DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,503
- 29,900
Huwa nashangaa sana kuona wapuuzi wachache wanaomlinganisha Pogba wa chato na Nyerere
Mwaka 2019 kuna viongozi wanajibu hoja kwa mitutu ya bunduki. So ashaming
Sina hakika kama Tanzania itakaa ipate rais mwenye maarifa na akili nyingi kama huyu kwa huku tunakoelekea.
Tutakuja kuwa na viongozi wenye vichwa vizito sana wasioweza hata kujenga hoja mbele za watu na wakaeleweka ni kitu gani wanasema.
Lukesam umeongea ukweli
Kuna mtia nia mmoja mwaka 2015 alisema ni vizuri wagombea wakajitokeza na kukafanyika mdahalo wakapimwa kwa lugha zote za kiserikali ili kupata rais mwenye uelewa mpana na mwenye uwezo wa kujenga hoja. Nafikiri aliona mbali na alikuwa sahihi. Mwalimu alikuwa kichwa, huwa nasikitika sana nikisikia watu wanamlinganishalinganisha, sijawahi kujua ni katika lipi haswa. |
Watu kama hao hupatikana mara chache baada ya miaka mingi sana ndani ya taifa. Sisi tulibahatika kumpata huyu mwanzoni kabisa, na huenda ikatuchukua miongo kadhaa kabla ya mwingine wa aina yake kutokea.
Tutofautishe hapa na kuwa bayana tunachokisema hapa. Sio kwamba hakuna watu wa aina yake katika jamii nzima ya waTanzania. Inawezekana wakawepo wengi, lakini hawajitokezi mbele kuongoza kama alivyofanya yeye.
Nakubaliana nawe. |
Wa pale MagogoniSasa hapo umempiga dongo Nani.
Anayesimama kwenye mstari Huku kazungukwa na walinzi wenye mabunduki.![]()
NamSasa hapo umempiga dongo Nani.
Anayesimama kwenye mstari Huku kazungukwa na walinzi wenye mabunduki.![]()
Lisu vipi au mpaka awe ccmWatu kama hao hupatikana mara chache baada ya miaka mingi sana ndani ya taifa. Sisi tulibahatika kumpata huyu mwanzoni kabisa, na huenda ikatuchukua miongo kadhaa kabla ya mwingine wa aina yake kutokea.
Tutofautishe hapa na kuwa bayana tunachokisema hapa. Sio kwamba hakuna watu wa aina yake katika jamii nzima ya waTanzania. Inawezekana wakawepo wengi, lakini hawajitokezi mbele kuongoza kama alivyofanya yeye.
Tushampata huyu wa hivi.