Askari Kanzu,Dada Mdogo FaizaFoxy (nasema hivyo kwa sababu nina uhakika mimi ni kaka yako mkubwa kiumri):-
1.Ni hivi karibuni nilikuwa Pakistan. Unapotua uwanja wa ndege Islamabad unakaribishwa na bango lisemalo "Welcome to the Islamic Republic of Pakistan". Lakini licha ya nchi hiyo kuwa ni ya mfumo wa kiislamu bado wanamuita kiongozi wa kwanza wa nchi hiyo, Muhammad Ali Jinah, Baba wa Taifa "Baba-e-Qaum (بابائے قوم😉".
2. Na sio Pakistan peke yake kati ya nchi za kiislamu ambako viongozi wamepewa wadhifa wa Baba wa Taifa. Kwa mfano Uturuki, Mustafa Kemal Atatürk (Atatürk = Great Father of the Turks). Sheikh Zayed bin Sultan Al Nahyan wa United Arab Emirates (والد الأمة = Waalid Alamat) na pia Ibn Saud of Saudi Arabia ( والد الأمة = Waalid Alam)
Kwa hiyo nadhani sio kila mada ni lazima uchangie kwa mtizamo wa kidini. Waswahili husema ujanja mwingi mbele giza!
Mchambuzi,
Sasa kama mpo mnaoelewa kinachoendelea kwa kiwango kikubwa namna hii, kwa nini mko kimya? Hayo unayosema ni maelekezo toka nje watawala wetu wanayaorodhesha kama mafanikio kila uchao na wanataka tuamini hivo. Ingieni angalau Bungeni mpaze sauti huko zenye kuleta tija na mabadiliko ya maana.
Badala yake wasomi kama akina Zitto wanajielekeza kwenye mambo ya kuwapa umaarufu wa haraka kama posho. Bunge lijalo la January nadhani watajadili ndoa za jinsia moja!
Mchambuzi, nimekuvulia kofia. Kuna swali ningeomba yeyote mwenye kujua anisaidie: Kuna kazi fulani tulikuwa tunafanya wiki chache zilizopita, kuna point tulilazimika kupata kanda za taarifa za habari na magazeti ya miaka ya '70 na 80. Baada ya kumaliza navyo, nilitaka kupitia karibu kila kitu katika magazeti na taarifa hizo, pamoja na mengine mara kwa mara unasikia/soma kitu kama hiki...'Rais wa JMT amemstaafisha kwa manufaa ya umma aliyekuwa meneja/mkurugenzi wa .....' Je hii ina uhusiano wowote na hiyo inayosemwa kuwa walioharibu hawakuchukuliwa hatua?! Mzee mmoja ameniambia kuwa huko kustaafishwa kwa manufaa ya umma kuliwakumba wengi.
FP
Ukitazama mantik nzima ya vijiji vya ujamaa iikuwa nzuri na inasimama mpaka leo. Lakini kuna baadhi ya maeneo kulingana na utaratibu wao maisha.( eg ufugaji 100%) hawakuwa na utamaduni wa settle. So hilo iuwa ni tatizo moja Lakini failure ya vijiji vya ujamaa sehemu chache haiwezi kufunika sucess ya vijiji vya ujamaaa sehemu kubwa ya Tanzania
Unapokuwa na uhaba wa resoruces (wich is always the case) lazima kuna kitu kifanyike (organisation) Sasa kama unalaumu vijiji vya ujamaa ebu fafanu ungefanya nini wakati cha tofauti japo kuweka shule mbili za primary kwenye jamii zilizotawanyika.
Wadau,
hivi ni kwanini Nyerere Foundation haipo effective katika makusudio yake pamoja na kwamba ina watu wazito na wasomi wengi tu mle? Hii ilitakiwa iwe moja ya top think tanks in this country to influence all major policies.................
Ilijiingiza kwenye siasa za ndani ya CCM ikidhani kuna watu wanaiheshimu na kuisikiliza. Ikadhoofishwa kiaina tangu enzi za Mkapa. SAS alipojitokeza kupambana na WANAMTANDAO wakaimalizia kabisa.Wadau,
hivi ni kwanini Nyerere Foundation haipo effective katika makusudio yake pamoja na kwamba ina watu wazito na wasomi wengi tu mle? Hii ilitakiwa iwe moja ya top think tanks in this country to influence all major policies.................
Wadau,
hivi ni kwanini Nyerere Foundation haipo effective katika makusudio yake pamoja na kwamba ina watu wazito na wasomi wengi tu mle? Hii ilitakiwa iwe moja ya top think tanks in this country to influence all major policies.................
Asante mkuu, Sasa kwa nini watu wanajaribu kudanganya kuwa JKN hakuwachukulia hatua wazembe?! Nina maswali zaidi ya nyongeza! Kenya kama ilivyo Tanganyika kuna maeneo hadi sasaMimi binafsi nilikuwa mdogo sana lakini nakumbuka kusikia taarifa kama hizo kwenye vyombo vya habari; wapo waliochukuliwa hatua, wengi tu, serikalini na hata Uraiani; lakini tusisahau kwamba Mwalimu alikuwa katika vita kubwa sana na mabepari wa humu ndani ambao walikuwa wanashirikiana na mabepari wa nje kuhujumu Ujamaa na hata kuyadhoofisha mashirika ya umma ili mradi sera za mwalimu zionekane ni failure ili to pave way for foreign capital kuja ku finance uchumi; hakuna biashara tamu kama ile ya kufanya na serikali,hata worldbank wanalijua hilo;
Vinginevyo umenikumbusha enzi zile ambapo Rais kufukuza, kuteua, au kuhamisha mtu kazi, hata wahusika walikuwa wanasikia redioni wakiwa mezani na familia zao wanakula chakula cha usiku, hapakuwa na leakage za ovyo ovyo za taarifa za serikali;
Kwa nini Nyerere alipora sekondari za Bukoba,Mbeya na Kilimanjaro na kuwasomesha wanafunzi wa Lindi,Mtwara na kwingineko???
Kwa nini Nyerere alituunganisha na Wazenji wavivu??????????
Mkuu Zing,
Nitakujibu kwa mfano. Kwanini Uchagani hasa nilipofika mie Marangu, mwika, Kibosho na Rombo kwa ujumla wana maendeleo sana (wamesoma, wana maji, wana umeme, wana barabara, wana mashule, wana majumba mazuri ya kulala in totality) lakini hamna vijiji vya ujamaa?
Ninge fanya vijiji vya ujamaa kulingana na mazingira. Isingekua swala la NGUVU. Ningeweka huduma kama ilivyo Kilimanjaro.
Ni hilo tu. Na kumbuka sipingi the concept napinga utekelezwaji wake.
Chunguza sana
Tofauti na Heshima ya Baba wa Taifa ambayoe inatambulika kisheria, heshima Rais Bora huwa ni maoni ya wananchi walio wengi ambayo hupitia mchakato wa tafiti/vipima joto mbali mbali zinazolenga kukusanya maoni ya wananchi.
Mkuu ukisoma historia vizuri utaona una baadhi ya sehemu ni kama walikuwa tayari wana vijijii vya vya ujamaa hata kabla havijaazishwa rasmi. Ardhi ni tatizo kilimanjaro hali hiyo ilisababisha watu wabanane sehemu moja yenye rutuba hata kabla zoezi halijaanza . So kuna maeneo zoezi la vijiji vya ujmaa ilikuwa rahisi kutokana na nature ya maisha ya watu na mazingira. Hata Mkoa kama kagera nadhani watu hawakuathirikia sana sababu utasona hitoria yao walikuwa wana mambo ya clan. na kilimo cha mazao kama ya ndizi ambayo ni ya mwaka mzimaMkuu Zing,
Nitakujibu kwa mfano. Kwanini Uchagani hasa nilipofika mie Marangu, mwika, Kibosho na Rombo kwa ujumla wana maendeleo sana (wamesoma, wana maji, wana umeme, wana barabara, wana mashule, wana majumba mazuri ya kulala in totality) lakini hamna vijiji vya ujamaa?
Unapotolea mfano wa kilimanjaro basi nisome pale juu na soma historia vizuri. Kuna mikoa na maneno na mazigira fulani watu walikuwa kama tayari wana vijiji vya ujamaa. Ni adjustmenet ndogo tu. Kama ni tatizo a vijiji vya ujamaa may be mikoa kama ( singida, dodom uliyotaja) lakini mkoa kama kagrea basi ni vijimatatizo kidogo sana vilijitokeza.Ninge fanya vijiji vya ujamaa kulingana na mazingira. Isingekua swala la NGUVU. Ningeweka huduma kama ilivyo Kilimanjaro.
Utekelezaji wake hauwezi kuwa sawa maeneo yote. Matatizo ya hapa na pale hayakwepeki.Ni hilo tu. Na kumbuka sipingi the concept napinga utekelezwaji wake.
Chunguza sana