Nyerere: Salaam zenu mnaomkejeli!

Nyerere: Salaam zenu mnaomkejeli!

Nyerere alikuwa anataka Taifa lijitegemee, halafu Mkandara na wengineo wanasema Wazungu wanataka kununua bidhaa zetu kwa bei ya chini. Sasa mbona mnajicontradict wenyewe. Kwa nini mnataka kuuza mazao yetu ya Ujamaa kwa West? hao wenye Free Market na advance Technology? Nyerere alikuwa anataka WTZ tujitegemee halafu anataka mazao yetu tuuze kwa nchi za West!! Je Nyerere hakujua hilo? Hapo ndipo ujue kwamba Mwalimu Nyerere hakujua anachokifanya.

Nyerere alijua Mkulima wa Jembe ataweza kucompete na nchi za West zenye Free Market with advance technology? Inaonekana ALISHINDWA kufikiri kwamba kuna Competitive Advantage.

Nyerere alikuwa MZUNGUMZAJI MZURI SANA!! lakini Utendaji wake ni ZERO.

Huyu jamaa ni bingwa wa kujichanganya...

1.Unapoongelea kujitegemea huna maana ya kwamba usifanye trade la hasha! Ila katika hiyo trade uepuke vigezo vitakavyokunyonya, mfano unaweza kuwa na soko la pamoja, au biashara kati ya mataifa yasiyokuwa ya kibepari etc. Hiyo ndio point na pia katika sera ujamaa si kwamba usitumie technology nani alikuambia hilo? Enzi za U.S.S.R walirusha chombo chao mwezini na walikuwa ni wajamaa haswa.

2.Unaongelea competitive advantage kana kwamba mkulima wa Tanzania alitakiwa kucompete na mkulima wa West kitu ambacho si kweli. Ujamaa sio competition na hilo umechajichanganya vibaya sana. Bali sera ya kiuchumi illikuwa ni comparative advantage yani mkulima wa Tanzania azalishe kile ambacho ana-advantage zaidi (absolute advantage) mfano kahawa ambayo kwa sababu za kijiografia haistawi nchi za magharibi na yule wa mkulima wa nchi za magharibi azalishe kile ambacho ana advantage zaidi mfano mahindi kwa marekani. Hujiulizi kwa nini Ivory Coast na Ghana ndio wazalishaji wakubwa wa cocoa kwa nini hao mabepari wa west wasizalishe wenyewe na ndio watumiaji wakubwa wa cocoa beans. Unadhani Ivory coast na Ghana wana advanced tech kiliko nchi za magharibi? au unadhani nchi za magharibi si walaji sana wa chocolate ni sie kina mgalanjuka wa Africa.

Ukishajiuliza maswali hayo utaona wazi kwamba Nyerere alifikiria mbali zaidi ya wewe na kizazi chako.
 
1: Hiyo siyo point nayoiweka unashindwa kuelewa hata huo Ujamaa. By the way USSR ni communist.
Nyerere alikuwa na fikra za Ujamaa;lakini alishindwa kuelewa Ujamaa una sustain na siyo growth. Alishindwa kuzijua hata fikra za Ujamaa. Baadaye akawaambia WTZ wakauze mazao yao nje. Lakini alishindwa kuwaambia WTZ kwamba hawawezi kucompete na nchi za West. Kumbuka Ujamaa hauna efficiency.

2: Unasema kwamba Ujamaa siyo kucompete, afadhali wewe umeelewa kuliko hata huyo Nyerere. Ndiyo maana Ujamaa ulishindwa kucompete na nchi za Free Market. Nyerere alitaka kuuza mazao nje ya nchi alitegemea atashindana na nani ktk mauzo? alijua atashindana na Wakulima wa Ujamaa tu? Hapo ndipo ujue kwamba Nyerere ALIFELI. Alikuwa haujui hata Ujamaa wenyewe vizuri.
 
Yeah right dint i say you knew non-n you old reprobate let me ask you this; was the question posed as part of the nyerere legacy or on capitalism in general? Halafu ndio utajijua kama wewe ni pumba tupu.
What the heck is this? matusi ya nini wakati nakueleza ukweli..Wewe umesema viongozi wa sasa hawaelewi nini free - market na Mchambuzi kakujibu hata wale INVETORS wa Free market walikuwa hawajui.. Sasa inahusiana vipi neno hili na Investors?..
Besides, Investor/investor hawana Ujamaa wala Ubepari pote wapo na sio utawala, inventors wa free market kwa namna yoyote hawana mahusiano na investors. Kubali makosa haiwezi kukupunguzia kitu na hata matusi hayawezi badilisha kitu...Umeongea pumba sii kosa kukubali umekosea lakini inapong'ang'aniza ndio unajiweka ktk kundi la wapuuzi..
 
Lakini tofauti kati ya USA na sisi ni kwamba-Nyerere kaweka misingi ambayo mpaka leo inaendelea kutoa viongozi wabovu.

Nyerere alipenda na alitaka fikra zake zidumu milele. Alishindwa kutuekea misngi bora ya nchi. Nyerere alishindwa kutuekea misingi bora ya demokrasia; kwa sababu yeye mwenyewe alikuwa hapendi demokrasia ndiyo maana alikuwa anaitwa "Haambiliki"

Nyerere alipewa madaraka aongoze nchi na si kufanya majaribio. Kajaribu Ujamaa kwa akili zake za kukopi bila ya kujua madhara yake. Matokeo yake- mpaka leo tupo nyuma kimaendeleo.
Nianze na aya ya mwisho. Niambie katika nchi zifuatazo ni ipi ina mandeleo kutuzidi kwa kukosekana ujamaa wa Nyerere; Kenya, Uganda, Malawi, Zambia, Kongo, Rwanda, Burundi, Burkina Faso, Ghana, Chad, Mauritania, Comoro, Haiti, Tonga na Fiji, Columbia. Hizo tu kwa uchache.

Nyerere alipewa madaraka na aliongoza nchi. Hakufanya majaribio kama ulivyofundishwa. Kama unadhani alifanya majaribio, basi niambie Mwinyi, Mkapa na Kikwete wamefanya kipi kipya ambacho hakina msingi wa Nyerere (usitaje internet, tv na pipi utachefua wasomaji)

Nyerere aliitwa Musa kwanini, na una uhakika neno haambiliki lina maana uliosema au ulisimuliwa. Nyerere aliitwa mzee kifimbo, Mchonga n.k je hayo nayo unayatolea maelezo gani.

Hebu waambie wana ukumbi ni rais wa nchi gani duniani aliyewahi kuweka misingi iliyotoa viongozi waadilifu bila kuwa na wezi, wabadhirifu, wafujaji na hata wabakaji. Nitajie mmoja tu.

Unasema Nyerere alishindwa kuweka misingi bora ya nchi. Hii ni jumla inaweza kuwa una hoja, hebu fafanua misingi bora ya nchi ni ipi kwa vigezo vinavyokubalika au hata vigezo vyako.

Mwisho: Unapaswa ujue kuwa kiongozi bora ni yule mwenye vision na si yule anayesikiliza watu wanasemaje ili awapendeze.
Ubora wa Nyerere unaonekana katika mambo aliyoyabuni ambayo unayaita majaribio.
Vision aliliyokuwa nayo Nyerere mwaka 1960, 1970 hadi anastaafu ndio inafanyiwa kazi leo. Soma mipango yake halafu usome ya akina Kikwete kisha uje utuambie ni kipi kipya katika yale ya leo.
Tatizo ni kuwa unaangalia vitu au mambo kwa ushabiki na upeo sana kidogo ndugu yangu.

Kama unadhani George Washington aliweka misingi inayotoa viongozi bora, basi jiulize Carl Rove, Dick Cheney,Bush n.k na lile kundi la watu 9 lililosabababisha mtikisiko wa uchumi duniani lilitoka wapi kwa uchache tu.

Na kama unadhani ujamaa wa Nyerere ulikuwa ujinga, hivi'' occupy wall street'' na wengine duniani wanagombea nini.

Tunachokataa ni kampeni chafu ya kusema uongo usioweza kutetewa wa kumchafua Nyerere kwa kumsingizia. Kampeni hii imejikita katika udini na imepandikizwa na mtu mmoja anayeandika maandishi ya uzandiki na uongo kwa kisingizio cha dini.
Amefanya baadhi ya watu kuwa mazezeta. Kama alivyosema Mkuu Mkandara, wapo wanaoamini mafanikio ya nchi hii yanategemea dini ya kiongozi. Tunapokuwa na taifa lenye wapuuzi kama hao ni hatari sana kuliko taifa lenye wajinga.
 
What the heck is this? matusi ya nini wakati nakueleza ukweli..Wewe umesema viongozi wa sasa hawaelewi nini free - market na Mchambuzi kakujibu hata wale INVETORS wa Free market walikuwa hawajui.. Sasa inahusiana neno hiliu na Investors?..besides Investor/investor hawana Ujamaa wala Ubepari, invetors wa free market kwa namna yoyote hawan mahusiano na investors.. Kubali makosa haiwezi kukupunguzia kitu na hata matusi hayawezi badilisha kitu...Umeongea pumba sii kosa kukubali umekosea lakini inapong'ang'aniza ndio unajiweka ktk kundi la wapuuzi..

Mkandara,
Mkiambiwa elimu ya Nyerere imekupotezeni mnabisha. Hapo Mkandara umechemsha, nenda kwenye Textbook, kabla hujapewa lecture.
 
Sijapotea hata siku moja kwa sababu najua fika waliofikiria na kuunda free market wamefikiria nani anastahili kuhodhi Uzalishaji kati ya seriikali na watu. They were never investors themselves na kisha investment inahusu pande zote mbili iwe Ujama au Ubepari na wale wanao invest ndio huitwa investors iwe ktk ujamaa au Ubapari lakini sio wala hawana mahusiano na inventors.
 
Nianze na aya ya mwisho. Niambie katika nchi zifuatazo ni ipi ina mandeleo kutuzidi kwa kukosekana ujamaa wa Nyerere; Kenya, Uganda, Malawi, Zambia, Kongo, Rwanda, Burundi, Burkina Faso, Ghana, Chad, Mauritania, Comoro, Haiti, Tonga na Fiji, Columbia. Hizo tu kwa uchache.

Nyerere alipewa madaraka na aliongoza nchi. Hakufanya majaribio kama ulivyofundishwa. Kama unadhani alifanya majaribio, basi niambie Mwinyi, Mkapa na Kikwete wamefanya kipi kipya ambacho hakina msingi wa Nyerere (usitaje internet, tv na pipi utachefua wasomaji)

Nyerere aliitwa Musa kwanini, na una uhakika neno haambiliki lina maana uliosema au ulisimuliwa. Nyerere aliitwa mzee kifimbo, Mchonga n.k je hayo nayo unayatolea maelezo gani.

Hebu waambie wana ukumbi ni rais wa nchi gani duniani aliyewahi kuweka misingi iliyotoa viongozi waadilifu bila kuwa na wezi, wabadhirifu, wafujaji na hata wabakaji. Nitajie mmoja tu.

Unasema Nyerere alishindwa kuweka misingi bora ya nchi. Hii ni jumla inaweza kuwa una hoja, hebu fafanua misingi bora ya nchi ni ipi kwa vigezo vinavyokubalika au hata vigezo vyako.

Mwisho: Unapaswa ujue kuwa kiongozi bora ni yule mwenye vision na si yule anayesikiliza watu wanasemaje ili awapendeze.
Ubora wa Nyerere unaonekana katika mambo aliyoyabuni ambayo unayaita majaribio.
Vision aliliyokuwa nayo Nyerere mwaka 1960, 1970 hadi anastaafu ndio inafanyiwa kazi leo. Soma mipango yake halafu usome ya akina Kikwete kisha uje utuambie ni kipi kipya katika yale ya leo.
Tatizo ni kuwa unaangalia vitu au mambo kwa ushabiki na upeo sana kidogo ndugu yangu.

Kama unadhani George Washington aliweka misingi inayotoa viongozi bora, basi jiulize Carl Rove, Dick Cheney,Bush n.k na lile kundi la watu 9 lililosabababisha mtikisiko wa uchumi duniani lilitoka wapi kwa uchache tu.

Na kama unadhani ujamaa wa Nyerere ulikuwa ujinga, hivi'' occupy wall street'' na wengine duniani wanagombea nini.

Umeandika kwa wingi, and yote unajua majibu yake. Sema nitakujibu hilo kwenye red.

Kwanza lazima ujue huwezi kucompare nchi nyengine na TZ. Sisi TZ tumebarikiwa zaidi kuliko nchi nyingi duniani. Kama tungeanza Free Market siku nyingi; basi nchi yetu ingekuwa mbali sana. Tuna ardhi kubwa, tusingekuwa tunatumia Jembe mpaka leo. Tungeadvance zaidi ktk commercial agriculture. Tungeweza kuprovide chakula Afrika au dunia nzima, na tunegpata opportunity hii kwa sababu nchi nyingi za Afrika na Dunia zilikuwa zina matatizo.

Also, tungeinvest kwenye R&D kama ilivyo kwa nchi zenye Free Market, na tungekuwa mbali ktk creativity. Siyo sasa hivi tunategemea kucopy kama vile nchi nyingi tu zilizokuwa na Ujamaa. Elimu ya Ujamaa inamfanya MTZ asiweze kufikiri in a big picture zaidi ya kuwa na agenda ile ile tu so called "Zidumu fikra za Mwenyekiti"
 
mwenzake anaongelea inventors yeye anakurupuka na investors ! Kaaazi kweli kweli !
Kasema hivi huyu mpmabe nuksi

Matatizo ya kukosa creativity na kuwa na mawazo mgando ya Nyerere where on earth umeona inventor anaweza kuwa na impact yeyote bila ya investors. Even invented government policies to boost economy are dependent of investors or banks putting money sembuse kingine chochote kwenye uzalishaji. Sasa sijui nani kaaazi kati ya mimi na wewe.
Nikajibu hivi in a deeper sense hata kama nilikosea inventor/investor hila ukweli wenyewe huko hapo juu (in parcticice).

Lakini mtu awezi lopoka kusema kwamba eti unaweza kopa IMF halafu usiwekewe conditions 'no-p' that is not a charity organisation jamaa watataka hela zao na wata kupa policies zao za ku-adapt hili wakusanye pato lao (with some room to formulate your own growth policies) if you can pay quicker, thats another fact. (the second paragraph ni reality check) maana at times it feels as if you're dealing with thick individuals.

What the heck is this? matusi ya nini wakati nakueleza ukweli..Wewe umesema viongozi wa sasa hawaelewi nini free - market na Mchambuzi kakujibu hata wale INVETORS wa Free market walikuwa hawajui.. Sasa inahusiana vipi neno hili na Investors?..
Besides, Investor/investor hawana Ujamaa wala Ubepari pote wapo na sio utawala, inventors wa free market kwa namna yoyote hawana mahusiano na investors. Kubali makosa haiwezi kukupunguzia kitu na hata matusi hayawezi badilisha kitu...Umeongea pumba sii kosa kukubali umekosea lakini inapong'ang'aniza ndio unajiweka ktk kundi la wapuuzi..

Kwa maana hiyo it's for you to find the correlation between inventor and investors in relation to my answer to Mag3 on my mistake and how capitalism works. Halafu ujiulize if your question poses any legitimate answer apart from pumba au kutukanwa which by the way ukileta heshima narudi hivyo ukija na kejeli expect nothing less from me.
 
Hiyo comperative advantange niliyokuwa nasema ni kuonyesha ni jinsi gani nyinyi Pro-Nyerere mnashindwa kuelewa kwamba Nyerere alishindwa kujua market ya wakulima wake wa jembe wa Ujamaa. Mkandara anasema kwamba West walikataa kununua mazao yetu kwa bei ya chini, lakini gharama zilikuwa kubwa kuliko bei ya mauzo!!

Sasa huoni kwamba Nyerere alifeli ktk hilo? Hivi utawaambiaje WTZ walime halafu washindwe kuuza mazao nje kwa sababu WTZ hatuwezi kuwa ktk same level in efficieny in World Trade?

Unajua tofauti ya kilimo cha jembe na commercial agriculture? Hapo ndipo utaona na utajua kutokujua kwa Nyerere.

Nchi ya Ujamaa haiwezi kuwa ktk same level na nchi yenye Free Market ktk production especially in terms of efficiency.

Hapo ndipo ujue kwamba, Ujamaa wa Nyerere ulikuwa scam kwa WTZ na TZ kwa ujumla.

Yani mzee,
hata sijui nianzie wapi kujibu hoja yako; kwa kifupi:

1. Bado haujamuelewa Mkandara kuhusu bei za mazao (durables vs perishables, how the commodity market works, issue ya price unpredictability, deterioration of terms of trade...);
2. Hauelewi vya kutosha suala la Subsistence economy aliyorithi mwalimu ilikuwaje - ambayo wakoloni waliifanya iwe ya jembe la mkono kwa makusudi, and why Nyerere did what he did; vis-a-vis settler economies za kenya, zimbabwe......
3. Hauna uelewo wa kutosha juu ya juhudi za Mwalimu to mechanize kilimo chetu ili kiwe modern, na alikisogeza wapi vis a vis mkoloni, and what were the constraints;
4. Sio sahihi kujadili Ujamaa kama ilikuwa ni mbio za riadha kushindana na free market;

Na ndio maana unakuja na conclusion kwamba Ujamaa ulikuwa Scam, kitu ambacho hata waliouelewa na kuupinga hawaku brand ujamaa as a Scam, but argued ulikuwa na mapungufu;

Scam means 'defraud'................
 
Kasema hivi huyu mpmabe nuksi

Nikajibu hivi in a deeper sense hata kama nilikosea inventor/investor hila ukweli wenyewe huko hapo juu (in parcticice).

Lakini mtu awezi lopoka kusema kwamba eti unaweza kopa IMF halafu usiwekewe conditions 'no-p' that is not a charity organisation jamaa watataka hela zao na wata kupa policies zao za ku-adapt hili wakusanye pato lao (with some room to formulate your own growth policies) if you can pay quicker, thats another fact. (the second paragraph ni reality check) maana at times it feels as if you're dealing with thick individuals.

Kwa maana hiyo it's for you to find the correlation between inventor and investors in relation to my answer to Mag3 on my mistake and how capitalism works. Halafu ujiulize if your question poses any legitimate answer apart from pumba au kutukanwa which by the way ukileta heshima narudi hivyo ukija na kejeli expect nothing less from me.
Haaaa matusi huniwezi hata kidogo na wala hutataka kwenda huku kabisa....

Kwanza umeruka, mlipoanzia ni hapa:-
Uwezi ku-make decisions bila ya kujuwa the final outcome, its the first thing you think off before you invest. Leo hii madhara yote yaliyotekea chini ya mwalimu ni failure and nothing else, hata uongozi wa leo ambao umetayarishwa na mwalimu ni failures that is to say Mlm was a complete failure in many aspects. Hapo ndio pakuanzia kama unamtetea na au unamkataa, inabidi kufikiria kwa namna yake and what he expected from his decision. From there on you make a grown up decisions and mine his he was a failure and what we have is the by-product of his leadership from the current leadership to the sakapoko free-market. To be honest i dont think these leaders have a clue of the free-market
Hakuna mahala panahusu Inventors ...
Na Mchambuzi akakujibu hivi Hata hao inventors wa Free market had no clue...wewe ukakurupuka na Investors - haihusu mkuu wangu tatizo liko wapi?.Unachoandika hapo juu ni majibu kwa Mag3 kujisafisha..
 
Umeandika kwa wingi, and yote unajua majibu yake. Sema nitakujibu hilo kwenye red.

Kwanza lazima ujue huwezi kucompare nchi nyengine na TZ. Sisi TZ tumebarikiwa zaidi kuliko nchi nyingi duniani. Kama tungeanza Free Market siku nyingi; basi nchi yetu ingekuwa mbali sana. Tuna ardhi kubwa, tusingekuwa tunatumia Jembe mpaka leo. Tungeadvance zaidi ktk commercial agriculture. Tungeweza kuprovide chakula Afrika au dunia nzima, na tunegpata opportunity hii kwa sababu nchi nyingi za Afrika na Dunia zilikuwa zina matatizo.

Also, tungeinvest kwenye R&D kama ilivyo kwa nchi zenye Free Market, na tungekuwa mbali ktk creativity. Siyo sasa hivi tunategemea kucopy kama vile nchi nyingi tu zilizokuwa na Ujamaa. Elimu ya Ujamaa inamfanya MTZ asiweze kufikiri in a big picture zaidi ya kuwa na agenda ile ile tu so called "Zidumu fikra za Mwenyekiti"

Ni jambo la kufurahisha sana jinsi gani unaipenda nchi yako na kuiona kuwa na potentials zote hizo eventhough nyingine kidogo za kulisha dunia nzima ni exaggeration; lakini ujumbe wako umefika, kwani ni kweli tumejaliwa kwa rasilimali nyingi sana; lakini suala la kwamba tulichukua a wrong route na Ujamaa, otherwise tungekuwa mbali sana kiuchumi, kama wapo - hao unaotufananisha nao kwamba wao walifuata soko huria mara baada tu ya uhuru, na kwenda mbali zaidi yetu, ni kina nani na wapo umbali gani, na wamefikaje huko?
 
Lakini tofauti kati ya USA na sisi ni kwamba-Nyerere kaweka misingi ambayo mpaka leo inaendelea kutoa viongozi wabovu.

Nyerere alipenda na alitaka fikra zake zidumu milele. Alishindwa kutuekea misngi bora ya nchi. Nyerere alishindwa kutuekea misingi bora ya demokrasia; kwa sababu yeye mwenyewe alikuwa hapendi demokrasia ndiyo maana alikuwa anaitwa "Haambiliki"

Nyerere alipewa madaraka aongoze nchi na si kufanya majaribio. Kajaribu Ujamaa kwa akili zake za kukopi bila ya kujua madhara yake. Matokeo yake- mpaka leo tupo nyuma kimaendeleo.

Kuhusu kuwa nyuma kimaendeleo, nimelijibu mara nyingi sana hili na kuwauliza maswali je walioendelea na soko huria mbona wapi sawa na sisi leo, e.g kenya? Nigeria tumewapita, mmekimbia majibu;

Kuhusu misingi ya nyerere kuweka misingi inayotoa viongozi wabovu ni suala ambalo nadhani litazame upya tena kabla hatujalijadili kwani kidogo haupo in touch with reality hapa; je una maana miiko na misingi ya uongozi kwa mfano ndani ya azimio la arusha ambayo ilifuatwa na viongozi mpaka 1985 ilikuwa ni misingi mibovu? na azimio la arusha kutupwa kwenye jalala 1992 na kuzaa azimio la zanzibar ambalo ndilo limezaa mafisadi leo, ndio matokeo ya misingi mibovu ya mwalimu?

Hoja yako kwamba Mwalimu alishindwa weka misingi bora ya nchi, waliokuja wameweka misingi ipi iliyo bora kuliko yeye?

Kuhusu mwalimu ku copy ujamaa, ame copy wapi wakati historia yote duniani inamtaja yeye ndiye architect wa african socialism? hivi unaelewa ujamaa ni nini? au unachanganya ujamaa na communism? na hawa viongozi wa sasa wao sio wa ku copy, right? Free market imetokea wapi, Songea?
 
Ni jambo la kufurahisha sana jinsi gani unaipenda nchi yako na kuiona kuwa na potentials zote hizo eventhough nyingine kidogo za kulisha dunia nzima ni exaggeration; lakini ujumbe wako umefika, kwani ni kweli tumejaliwa kwa rasilimali nyingi sana; lakini suala la kwamba tulichukua a wrong route na Ujamaa, otherwise tungekuwa mbali sana kiuchumi, kama wapo - hao unaotufananisha nao kwamba wao walifuata soko huria mara baada tu ya uhuru, na kwenda mbali zaidi yetu, ni kina nani na wapo umbali gani, na wamefikaje huko?
Mkuu wangu lazima ufahamu kwamba binadamu tunapima maendeleo kwa yale tunayoyaona na hakuna mfano wa dunia tunayoitaka. Iwe ktk maendeleo au maisha bora kwa wote kwa sababu hatuwezi pima kitu ambacho hatujakiona. Na ndio maana wengi tunajifananisha na Marekani, UK, Norway na kadhalika nje ya hapo hatuna tujualo lakini maajabu ni kwamba kuna watu wanafikiria Tanzania ingekuwa sijui nini kama tusingekuwa Wajamaa.

Na inasikitisha sana maana hata siku moja mimi binafsi siwezi kuwalaumu wazazi wangu kwa kunizaa ktk umaskini na kuanza kufikiria kama wasingekuwa maskini ama kuwa WAKULIMA leo hii mimi ningekuwa mbali sana...Halafu basi kati yao wote hawa wamezaliwa ktk mazingira sii tofauti sana na yangu lakini sote tumechukua njia tofauti kabisa na wazazi wetu. Wapo madaktari, Mainjinia hapa wapo walibakia ktk ukulima na wakafanikiwa na wapo walijaribu taaluma, biashara ama kazi hizi hizi na wameshindwa...

Mara zote ukimsikia mtu kashindwa na anaanza kutafuta mchawi jua tayari akili yake imeshachoka kutafuta ufumbuzi na kwa wale wote wanaomlaumu Nyerere ni kwa sababu wameshindwa kutoka na akili zimefunga hivyo lazima kuwepo mchawi..
 
Kama alifikiria mbali mbona Ujamaa wake haupo tena? Na alikubali mwenyewe kwamba UJAMAA UMEFELI!!

Je wa sasa anakubali ubepari umefeli? au kwa mtazamo wako umefanikiwa?
 
Yani mzee,
hata sijui nianzie wapi kujibu hoja yako; kwa kifupi:

1. Bado haujamuelewa Mkandara kuhusu bei za mazao (durables vs perishables, how the commodity market works, issue ya price unpredictability, deterioration of terms of trade...);
2. Hauelewi vya kutosha suala la Subsistence economy aliyorithi mwalimu ilikuwaje - ambayo wakoloni waliifanya iwe ya jembe la mkono kwa makusudi, and why Nyerere did what he did; vis-a-vis settler economies za kenya, zimbabwe......
3. Hauna uelewo wa kutosha juu ya juhudi za Mwalimu to mechanize kilimo chetu ili kiwe modern, na alikisogeza wapi vis a vis mkoloni, and what were the constraints;
4. Sio sahihi kujadili Ujamaa kama ilikuwa ni mbio za riadha kushindana na free market;

Na ndio maana unakuja na conclusion kwamba Ujamaa ulikuwa Scam, kitu ambacho hata waliouelewa na kuupinga hawaku brand ujamaa as a Scam, but argued ulikuwa na mapungufu;

Scam means 'defraud'................

1: Nimwemmbia factors zinazosababisha changing in price ni supply na demand. Yeye akaja na jibu kwamba West walitaka kununua bei ya chini. Nikampa jibu ni efficiency. West wanatumia advanced commercial agriculture with higher technology, halafu Nyerere na Ujamaa anataka kwenda kuuza mazao ya Ujamaa kwenye World Trade? hiyo ni joke ya Nyerere kwamba alishindwa kuelewa kuna competitive around the world especially from nchi za kutoka ktk free market zenye advanced tech. Hiyo ni failure ya kiongozi.

2: Ok wakoloni walitaka kwa "makusudi" tutumie jembe!! is that your rational thought? Blame wakoloni. By the way, Nyerere alichukua uamuzi kwa makusudi kwa njia ya kujaribu idea. Alifikiri yeye ni "Genius" Huwezi kuongoza nchi kwa kujaribu. Na Nyerere alifanya hivyo ili aonekane kama anaejali ya maslahi ya WTZ, lakini alishindwa kujua madhara yake.

3: Do you know what I know? Nyerere alichukua WTZ kwa nguvu na kuwapeleka vijijini kwa makusudi lil waanze kulima. Kuna ushahidi tosha ambao unaonesha jinsi WTZ walivyofanyiwa na kuhamishwa kwa nguvu na sera hizo za Nyerere. Sasa kama Nyerere alikuwa smart, kwa nini aliwapeleka WTZ vijijini bila ya misingi imara ya Kilimo kama vile maji nk?

4: Nyerere alikuwa na choice, alichagua wrong choice-Ujamaa. Sasa kwa nini tusiangalie benefit ambazo tungezipata kama tungechagua njia nyengine.

Unaweza kusema ni Scam. Unajua viongozi wote kama kina Nyerere alikuwa wanajifanya wanapinduzi lakini tabia waliyopata baada ya kuchukua nchi ilikuwa terrible kwa wale waliowachagua. Viongozi wa Ujamaa walikuwa wanapromote haki kwa wote, maisha bora nk. Lakini walipopata hayo madaraka walibadilika na kuwa Madictator wakubwa akiwemo Nyerere. Ndiyo maana nimesema ni scam. Wanapromise halafu wanabadilika.
 
Kama alifikiria mbali mbona Ujamaa wake haupo tena? Na alikubali mwenyewe kwamba UJAMAA UMEFELI!!

Sasa kama ujamaa wa Nyerere ulifeli huu ubepari wa waliomfatia we unaona umefaulu sana eeh! Yani uchafu na umasikini wa leo Tanzania hii we ndio unaona ni mafanikio? Au unajivunia ubepari wa west? Ndio alifikiria mbali, fikra zake ndio reference ya uadilifu Tz na Africa leo hii...
 
1: Nimwemmbia factors zinazosababisha changing in price ni supply na demand. Yeye akaja na jibu kwamba West walitaka kununua bei ya chini. Nikampa jibu ni efficiency. West wanatumia advanced commercial agriculture with higher technology, halafu Nyerere na Ujamaa anataka kwenda kuuza mazao ya Ujamaa kwenye World Trade? hiyo ni joke ya Nyerere kwamba alishindwa kuelewa kuna competitive around the world especially from nchi za kutoka ktk free market zenye advanced tech. Hiyo ni failure ya kiongozi.
Mkuu wangu hii sii kweli kabisa hapakuwa na swala la Demand wala Supply kwa mali zetu..
Na ndio maana nasema pengine hamjui maana ya depression kwa sababu depression ni zaidi ya recession lakini bado nyie mnazungumzia recession..Pengine tafuteni maana yake kwanza kisha mrudi tuzungumze kwani depression haihusiani kabisa na business circle ila ukisema recession... Yes hii hutokea ktk business circle na yalotukuta sisi mwaka 1982 hayakuhusiana kabisa na recession na mazao ya dunia nzima (cash crops) yalikosa wanunuzi as a shrinkage output - Kwa hiyo unapotoa tafsiri na maelezo yangu kwa kufikiria ni recession unakosea sana mkuu wangu..
 
Haaaa matusi huniwezi hata kidogo na wala hutataka kwenda huku kabisa....

Kwanza umeruka, mlipoanzia ni hapa:- Hakuna mahala panahusu Inventors ...
Na Mchambuzi akakujibu hivi Hata hao inventors wa Free market had no clue...wewe ukakurupuka na Investors - haihusu mkuu wangu tatizo liko wapi?.Unachoandika hapo juu ni majibu kwa Mag3 kujisafisha..

land, labour, capital and entrepreneurship its for you to find the order of the why's and how's of the process, sibi-shanii mimi nonesense good night. By the way matusi si suala la kujivunia and its not somen i'd rather be proud off in the world where there is so much to proud off. Hila if i can call i my own dad a useless individual, trust me kwako itakuwa moto.

Alamsiki.
 
land, labour, capital and entrepreneurship its for you to find the order. The whys and how its for you to figure me out, sibi-shanii mimi nonesense good night. By the way matusi si suala la kujivunia and its not somen i'd rather be proud off in the world where there is so much to proud off. Hila if i can call i my own dad a useless individual trust me kwako ni moto.

Alamsiki.
Haya yale yale....who did call ur dad useless!... lugha jamani taabu sana turudishe kiswahili iwe lugha ya kufundishia.
 
Back
Top Bottom