Nyerere

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
IMG-20191013-WA0153.jpg

The man was happy all the time, you know why?? .... He was genius ,

IMG-20191013-WA0151.jpg

The man was Smarter than all, even this one we have in office now,

IMG-20191013-WA0152.jpg

He didn't pretend to be in line to vote because someone else did it, this was from the inner core of his heart , but others are in line while being in middle of gun men,
 
Baba wa Taifa letu
Nikuulize wewe, na kuchokoza niwajuao.

Asingeingia TANU inayodaiwa ilishaundwa kabla ya 1954, na badala yake akaanzisha chama kingine, TANU ingesimama na kupigania uhuru uliopatikana 1961?

Hivi kabla ya yeye kuingia TANU, chama hicho kama kilikuwepo, Magomeni Mapipa walijua uwepo wa chama hicho kabla ya hapo?
Haya... tuendelee mbele.
 
View attachment 1232494
The man was happy all the time, you know why?? .... He was genius ,

View attachment 1232495
The man was Smarter than all, even this one we have in office now,

View attachment 1232496
He didn't pretend to be in line to vote because someone else did it, this was from the inner core of his heart , but others are in line while being in middle of gun men,

Nyie vijana wa leo ngoja tuwaelimishe kidogo. Huyo mbele ya Mwalimu [ picha ya tatu] alikuwa mlinzi wake wa siku nyingi marehemu Mzee SIMBEYE ; na huyo wapili nyuma ya Mwalimu ni Mzee MGAYA wakati huo akiwa msaidizi wake!!
 
Nikuulize wewe, na kuchokoza niwajuao.

Asingeingia TANU inayodaiwa ilishaundwa kabla ya 1954, na badala yake akaanzisha chama kingine, TANU ingesimama na kupigania uhuru uliopatikana 1961?

Hivi kabla ya yeye kuingia TANU, chama hicho kama kilikuwepo, Magomeni Mapipa walijua uwepo wa chama hicho kabla ya hapo?
Haya... tuendelee mbele.
Hahahaha aisee swali fikirishi kuna watu wanajifanya ooo nyerere tumemkaribisha mara takadiri mara Sykes mara Bibi titi, kwanini walisubiri mpaka mzee aingie? Kwa kifupi vilikuwapo kama unavyoona KCC Au KCU yaan vya ushirika
 
Sina hakika kama Tanzania itakaa ipate rais mwenye maarifa na akili nyingi kama huyu kwa huku tunakoelekea.

Tutakuja kuwa na viongozi wenye vichwa vizito sana wasioweza hata kujenga hoja mbele za watu na wakaeleweka ni kitu gani wanasema.
 
Hapo suala la kulindwa halina ubishi.
Wapo walinzi.ishu alilindwa vipi?
au ndo kila Nabii na zama Zake
Nyie vijana wa leo ngoja tuwaelimishe kidogo. Huyo mbele ya Mwalimu [ picha ya tatu] alikuwa mlinzi wake wa siku nyingi marehemu Mzee SIMBEYE ; na huyo wapili nyuma ya Mwalimu ni Mzee MGAYA wakati hubo akiwa msaidizi wake!!
 
Sina hakika kama Tanzania itakaa ipate rais mwenye maarifa na akili nyingi kama huyu kwa huku tunakoelekea.

Tutakuja kuwa na viongozi wenye vichwa vizito sana wasioweza hata kujenga hoja mbele za watu na wakaeleweka ni kitu gani wanasema.

Watu kama hao hupatikana mara chache baada ya miaka mingi sana ndani ya taifa. Sisi tulibahatika kumpata huyu mwanzoni kabisa, na huenda ikatuchukua miongo kadhaa kabla ya mwingine wa aina yake kutokea.
Tutofautishe hapa na kuwa bayana tunachokisema hapa. Sio kwamba hakuna watu wa aina yake katika jamii nzima ya waTanzania. Inawezekana wakawepo wengi, lakini hawajitokezi mbele kuongoza kama alivyofanya yeye.
 
Back
Top Bottom