Ndugu yangu usitake kuzunguka saana,
Kumbuka waazungu wanasema in order to build something strong it helps to start with best and possible materials. Sasa msingi mbovu uliowekwa na Nyerere ndio unawamaliza sasa.
Uongozi bora sio wa mtu mmoja. Huwezi kumlaumu nyerere sababu ya tamaa ya viongozi wengine walijua baada ya uhuru ni zamu yao na sio zamu ya wananchi kufaidi. Kwa hiyo Tanzania inakosa viongozi wa mfano wa Nyerere. Vingozi wa leo wanakuwa wa kwanza kujimbiizia mali. Tumeona Wanajigawia nyumba za masaki na mambo mengine mengi. Tunaona wanavytangalliza maslahi yao kwanza kwenye mambo ya Posho. Wakati wa nyerere sio Viongzi na uongozi ulikuwa ni WITO.Kumbuka kuwa alisema bayana ili Tz iendelee inahitaji vitu vinna yaani watu, ardhi, siasa safi na uongozi bora. Nikuulize ni kipi Tz imekikosa mpaka wakti wa Nyerere aliweza kuasisi ulanguzi na uhujumu uchumi kitu ambacho kimekomaa na leo umekuwa ufisadi?
So how does this relate to Nyerere.!!!!!!!!! Nyerere alitemebeza bakuli na hakupewa pesa za kutosha kufanikisha mipango yake. Aligoma ufuta masharti aliyoona hayafi kwa wananchi. Hiyo ni sifa mojawapo ya kiongozi bora kuamua jambo kwa msalhi ya taifa na ma mrefu na sio kuangalia miaka 5 au 10 tu.Lakin hata ,agazeti yenu usomi. Je hujui kama Tz ni nchi ya tatu toka chini kwa kutembeza kibakuli yaani ombaomba duniani? fuatilia income per capital.
Kwanza kabisa mimi sikubaliani na hilo "baba" wa Taifa, huo ni ukatoliki na hutumika kanisani kuwaita wachungaji "baba", kumuita "papa" "baba" mtakatifu.
Hii nchi Nyerere aliikuta ina watu wa imani tofauti na ameondoka ametuwacha watu wa imani tofauti, kwanini mtubambikie vyeo vya kikatoliki na Kikristo? hamuoni kuwa huo ni "udini" wa wazi wazi?
Hakuna "baba" wa Taifa, huo ubaba alipewa na nani na kwa ridhaa ya nani? msitujaze ujinga.
Ndugu yangu usitake kuzunguka saana,
Kumbuka waazungu wanasema in order to build something strong it helps to start with best and possible materials. Sasa msingi mbovu uliowekwa na Nyerere ndio unawamaliza sasa. Kumbuka kuwa alisema bayana ili Tz iendelee inahitaji vitu vinna yaani watu, ardhi, siasa safi na uongozi bora. Nikuulize ni kipi Tz imekikosa mpaka wakti wa Nyerere aliweza kuasisi ulanguzi na uhujumu uchumi kitu ambacho kimekomaa na leo umekuwa ufisadi?
Lakin hata ,agazeti yenu usomi. Je hujui kama Tz ni nchi ya tatu toka chini kwa kutembeza kibakuli yaani ombaomba duniani? fuatilia income per capital.
Maduka ya kaya yaliuza mpaka sabuni za kuogea na kufulia sio chakula pekee. Zote hizo zilipatikana kwa resheni
Ndugu yangu usitake kuzunguka saana,
Kumbuka waazungu wanasema in order to build something strong it helps to start with best and possible materials. Sasa msingi mbovu uliowekwa na Nyerere ndio unawamaliza sasa. Kumbuka kuwa alisema bayana ili Tz iendelee inahitaji vitu vinna yaani watu, ardhi, siasa safi na uongozi bora. Nikuulize ni kipi Tz imekikosa mpaka wakti wa Nyerere aliweza kuasisi ulanguzi na uhujumu uchumi kitu ambacho kimekomaa na leo umekuwa ufisadi?
Lakin hata ,agazeti yenu usomi. Je hujui kama Tz ni nchi ya tatu toka chini kwa kutembeza kibakuli yaani ombaomba duniani? fuatilia income per capital.
Hivi huko kwenu Oman hakuna mitandao unaweza kujinafasi na wajomba zako? Kila siku hukosekani JFMaduka ya kaya yaliuza mpaka sabuni za kuogea na kufulia sio chakula pekee. Zote hizo zilipatikana kwa resheni
Nyerere alianza lini kuitwa "baba wa taifa"?
A. Mara baada ya uhuru
B. Baada ya Azimioo la Arusha
C. Baada ya kustaafu
D. Baada ya kufariki
Hivi huko kwenye Oman hakuna mitandao unaweza kujinafasi na wajomba zako? Kila siku hukosekani JF
Hayo wala sina tatizo nayo, hayo ni "by the way" mimi nipo kwenye u "baba" tu.
Baba Mtakatifu, Baba Askofu, Baba Mchungaji wakondoo, na sasa mnataka kutubambikia "baba" wa Taifa. Kama si udini ni nini? Pelekeni u baba wenu kanisani huku mitaani Muacheni nyerere abaki kuwa Rais wa Kwanza wa JMT.
Hawana mitandao Oman? Anakuja kuleta uwongo wake huku. Pittiful!Hakuna, unalo?
Mtuambie nyie mnaomuita baba, sisi tutajuwaje? tunaona mnakurupuka, mara "baba", mara mwenye heri, mara mnataka kumpa utakatifu, kwa jema lipi? halafu mtuulize sisi mmeanza kumuita lini? Mnanchekesha!
Ndugu yangu usitake kuzunguka saana,
Kumbuka waazungu wanasema in order to build something strong it helps to start with best and possible materials. Sasa msingi mbovu uliowekwa na Nyerere ndio unawamaliza sasa. Kumbuka kuwa alisema bayana ili Tz iendelee inahitaji vitu vinna yaani watu, ardhi, siasa safi na uongozi bora. Nikuulize ni kipi Tz imekikosa mpaka wakti wa Nyerere aliweza kuasisi ulanguzi na uhujumu uchumi kitu ambacho kimekomaa na leo umekuwa ufisadi?
Lakin hata ,agazeti yenu usomi. Je hujui kama Tz ni nchi ya tatu toka chini kwa kutembeza kibakuli yaani ombaomba duniani? fuatilia income per capital.
Anza kula nguruwe haraka sana, itakusaidia upate akili na kusamehewa dhambi zako zote!!Hiyo kauli yako tu inakuhakikishia kuwa baba ni mmoja tu, aliyekuzaa. Wewe ulisikia ma "baba" kikatoliki wanazaa? si mpaka walikache kanisa kama nanihii vile.
Aah..kula nguruwe ni matusi, ww vp? Nguruwe ni kama samaki anasaidia kuongeza uwezo wa kufikiri na kupambanua mambo bila upendeleo, unafiki au chuki binafsi ambalo hilo ndo tatizo lako. Sasa ukianza kula nguruwe atakusaidia kutibu huo ugonjwa wako!"Ukiona mtu anaanza matusi ujuwe umemshinda kwa hoja".
Nyerere alianza lini kuitwa "baba wa taifa"?
A. Mara baada ya uhuru
B. Baada ya Azimioo la Arusha
C. Baada ya kustaafu
D. Baada ya kufariki