Son of Alaska
JF-Expert Member
- Jun 2, 2008
- 2,812
- 1,054
Wengi tu; Kingunge Ngombare Mwiru mmojawao.Arehemiwe na Bwana. Hivi mshauri wa JK ni nani?
Wengi tu; Kingunge Ngombare Mwiru mmojawao.
Mwinyi (wa pili kutoka kushoto) akishuhudia mchezo wa bao kati ya hayati Mwalimu Nyerere (wa pili kutoka kulia) na mzee mmoja wa Butiama(jina halijulikani).Wengine wanaoshuhudia ni Mama Maria Nyerere(kulia) na kaka yake Nyerere,Chief Burito(wa tatu kutoka kulia).Picha ilipigwa Butiama.
Umenikumbusha mbaaaali sana. Weka na kapicha ka huyo mshauri basi.
Arehemiwe na Bwana. Hivi mshauri wa JK ni nani?
Wadau wanasema vya kale havinuki au sio mkuu?

benard membe....
Sinclair na TudorArehemiwe na Bwana. Hivi mshauri wa JK ni nani?