Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,596
- 1,236
Nimeishasema mimi sio madhehebu ya kikiristo. Chunga sana, dogo!FF
Unajuwa hawa jamaa hata Halloween wameshaanza kusherehekea hapa TZ. Baadaye watasema iwe sikukuu ya kitaifa!! Halafu wakiulizwa kwa nini mnashereheka? watesema mbona nchi nyengine duniani za ... zinasherehekea!!
Usitake kunifundisha. Kutokuwa Mkristo hakuna maana ni lazima uwe Mwislamu. Vipi wewe, mbona mwangalio wako finyu sana? Bado ninakungoja unijibu hoja. Mbona unazidi kuzunguka mbuyu, bi mdogo, yamekushinda sio?Lugha zako si njema, mara "dogo", mara "bi mdogo", mara mwanamke. Hivi unanini wewe? hicho katika Uislaam kinaitwa "Kibri" au (kujitukuza) na kuona wengine mradi tu wapowapo na hawana hadhi kama yako. Wewe unasema si madhehebu ya Kikiristo lakini kama ni Muislaam inabidi ujirekebishe sana kwa faida yako.
Duhu, mwa'netu huna hata haya? Nakuambia hata Lisa Miedah Valentine (huyo uliyemuibia sura kwenye avatar yako) sidhani kama ana mawazo potofu pia na uongo kama wako!Looh hata link hujaiona? na hapo si kukuambia Muislaam soma vizuri. "kama" hujaiona; kama link hujaiona basi unamatatizo ya kuona rudi tena hapo juu kidogo, na sasa pokea hii article itakusaidia ufaham wako, vipi Kiingereza kinapanda kidogo au Kiarabu?: Saudi Female Bloggers Meeting in Riyadh « American Bedu
Ukiona anaanza viroja ujuwe hana hoja.
Duhu, mwa'netu huna hata haya? Nakuambia hata Lisa Miedah Valentine (huyo uliyemuibia sura kwenye avatar yako) sidhani kama ana mawazo potofu pia na uongo kama wako!
Kwaaaaakwkakwkaaaaakwa, umenifanya nicheke sana, pole sana naomba soma kuhusu "The kunyah (الكنية😉" au "nick name". Usikurupuke. Sikisii.QUOTE]
Soma Quran Surat : Al-Hujurat ayat 12
[/49:12] O ye who believe! let not one people deride another people, who may be better than they, nor let women deride other women, who may be better than they. And defame not your own people, nor call one another by nicknames. Bad indeed is evil reputation after the profession of belief; and those who repent not are the wrongdoers.
Turudi kwenye Maana ya hiyo nick name ya Foxy
1.Sexually appealing/attractive
2.one hot spunky piece of ass, who is just perfect for *******ng
Kwa ujumla Mama Faiza hilo Foxy si sahihi kwa binti wa Kiislamu kulitumia ndio maana niliwahi kukwambia tafuta ustaadh wako ajaribu kukupa darsa, na hapa siongelei utamaduni wa kiarabu, naongelea kanuni na taratibu za Kiislam; umeweka link Arab google weka ya Kiislamu ndiyo ninayoitaka.
Chama
Gongo la Mboto DSM
Asante chama kwa kuliona hilo. Ndo maana namwambia FaizaFoxy amezidi uongo. Kwanza hiyo search ya arab forums kwenye Google haithibitishi chochote na kile nilichomuuliza. Pia hiyo makala nyingine aliyoiweka ndo kabisa inaonyesha jinsi gani akili yake ilivyo. Halafu utaona vilaza kama ritz nao wanajidai kumpa FF sapoti bila aibu, duh!Kwa ujumla Mama Faiza hilo Foxy si sahihi kwa binti wa Kiislamu kulitumia ndio maana niliwahi kukwambia tafuta ustaadh wako ajaribu kukupa darsa, na hapa siongelei utamaduni wa kiarabu, naongelea kanuni na taratibu za Kiislam; umeweka link Arab google weka ya Kiislamu ndiyo ninayoitaka.
Kwanza pole sana kwa sad story yako. Pili, sina tatizo na US wakiwa na Father au Fathers. Hilo sipo kabisa huko.
Mimi nipo na imani yangu ya Kiislaam, siruhusiwi kumuita mtu yeyote baba zaidi ya aliyenizaa. Na pia hapa Tanzania Waislaam wenye msimamo kama wangu ni wengi sana, kwanini basi hawa wasio Waislaam walazimishe tumuite Nyerere "baba" wa Taifa wakati imani yetu hairuhusu? na hicho ni cheo kinachpatikana katika Ukristo na Kikatoliki ndio kabisa, nadhani nimeainisha mara nyingi na Ritz hapo juu kaweka list kamili ya u "baba".
Hili Waislaam hatukubaliani nalo, labda wale wasiojuwa maana.
You are left speechless, eh?83 vs 17 = equality
JK analitamkaga kwa shidashida, Mzee AHM ndio amelitumia mara nyingi tu. Hii ni hadhi ya KISIASA haina hata chembe ya UDINI. Vinginevyo hata Dar hapakufai kuishi kabisa. Mabucha ya nguruwe kila kona, ushoga kila mahala tena mwingine ukiratibiwa na Waislaam wenzako, kumbi zingine za starehe zimepakana na misikiti, mahoteli ya nguruwe na pombe kila kona,...
Wewe unahangaika na U-Baba wa Taifa wa Mwalimu. Unalo jingine. Uislaam umeurithi tu. Unaonekana kuwa Muislaam zaidi ya waliokurithisha. Tuambie jina lako halisi. Uislaam hauruhusu kujipachika majina au jinsia bandia.
and this piece?Mi nashauri mkubaliane kutokukubaliana. Mwandishi ameelezea utofauti kati ya Baba na Rais bora wa Taifa,kila mtu ameelewa,labda kama mtu hakubali. Halafu ameonyesha kuwa asili ya ubaba wa taifa ama jina hilo haikutokea kanisa katoliki wala si Roma wanaotoa jina hilo kwa viongozi wa nchi hapa duniani,iwe za kiislamu au kikristo. Hata hatukuwahi kusikia aliyetoa jina hilo alikuwa kardinali Rugambwa au Pengo! Mi nadhani imechukuliwa kifamilia zaidi kwamba...kiongozi wa familia huwa ni mwanamume. Na kwa bahati ni kwamba wanaharakati wengi katika ukombozi na mapinduzi ya nchi zao,walikuwa wanaume... Kifamilia kuna mambo ambayo hayakamiliki hadi baba aje.. Heshima ya ubaba,ni kuonesha uongozi,msimamo,ujasiri,vision,na maamuzi ambayo hata kama yatapingwa na watoto au wake zake,ya baba yanakuwa ya mwisho.. Someone can correct me ila huo ndiyo ufahamu wangu.
Wewe na nani? Sijaona unaungwa mkono na Waislamu walio wengi humu jamvini zaidi ya vilaza wachache ninaoweza kuwahesabu kwa vidole vya kiganja kimoja. Kwa hiyo usitake kujifanya wewe ndie muwakilishi wa Waislamu wote humu jamvini!Kwanza kabisa inabidi utuombe msamaha...
tofauti na heshima ya baba wa taifa ambayoe inatambulika kisheria, heshima rais bora huwa ni maoni ya wananchi walio wengi ambayo hupitia mchakato wa tafiti/vipima joto mbali mbali zinazolenga kukusanya maoni ya wananchi
87% + 17% = 100% . Chumba cha wapagani/wenye kuamini mila zetu asilia kipo wapi kwenye hiyo 100%?83 vs 17 = equality
Kipo kwenye 17%
Kwenye uzi mwingine Historian scholar Mohamed said alisema vita ya maji maji ilikuwa ni vita ya waislam na wakristu. Nikamuuliza zile "Mahoka" zilizochomwa moto na wajerumani ndio ilikuwa misikiti? lolFaizaFoxy said:Kipo kwenye 17%
Ha ha ha...! Wewe mama ukiishiwa unakuwa huna hata aibu. Hiyo ndiyo miongozo ya dini yako inayokufanya ubuni vitu na kuvisema kama ukweli?
hakika wewe ni great thinker!
sasa ngoja tusubiri mitazamo ya kina FF,RITZ,MS,REJAO ili tujue nao wana maoni gani