ambao wewe mwenye umetoa mfano wa mijitu kama Saidi ambalo linakula hata kitimoto na Msikitini halijakanyaga miaka nenda rudi kujifanya na lenyewe liislamu wakati siyo hata kidogo.

Sasa jitu kama hilo info zake zitakuwa credible kweli?
 
Back
Top Bottom