Nyerere: Salaam zenu mnaomkejeli!

Nyerere: Salaam zenu mnaomkejeli!

Nyerere was a living "Saint". Itakuja julikana hivyo miaka ya mbeleni sana....Kwa bahati mbaya, wewe na mimi na yule hatutakuwepo hapa duniani.
 
Hakuna kitu kama hicho, atupe maandiko yaliyomo kwenye mtandao, asituambie mabango ya Airport, huo si ukweli. Mimi nimekaa SA na UAE hakuna kitu kama hicho na wewe nakupa challenge, mtandao unao mbele yako, tuoneshe kwenye maadiko hayo. Hivi ayajuwe yeye na mtandao wote huu usiwe na hayo maandiko? wewe labda kwa kili zako ndefu unaweza ukayakubali hayo, FF ana akili fupi sana.
Hapa hueleweki unataka kusema nini. Yaani kukaa SA na UAE ndo unajiona umeerevuka siyo? Huo si kitu kingine bali utumwa wa akili (slave mentality) ambao ni kitu kigumu sana kukiondoa akilini. Kwanza kama kweli weye ni mwislamu safi basi ingefaa uondoe hicho kipande "foxy" kwenye jina lako ili tukuelewe vizuri zaidi. Nadhani umenielewa!
 
mwandishi katofautisha kati ya Rais bora na Baba wa Taifa. Vitu viwili tofauti. Aliyepropose jina la Baba mi naona aulizwe Kingunge N. Mwiru! Mi namkubali Nyerere aitwe Baba wala hainishushii chochote,wala cheo hicho kikiondolewa sitajali. Ila kumuita Rais bora,hilo ntapinga sana!
 
Kesi ya nyani unaipeleka kwa ngedere? Unanchekesha!

[TABLE="class: plain"]
[TR]
[TD]
andrew_rashbass.jpg
[/TD]
[TD]Andrew Rashbass
Group chief executive
Andrew was formerly Group chief information officer, managing director of Economist.com, and managing director and publisher of The Economist. He joined the Group in December 1997 from Associated Newspapers.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
susan_clark.jpg
[/TD]
[TD]Susan Clark
Managing director, CEMEA and Group marketing director
Susan joined the Group in July 2005 from Le Meridien Hotels & Resorts as global marketing director of The Economist, and added publisher, CEMEA to her remit in 2007.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
oscar_grut_headshot_small.jpg
[/TD]
[TD]Oscar Grut
Group general counsel and company secretary; managing director, digital editions. Oscar joined the company in 1998 from Linklaters.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
nigel_ludlow_headshot_small.jpg
[/TD]
[TD]Nigel Ludlow
Managing director, UK
Nigel joined the marketing team of The Economist in January 1984 and subsequently became global marketing director and later managing director of the Economist Intelligence Unit.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
paul_mchale.jpg
[/TD]
[TD]Paul McHale
Group HR director
Paul joined the company in 1999 from United Biscuits, where he was an HR manager at McVitie's. He began his career at J Sainsbury, working chiefly in management development.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
johnmicklethwait_headshot_2011small.jpg
[/TD]
[TD]John Micklethwait
Editor, The Economist
John was appointed as a director of The Economist Group in May 2006. He has been editor of The Economist since April 1st 2006, having joined the editorial staff in July 1987. Previously he was US editor. John is the co-author of five books (with Adrian Wooldridge), most recently "God is Back".[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
tim_pinnegar_thumb.jpg
[/TD]
[TD]Tim Pinnegar
Managing director, Asia
Tim joined the company in 2001, having worked for Leo Burnett Asia. Before being appointed managing director he was publisher of The Economist, Asia Pacific. Tim is based in the Group's Singapore office.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
paul_rossi_headshot_small.jpg
[/TD]
[TD]Paul Rossi
Managing director and executive vice-president, Americas
Paul joined The Economist in 1987, managing advertising sales for the Middle East and Africa. He went on to become advertising director in Asia and subsequently in North America; commercial director and then publisher of Economist.com; and, latterly, publisher of The Economist in North America.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
chris_stibbs.jpg
[/TD]
[TD]Chris Stibbs
Group finance director
Chris joined the company as Group finance director in July 2005, and in April 2010 was also appointed as managing director of The Economist Intelligence Unit. He was previously corporate development director of Incisive Media, finance director of the TBP Group and director of the FT Law and Tax Division.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
white_headshot_small.jpg
[/TD]
[TD]Keith White
Managing director and executive vice-president, CQ Roll Call
Keith joined the Group in August 2009 as associate director, CQ Roll Call, as part of Roll Call's acquisition of Congressional Quarterly. Prior to that, he spent eight years as general manager and publisher of CQ in Washington, DC.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Huwezi kuelewa nilichoandika katu!!!!!!!!!! it's just plain simple, hivi si ni wewe kila siku unasema ooh! badala ya kujadili hoja wanajadiliwa watu sasa hao uliobandika ni kuku??????? Au ndiyo kudiscuss hoja huko hahahaha ahahahahah!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mwalimu alishaitwa Baba wa Taifa siku nyingi tangu alipostaafu. Kuikataa heshima hiyo leo kutabadili nini? Wala sio jina bandia kama FaizaFoxy, WildCard,...Kampeni za sasa za kumwondolea sifa, heshima na hadhi yake zimechelewa sana na wala hakuna anayeweza kusimama popote akasikilizwa nje ya baadhi ya misikiti na mihadhara ya kijinga
 
YAH: FAIZA FOXY NA MATUMIZI YA NENO "BABA" KWA MWALIMU NYERERE.

WADAU:

Katika Mjadala huu wa BABA WA TAIFA, kuna uwezekano mkubwa sana kwamba hatumtendei haki dada yetu Faiza Foxy, Gamba La Nyoka, Nas Daz, Topical na wengine kwa sisi kutoelewa msingi wa hoja juu ya kupinga matumizi ya neno BABA kama heshima kwa Mwalimu kwa kutukomboa. Kwa mtazamo wangu, msingi wa hoja yake unaweza kuwa na sura moja kati ya hizi, mbili kati ya hizi, au zote tatu kwa pamoja:

1. Kwanza, Faiza Foxy hakubaliani na matumizi ya neno BABA in the context of mjadala wetu kwasababu ISLAM HAS NO FATHER. Kama hoja yake inatokana na hilo, ni muhimu sana tuheshimu msimamo wake kwani ni kweli Hakuna BABA katika dini ya Kislam. Kwahiyo inawezekana pia hata Viongozi wetu wakuu (sina haja ya kutaja majina) wanasukumwa na hilo, lakini haina maana kwamba hawamheshimu Mwalimu kiwango au nafasi hiyo. Kama nipo sahihi, basi Viongozi Wetu wakuu wenye dini tofauti na ile ya Nyerere kumwita Nyerere MZEE NYERERE sio tu ni sahihi, bali ni haki yao, ilimradi katika tafsiri zao, wanamheshimu Nyerere as a figure equivalent to BABA WA TAIFA, na pia wana ufahamu kwamba wanawaongoza wapiga kura wengi sana ambao Nyerere kwao ni BABA WA TAIFA. Faiza Foxy na wengine wote wenye imani tofauti na Mwalimu Nyerere wana haki ya kumwita Nyerere vyovoyote wanavyotaka, ili mradi iwe ni equivalent to heshima anayopewa na wengine wasio na kikwazo cha kumuita BABA WA TAIFA. Lakini muhimu hapa pia ni kwamba, kwasababu Katiba ya sasa ya Tanzania haina dini, mjadala wa kuhoji uhalali wa Mwalimu kuitwa BABA ni mgumu sana kama ule ule wa kuhoji Mwalimu kutoitwa BABA. To reach a Consensus katika hili, in my view ni kwanza kwa kukubaliana kwamba tatizo kubwa lililopo sio Mwalimu kutambulika hivyo, bali kukosekana kwa title ambayo inaashiria heshima hiyo hiyo, lakini inayokubalika katika jamii Jamii nzima – bila ya kuhoji uhalali wa Mwalimu kupewa heshima itakayokuwa universal kwa wote.

For the purpose of this discussion (only this post, sio topic nzima) ili niweze kujenga hoja yangu inayofuata hapo chini, naomba nitumie neno jingine equivalent to BABA WA TAIFA, kwa Nyerere - tumuite "MWANZILISHI WA TAIFA", again, only for the purpose of mimi kuweza endelea kujenga hoja inayofuatia katika SEHEMU YA PILI (2) hapo chini. Naombeni muelewe kwamba natumia neno "MWANZILISHI" kuweka heshima kwa waumini wote, katika ujenzi wa hoja yangu tu, lakini binafsi, haibadili heshima yangu kwa Mwalimu Nyerere kwamba ni BABA WA TAIFA LA TANZANIA. Dada Faiza, tafadhali fafanua kama tatizo kuhusu matumizi ya jina BABA kwa Nyerere lipo kwenye hoja yangu hii ya kwanza. Kama tatizo ni zaidi ya hilo, tuendelee kwenye hoja ya pili.

2. Pili, mbali na uwezekano wa Faiza na wengine kusumbuliwa na matumizi ya neno BABA kwa Nyerere, kitu ambacho kama tulivyokwisha ona, ni lazima tukiheshimu, inawezekana pia hakubaliani na hoja kwamba Nyerere ni "MWANZILISHI WA TAIFA", Kutokana na ye ye binafsi au na wengine kutotambua mchango wa Mwalimu Nyerere katika harakati za ukombozi wa Tanzania kutoka kwa wakoloni. Hii ni kutokana na uwezekano wa wao kuwa na mtanzania/kiongozi mwingine ambae wanamtambua kwamba ndiye anaestahili kupewa heshima ya MWANZILISHI WA TAIFA, na sio NYERERE. Dada Faiza Foxy na wengine, tafadhali fafanua iwapo, mbali na matumizi ya neno BABA kwa Nyerere, pia hamkubaliani na hoja kwamba yeye ndiye anastahili kuwa na heshima ya namna hiyo, na badala yake, yupo kiongozi mwingine (TAYARI YUPO LAKINI MNAONA HAJAPEWA HSHIMA HIYO) ambae nyinyi mnamtambua hivyo au mngependa atambuliwe hivyo rasmi kitaifa. Dada Faiza, kama hoja zako kupinga heshima hiyo kwa Nyerere ipo informed na sababu ya kwanza (rejea kule juu) na hii ya pili, tafadhali uwe unajipanga namna hiyo katika hoja zako ili tuwe na mjadala wenye tija na afya kwa wote, bila ya kuvunjiana heshima ya imani zetu. Lakini iwapo hoja ya kwanza nah ii ya pili bado hazitoshelezi sababu zako kupingana na heshima hii kwa Mwalimu, nimebakiza sabbu moja tu hapa chini kama ifuatvyo...

3. Tatu, kuna uwezekano kwamba, mbali ya hizo hoja mbili hapo juu, Dada yetu Faiza, ambayo ni yeye binfasi au na wenzake kwa pamoja wanahisi kwamba, uundaji wa taifa la Tanzania, pamoja na harakati zote za kulikomboa zilikuwa batili, na kwamba kama jamii (maana taifa halipo basi), harakati za ukombozi bado zinaendelea; kwa hivyo, jamii hii (sijui niite nini maana haiwezi kuwa ya watanzania tena kama Nyerere ni batili) lazima iendeleze mapambano fulani (ambayo itabidi mtufafanulie), ili kuondokaana NA HALI (maana sina uhakika wa kutumia neno KUONDOKANA NA UTAWALA kwani kama upo, mwanzilishi wake anajulikana kihistoria kama Nyerere), ya kukosekana kwa, kwani jamii imejaa dhuluma, uonevu, ubaguzi, huku kukiwa na ukosefu wa fursa na haki sawa kwa watu katika JAMII (nasita kutumia neno wananchi kwani kwa hoja hii ya tatu, nchi ya Tanzania kihistoria ni batili) kwa MAKUBALIANO yaliyopo katika kundi fulani au jamii kwa ujumla (nasema makubaliano badala ya KWA MUJIBU WA KATIBA kwa sababu katiba iliyopo maana yake ni kumtambua muasisi wake, Nyerere kama alivyo); na sina uhakika kama ni sahihi kutumia neno bila ya kujali dini, rangi, kabila, au jinsia, kwani katiba ya sasa haibagui waliopo kwa mpangilio huo. KWA KIFUPI, HAPA NI KUIKANA HISTORIA YA SASA NA KUTAKA KUIANDIKA UPYA, KUZAA NCHI UPYA, PENGINE HATA MIPAKA MIPYA, NA KUJIPATIA "MWANZILISHI" MWINGINE WA TAIFA.

Pengine nimalizie kwa kusema kwamba iwapo hoja ya dada yetu inatokana na sababu ya kwanza (rejea kule juu) i.e. BABA NA UISLAM haviendani, na kwamba hana sababu yoyote nyingine, sio kwamba ni sahihi lakini ni haki yake, na tumheshimu kwa hili, ili mradi atupatie neno lingine ambalo lita cross over pande zote mbili kumpa Mwalimu Nyerere Heshima yake tunayoizungumzia katika hii mada tangia jana.
Kama hoja yake ni hiyo tu – baba na dini ya kislam haviendani, na mimi nimebahatika kupata sehemu ya kitabu kimoja hapa on hard copy, mtunzi wake Bhukari Muhammad (1987):

Bukhari, Muhammad,Kitab Bhavan, New Delhi, India (1987), Volume 4, Book 55, Number 654.

Kitabu hiki kinaleza kwamba kwamba:

Uhusiano uliopo kati ya Mohamed and Alah ni ule wa a Slave to his Master, with Obedience, na sio Love kama ndio the primary impulse. Kitabu kinazidi kusema kwamba hii ni tofauti na dini ya Kikristo ambapo MUNGU anaitwa BABA kwasababu yeye ni Creator, Life – Giver, Law – Giver, and Protector, na pia kutokana na uhusiano wa BABA NA MWANA that was revealed by JESUS .
Kuna sehemu mwandishi anam quote Mtume Muhammad akisema:

"Do not exaggerate in praising me as Christians Praised the Son of Mary, for I am only a slave. So call me the Slave of Allah and his Apostle."

Mwandishi anaelezea zaidi kwamba to Islam, God is a Master and he can be kind and forgiving Master but he can't deliver the goods as a God of infinite Mercy and Love, as it is Christianity.

Ni imani yangu kwamba maelezo yangu haya yatatusaidia kuweka hali sawa, hivyo kutuwezesha kujua tuna focus katika kipi hasa, ili tujenga, na sio kubomoa huu mjadala, bila ya kuvunjiana heshima wenyewe kwa wenyewe kutonana na imani zetu tofauti, lakini bila kumvunjia heshima Mwalimu Nyerere kawa nafasi husika.
 
Wacha kuruka ruka wewe, inaelekea hujui Nyerere ameanza kuitwa baba wa Taifa lini, kwa kukusaidia tu ni kwamba hoja yako iko emotional, ina flaws nyingi.

Wewe unadai heshima ya BABA WA TAIFA NI SUALA LA KISHERIA, Lete hiyo Sheria basi inayotamka kwamba Nyerere ni Baba wa Taifa la Tanzania, unazunguka zunguka.

nakukumbusha kwenye hoja yako ya msingi unasema hivi:


LETE HIYO SHERIA MJOMBA, INAYOSEMA NYERERE NI BABA WA TAIFA.


You are shooting yourself on your own foot, utakuja jisikia vibaya sana ukija tambua kwamba ni kweli suala hili liliridhiwa na bunge la Jamhuri ya Tanzania; usiwe na papara, mimi sio mbunge, nachambua Hansard mbalimbali taratibu na ntakurudia, kuwa na subira kaka;
 
Nilikuwa nakuonesha katika hao hakuna aneweza kuuoongolea Uislaam zaidi yangu. Hawana sifa hiyo. Mimi nnakuambia u "baba" ni ukatoliki, wewe unakwenda kuleta "the economist" ndio uelezee kuwa hata Arafat wamemuita baba. Umekwenda sipo, hata hapa Nyerere mnamuita "baba" kama si wakatoliki basi Wakristo, na nimesema ukiona Muislaam anamuita Nyerere baba ujuwe huyo hana mafunzo ya Kiislaam na inafaa afanye homework yake. La mtu kupewa cheo cha u "baba" asokuwa nao lipo kanisani tu na kwa Waislaam hakuna hilo. Kwa hili sitakuelewa hata unikate kichwa. Jee, huwaoni ma baba wa kanisani hata kuzaa hawaruhusiwi mpaka walikiuke kanisa na kuondoka? mfano mzuri tunao na wewe unaujuwa sana, sina haja a kuurudia.

You are just a fool, mimi nilikuwa na-refer maandishi ya mchambuzi kuhusu ubaba wa taifa wewe unaleta mambo ya uislam, did i mention dini yeyote katika post yangu? Kwanza umeingiaje katika mada ambayo niliiadress kwa mtu mwingine? Try top have a class sometimes! Nilishakuambia toka zamani unahitaji ku-attend therapy kuhusu anger management na a stronger self esteem and I am serious you need it.
 
Kwanza kabisa mimi sikubaliani na hilo "baba" wa Taifa, huo ni ukatoliki na hutumika kanisani kuwaita wachungaji "baba", kumuita "papa" "baba" mtakatifu.

Hii nchi Nyerere aliikuta ina watu wa imani tofauti na ameondoka ametuwacha watu wa imani tofauti, kwanini mtubambikie vyeo vya kikatoliki na Kikristo? hamuoni kuwa huo ni "udini" wa wazi wazi?

Hakuna "baba" wa Taifa, huo ubaba alipewa na nani na kwa ridhaa ya nani? msitujaze ujinga.

Toa hoja bibi acha kulalamika kama kawaida yenu wakati Wakristo wenzenu wakisonga mbele. Nyie mtabaki kulalamikia MOU, mahakama ya kadhi, OIC, na mengine yasiyo na tija
 
maana yangu hapa ni kwamba upande mwingine wa dini, watanzania wengi hawajali kuwaita neno lolote la kuonyesha heshima kwao hata kama haitokani na dini yao, iwe ina maana ya neno kaka, mjomba, ndugu n.k; hiyo ndio tanzania ya nyerere ninayoizungumzia na nitakayojivunia mpaka tamati yangu duniani kama mtanzania;

mchambuzi unajibu hoja za kidini?tena unamjibu mtu anayeongea vitu hata asivyojua anaongea nini na hana uhakika navyo..eti hata jk hajawahi kumuita nyerere baba wa taifa..shame on such word
 
Kesi ya nyani unaipeleka kwa ngedere? Unanchekesha!

Dada Faiza,
Ukiwa unajenga hoja, na kama unataka watu wakuchukulie serious, kutumia maneno 'unanichekesha', 'unanitekenya', 'unanishangaza', inapoteza sana mvuto, thrust, na umakini wa hoja zako. Imagine umepewa nafasi kwenye mdahalo fulani unaojadili suala lolote la kijamii, mfano umuhimu wa chanjo kwa watoto, halafu ukawa na mawazo tofauti na wengine, na kuanza kujenga hoja kwa maneno kama haya, utachukuliwa serious kweli?
 
mchambuzi unajibu hoja za kidini?tena unamjibu mtu anayeongea vitu hata asivyojua anaongea nini na hana uhakika navyo..eti hata jk hajawahi kumuita nyerere baba wa taifa..shame on such word

Kwavile mimi ndio mtoa hoja, nimeonelea nisafishe hali ya hewa katika hilo kwani linapeleka mjadala pasipo mahala pake.
 
Hakuna cha Rais bora wala baba. Nyerere ni Rais wa kwanza, tosha kabisa tena lina hadhi kubwa sana. Kwa ubora hana, na u "Baba" ni udini wa wazi kabisa.

Dada FF pitia post yangu unisaidie majibu kwenye thread hii hii..
 
yah: Faiza foxy na matumizi ya neno "baba" kwa mwalimu nyerere.

wadau:

katika mjadala huu wa baba wa taifa, kuna uwezekano mkubwa sana kwamba hatumtendei haki dada yetu faiza foxy, gamba la nyoka, nas daz, topical na wengine kwa sisi kutoelewa msingi wa hoja juu ya kupinga matumizi ya neno baba kama heshima kwa mwalimu kwa kutukomboa. Kwa mtazamo wangu, msingi wa hoja yake unaweza kuwa na sura moja kati ya hizi, mbili kati ya hizi, au zote tatu kwa pamoja:

1. kwanza, faiza foxy hakubaliani na matumizi ya neno baba in the context of mjadala wetu kwasababu islam has no father. Kama hoja yake inatokana na hilo, ni muhimu sana tuheshimu msimamo wake kwani ni kweli hakuna baba katika dini ya kislam. Kwahiyo inawezekana pia hata viongozi wetu wakuu (sina haja ya kutaja majina) wanasukumwa na hilo, lakini haina maana kwamba hawamheshimu mwalimu kiwango au nafasi hiyo. Kama nipo sahihi, basi viongozi wetu wakuu wenye dini tofauti na ile ya nyerere kumwita nyerere mzee nyerere sio tu ni sahihi, bali ni haki yao, ilimradi katika tafsiri zao, wanamheshimu nyerere as a figure equivalent to baba wa taifa, na pia wana ufahamu kwamba wanawaongoza wapiga kura wengi sana ambao nyerere kwao ni baba wa taifa. Faiza foxy na wengine wote wenye imani tofauti na mwalimu nyerere wana haki ya kumwita nyerere vyovoyote wanavyotaka, ili mradi iwe ni equivalent to heshima anayopewa na wengine wasio na kikwazo cha kumuita baba wa taifa. Lakini muhimu hapa pia ni kwamba, kwasababu katiba ya tanzania haina, mjadala wa kuhoji uhalali wa mwalimu kuitwa baba ni mgumu sana kama ule ule wa kuhoji mwalimu kutoitwa baba. To reach a consensus katika hili, in my view ni kwanza kwa kukubaliana kwamba tatizo kubwa lililopo sio mwalimu kutambulika hivyo, bali kukosekana kwa title ambayo inaashiria heshima hiyo hiyo, lakini inayokubalika katika jamii jamii nzima – bila ya kuhoji uhalali wa mwalimu kupewa heshima itakayokuwa universal kwa wote.

For the purpose of this discussion (only this post, sio topic nzima) ili niweze kujenga hoja yangu inayofuata hapo chini, naomba nitumie neno jingine equivalent to baba wa taifa, kwa nyerere - tumuite "mwanzilishi wa taifa", again, only for the purpose of mimi kuweza endelea kujenga hoja inayofuatia katika sehemu ya pili (2) hapo chini. Naombeni muelewe kwamba natumia neno "mwanzilishi" kuweka heshima kwa waumini wote, katika ujenzi wa hoja yangu tu, lakini binafsi, haibadili heshima yangu kwa mwalimu nyerere kwamba ni baba wa taifa la tanzania. Dada faiza, tafadhali fafanua kama tatizo kuhusu matumizi ya jina baba kwa nyerere lipo kwenye hoja yangu hii ya kwanza. Kama tatizo ni zaidi ya hilo, tuendelee kwenye hoja ya pili.

2. pili, mbali na uwezekano wa faiza na wengine kusumbuliwa na matumizi ya neno baba kwa nyerere, kitu ambacho kama tulivyokwisha ona, ni lazima tukiheshimu, inawezekana pia hakubaliani na hoja kwamba nyerere ni "mwanzilishi wa taifa", kutokana na ye ye binafsi au na wengine kutotambua mchango wa mwalimu nyerere katika harakati za ukombozi wa tanzania kutoka kwa wakoloni. Hii ni kutokana na uwezekano wa wao kuwa na mtanzania/kiongozi mwingine ambae wanamtambua kwamba ndiye anaestahili kupewa heshima ya mwanzilishi wa taifa, na sio nyerere. Dada faiza foxy na wengine, tafadhali fafanua iwapo, mbali na matumizi ya neno baba kwa nyerere, pia hamkubaliani na hoja kwamba yeye ndiye anastahili kuwa na heshima ya namna hiyo, na badala yake, yupo kiongozi mwingine (tayari yupo lakini mnaona hajapewa hshima hiyo) ambae nyinyi mnamtambua hivyo au mngependa atambuliwe hivyo rasmi kitaifa. Dada faiza, kama hoja zako kupinga heshima hiyo kwa nyerere ipo informed na sababu ya kwanza (rejea kule juu) na hii ya pili, tafadhali uwe unajipanga namna hiyo katika hoja zako ili tuwe na mjadala wenye tija na afya kwa wote, bila ya kuvunjiana heshima ya imani zetu. Lakini iwapo hoja ya kwanza nah ii ya pili bado hazitoshelezi sababu zako kupingana na heshima hii kwa mwalimu, nimebakiza sabbu moja tu hapa chini kama ifuatvyo...

3. tatu, kuna uwezekano kwamba, mbali ya hizo hoja mbili hapo juu, dada yetu faiza, ambayo ni yeye binfasi au na wenzake kwa pamoja wanahisi kwamba, uundaji wa taifa la tanzania, pamoja na harakati zote za kulikomboa zilikuwa batili, na kwamba kama jamii (maana taifa halipo basi), harakati za ukombozi bado zinaendelea; kwa hivyo, jamii hii (sijui niite nini maana haiwezi kuwa ya watanzania tena kama nyerere ni batili) lazima iendeleze mapambano fulani (ambayo itabidi mtufafanulie), ili kuondokaana na hali (maana sina uhakika wa kutumia neno kuondokana na utawala kwani kama upo, mwanzilishi wake anajulikana kihistoria kama nyerere), ya kukosekana kwa, kwani jamii imejaa dhuluma, uonevu, ubaguzi, huku kukiwa na ukosefu wa fursa na haki sawa kwa watu katika jamii (nasita kutumia neno wananchi kwani kwa hoja hii ya tatu, nchi ya tanzania kihistoria ni batili) kwa makubaliano yaliyopo katika kundi fulani au jamii kwa ujumla (nasema makubaliano badala ya kwa mujibu wa katiba kwa sababu katiba iliyopo maana yake ni kumtambua muasisi wake, nyerere kama alivyo); na sina uhakika kama ni sahihi kutumia neno bila ya kujali dini, rangi, kabila, au jinsia, kwani katiba ya sasa haibagui waliopo kwa mpangilio huo. Kwa kifupi, hapa ni kuikana historia ya sasa na kutaka kuiandika upya, kuzaa nchi upya, pengine hata mipaka mipya, na kujipatia "mwanzilishi" mwingine wa taifa.

Pengine nimalizie kwa kusema kwamba iwapo hoja ya dada yetu inatokana na sababu ya kwanza (rejea kule juu) i.e. Baba na uislam haviendani, na kwamba hana sababu yoyote nyingine, sio kwamba ni sahihi lakini ni haki yake, na tumheshimu kwa hili, ili mradi atupatie neno lingine ambalo lita cross over pande zote mbili kumpa mwalimu nyerere heshima yake tunayoizungumzia katika hii mada tangia jana.
Kama hoja yake ni hiyo tu – baba na dini ya kislam haviendani, na mimi nimebahatika kupata sehemu ya kitabu kimoja hapa on hard copy, mtunzi wake bhukari muhammad (1987):

bukhari, muhammad,kitab bhavan, new delhi, india (1987), volume 4, book 55, number 654.

kitabu hiki kinaleza kwamba kwamba:

uhusiano uliopo kati ya mohamed and alah ni ule wa a slave to his master, with obedience, na sio love kama ndio the primary impulse. Kitabu kinazidi kusema kwamba hii ni tofauti na dini ya kikristo ambapo mungu anaitwa baba kwasababu yeye ni creator, life – giver, law – giver, and protector, na pia kutokana na uhusiano wa baba na mwana that was revealed by jesus .
Kuna sehemu mwandishi anam quote mtume muhammad akisema:

"do not exaggerate in praising me as christians praised the son of mary, for i am only a slave. So call me the slave of allah and his apostle."

mwandishi anaelezea zaidi kwamba to islam, god is a master and he can be kind and forgiving master but he can't deliver the goods as a god of infinite mercy and love, as it is christianity.

Ni imani yangu kwamba maelezo yangu haya yatatusaidia kuweka hali sawa, hivyo kutuwezesha kujua tuna focus katika kipi hasa, ili tujenga, na sio kubomoa huu mjadala, bila ya kuvunjiana heshima wenyewe kwa wenyewe kutonana na imani zetu tofauti, lakini bila kumvunjia heshima mwalimu nyerere kawa nafasi husika.

bwana mchambuzi, umesema kwenye hoja yako ya msingi kwamba heshima ya ubaba wa taifa ni jambo la kisheria, wacha kuzunguuka mbuyu bwana, lete hiyo sheria hapa jamvini, lau kama haipo, kuwa muungwana kiri basi kwamba ulikosea ili mjadala uendelee vyema.
 
hakuna cha rais bora wala baba. Nyerere ni rais wa kwanza, tosha kabisa tena lina hadhi kubwa sana. Kwa ubora hana, na u "baba" ni udini wa wazi kabisa.

nyerere ni baba wa taifa na rais bora bado nashangaa hata mchambuzi kutoa opportunity ya ku rank rais bora wakati kwa tuliokwisha kuwanao hakuna aliyemfikia kwa ubora hata nusu ni nani?kwa hizo statistics?ulishaona wapi mtu,mti,nchi na hata umri kadri muda unavyokwenda mbele kunakuwa hakuna progress ya mambo..la sivyo si kila kitu kina collapse.....
 
Mnamuita nyinyi wa katoliki na Wakristo wenzake, sisi Waislaam hatumuiti hivyo hata kidogo labda asiyeelewa Uislaam wake.
JK analitamkaga kwa shidashida, Mzee AHM ndio amelitumia mara nyingi tu. Hii ni hadhi ya KISIASA haina hata chembe ya UDINI. Vinginevyo hata Dar hapakufai kuishi kabisa. Mabucha ya nguruwe kila kona, ushoga kila mahala tena mwingine ukiratibiwa na Waislaam wenzako, kumbi zingine za starehe zimepakana na misikiti, mahoteli ya nguruwe na pombe kila kona,...
Wewe unahangaika na U-Baba wa Taifa wa Mwalimu. Unalo jingine. Uislaam umeurithi tu. Unaonekana kuwa Muislaam zaidi ya waliokurithisha. Tuambie jina lako halisi. Uislaam hauruhusu kujipachika majina au jinsia bandia.
 
@FaizaFoxy... Mi natumia simu. Iko page 10. Pitia unisaidie majibu pls..
 
Jamani hili la UBABA wa Taifa halina haja ya kulichanganya na dini ni matumizi tu ya lugha, waingereza huwa wanawaita watu kama hao the FOUNDING FATHERS.

Mbona kwa sisi wanatechnologia ya mawasiliano huwa kuna aina ya process zinazoendesha mifumo ya Computer tunaziita CHILDREN processes sasa udini uko wapi hapo?:lol:
 
Kwanza kabisa napenda kumpongeza mwandishi kwa kuwa jasiri wa kutoa hisia zake bila woga. Hisia zilizojikita zaidi katika itikadi yake ya chama. Lakini amekuwa mwalimu zaidi badala ya kuwa mwenye kujadili. Amejitahidi sana kuonyesha heshima zinapatikanaje. Tumemuelewa.Lakini wakati unaanzisha mada kama hii lazima ufahamu kuwa wapo watu wanaomfahamu zaidi Julius Kambarage Nyerere kuliko wewe. Nina maana waliotawaliwa na Nyerere wakiwa watu wazima, wakfanya kazi naye na wakaonja matamu na machungu ya utawala wake. watu hao wakipewa uhuru wakueleza hisia zao naona wanaweza kukamatwa Haitoshi kutafuta uhuru ikawa tiketi ya kupewa heshima milele. Naomba nimjuze mwandishi kuwa mada yako inaweza ikahamasisha watu wakatoa michango ambayo badala ya kujenga heshima ya Nyerere ikamshusha zaidi sijui kama hili nalo uliliangali kabla hujaamua kuandika. kwa sababu mwandishi amekuwa wazi ni vema akatujuza hicho cheo cha baba wa taifa alipewa na nani wapi na kwa utaratibu upi. Siku nyingine usijaribu kuwashawishi watu waamini kile unachoamini wewe na kudai wanaotoa maoni wasiachiwe kutoa maoni. kama kuna mpotoshaji ambaye ameandika kabla ya kuijua historia ya Tanzania basi ni wewe.

Nashukuru kwa mchango wako; Kama nilivyosema awali, heshima ya baba wa taifa inatambulika na bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania; Gamba la Nyoka ameniomba niilete hiyo sheria hapa na nime ahidi kufanya hivyo; sasa kwa sababu mimi sio mbunge, na ni uamuzi ulifanywa siku nyingi, itanilazimu kupekua HANSARD za bunge moja baada ya nyingine kwenye website ya bunge, na mnaelewa ilivyokuwa intricate and slow; Kwahiyo ntawarudia mara tu nitakapo fanikisha zoezi hilo; Lakini na nyinyi pia naomba muweke jitihada huko, au kama mna vyanzo vingine kama mnawajua wabunge fulani fulani, tafuteni ukweli huu;
 
Nashukuru kwa mchango wako; Kama nilivyosema awali, heshima ya baba wa taifa inatambulika na bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania; Gamba la Nyoka ameniomba niilete hiyo sheria hapa na nime ahidi kufanya hivyo; sasa kwa sababu mimi sio mbunge, na ni uamuzi ulifanywa siku nyingi, itanilazimu kupekua HANSARD za bunge moja baada ya nyingine kwenye website ya bunge, na mnaelewa ilivyokuwa intricate and slow; Kwahiyo ntawarudia mara tu nitakapo fanikisha zoezi hilo; Lakini na nyinyi pia naomba muweke jitihada huko, au kama mna vyanzo vingine kama mnawajua wabunge fulani fulani, tafuteni ukweli huu;
Mchambuzi,
Heshima hii haiwezi kuwa imetolewa kwa Mwalimu na Bunge hili la Tanzania ambalo hata kumtaja tu ni shida. Wengi tungetamani iwe hivo lakini sio katika Bunge kama hili. Sioni mwenye ujasiri na heshima kwa Mwalimu wa kuipeleka hoja au muswada kama huu Bungeni. Mtu kama huyo bado hajazaliwa.
 
Back
Top Bottom