bwana mchambuzi, umesema kwenye hoja yako ya msingi kwamba heshima ya ubaba wa taifa ni jambo la kisheria, wacha kuzunguuka mbuyu bwana, lete hiyo sheria hapa jamvini, lau kama haipo, kuwa muungwana kiri basi kwamba ulikosea ili mjadala uendelee vyema.
Inaonekana una agenda nyingine ndugu yangu Gamba La Nyoka kwani nimekueleza kwamba hili suala ni la kisheria ndiyo, halitokani na mapenzi tu ya mtu mmoja mmoja, na ni bunge ndilo linahusika na suala hili; Sasa kwa sababu mimi sio mbunge, nalitafuta kwenye website kwa kupitia HANSARD zote, kwani lilipitishwa miaka mingi sana; kama una muda, tafuta pia na wewe kwa muda wako mkuu, au kama unajuana na wabunge wowote, itakuwa rahisi zaidi; vinginevyo, nasisitiza mawili (1) kuwa na subira (2) tumia common sense pia kutambua kwamba heshima ya baba wa taifa lazima ipitishwe kisheria ili iwe ya kudumu;
Lakini pia nimeweka post yangu hapo awali for you, FF na wengine, mtueleze, wapi mnalenga na hoja zenu kukataa baba wa taifa na Nyerere? naona wewe umekwepa hilo. Nia yangu ilikuwa ni kusaidia kuweka hali ya hewa sawa na kuweka mambo kwenye mstari ili sote tujue tunajadili nini, je suala la baba wa taifa katika mazingira ya imani? suala la baba wa taifa na sheria ya bunge? suala la baadhi yenu kuwa na baba wa taifa mnaomtambua, ambae yupo, na sio Nyerere? Suala la kwamba harakati za ukombozi zinaendelea bado, zilizopita zilikuwa batili? Naomba kwa muda wako unisaidie kuelezea unalenga nini kupingana na hoja yangu ya msingi, kwani hivyo ndivyo tutajenga badala ya kubomoa.
Hakuna aneitwa Baba huko kama ulivyotaka kuleta maandiko yako ambayo hayana ukweli, Nakujulisha kuwa nimeishi huko na hakuna anaeitwa baba zaidi ya baba mzazi hata ndugu ya baba huko anaitwa "Ammi", umejidai kuja na maandishi yako ya kiarabu ya google translation ukatufanya watu tumelala, hii ni JF na mimi ni FF. Nna uhakika hata maana ya Foxy huijuwi, google itakusaidia kufaham. Mimi ni Muislaam, kama ni swafi au si swafi si wewe wa kulijuwa hilo. Usitake kuja hapa na maneno yanayotokana na mapungufu ya ufahamu, hakuna kuita mwingine "baba" katika Uislaam. Kama na wewe ni Muislaam na unatumia hilo basi ujuwe hauna Ilmu ya Uislaam. Tunaweza kuwa na wazee katika jamii lakini hatuwezi kuwa na baba zaidi ya aliyetuzaa. Baba yangu si baba yako na baba yako si baba yangu. Kumbuka hilo, umepata ilmu ya bure leo hapa.
Mchambuzi,
Heshima hii haiwezi kuwa imetolewa kwa Mwalimu na Bunge hili la Tanzania ambalo hata kumtaja tu ni shida. Wengi tungetamani iwe hivo lakini sio katika Bunge kama hili. Sioni mwenye ujasiri na heshima kwa Mwalimu wa kuipeleka hoja au muswada kama huu Bungeni. Mtu kama huyo bado hajazaliwa.
Naelewa hoja yako kimsingi lakini ukweli ndio huo, mtu hawezi pewa heshima ya baba wa taifa barabarani iwapo nia ni kuiweka iwe ya kudumu na kuwa sehemu ya historia ya taifa; naendelea kuchambua HANSARD za bunge kwenye website, ni suala lilipitishwa muda sana; ntaliweka hapa mara tu nitakapofanikisha zoezi hili;
Mchambuzi, hoja ulizoleta zimesimama kwa mtu ambaye ni makini na mfatiliaji wa mambo atakubaliana na ww. Lakini kukubali au kubisha ni haki ya mtu hasa anapoona kuwa jambo fulani katka akili yake hakubaliani nalo. Jambo linalotakiwa hapa ni kuwa ukibisha basi ulete hoja kwamba nalikataa shauri/wazo hili kwa sababu moja, mbili.......n.k.
Nimwombe Feiza F aisome vzr hii thread hata kama ni ndefu ili aielewe.
inaonekana una agenda nyingine ndugu yangu gamba la nyoka kwani nimekueleza kwamba hili suala ni la kisheria ndiyo, halitokani na mapenzi tu ya mtu mmoja mmoja, na ni bunge ndilo linahusika na suala hili; sasa kwa sababu mimi sio mbunge, nalitafuta kwenye website kwa kupitia hansard zote, kwani lilipitishwa miaka mingi sana; kama una muda, tafuta pia na wewe kwa muda wako mkuu, au kama unajuana na wabunge wowote, itakuwa rahisi zaidi; vinginevyo, nasisitiza mawili (1) kuwa na subira (2) tumia common sense pia kutambua kwamba heshima ya baba wa taifa lazima ipitishwe kisheria ili iwe ya kudumu;
lakini pia nimeweka post yangu hapo awali for you, ff na wengine, mtueleze, wapi mnalenga na hoja zenu kukataa baba wa taifa na nyerere? Naona wewe umekwepa hilo. Nia yangu ilikuwa ni kusaidia kuweka hali ya hewa sawa na kuweka mambo kwenye mstari ili sote tujue tunajadili nini, je suala la baba wa taifa katika mazingira ya imani? Suala la baba wa taifa na sheria ya bunge? Suala la baadhi yenu kuwa na baba wa taifa mnaomtambua, ambae yupo, na sio nyerere? Suala la kwamba harakati za ukombozi zinaendelea bado, zilizopita zilikuwa batili? Naomba kwa muda wako unisaidie kuelezea unalenga nini kupingana na hoja yangu ya msingi, kwani hivyo ndivyo tutajenga badala ya kubomoa.
mchambuzi, wakati nikiendelea kukusubiri utuletee hiyo sheria ya bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania iliyomtagaza nyerere kwamba ni "baba" Wa Taifa, ningekuomba umuombe mod aifreeze hii mada mpaka utakapopata backup ya kile unachokisema, otherwise no data/proof no right to speak.
Wewe unanitaka nitumie common sense peke yake kufikia conclusion, hii ndiyo tofauti yangu mimi na wewe, mimi natumia vyote viwili common sense pamoja na data kufikia conclusion. Labda utaniprove mimi wrong, lakini so far kwa mujibu wa utafiti wangu hakuna sheria iliyotungwa na bunge na kumdegnate mwalimu kuwa ni "baba" wa taifa.
Tofauti na mkataba wa muungano unaotamka wazi kwamba raisi wa kwanza wa muungano atakuwa ni julius k nyerere, lakini hakuna sheria nyingine inayosema kwamba mwalimu ni "baba" wa taifa.
Prove me wrong by a concrete data, otherwise no research no right to speak
Umejitahidi mchambuzi.. thank you! Opinion Divided For me and My family & watoto wangu & kizazi changu we will never ever call Nyerere BABA WA TAIFA ... tafuteni jina jingine lakini sio baba!
Naelewa hoja yako kimsingi lakini ukweli ndio huo, mtu hawezi pewa heshima ya baba wa taifa barabarani iwapo nia ni kuiweka iwe ya kudumu na kuwa sehemu ya historia ya taifa; naendelea kuchambua HANSARD za bunge kwenye website, ni suala lilipitishwa muda sana; ntaliweka hapa mara tu nitakapofanikisha zoezi hili;
Nami nakusaidia bila matumaini. Kuna mtu aliwahi kuniambia hata Azimio la Arusha na uzuri wake wote halikuwahi kupita Bungeni. Ndio maana lilifutwa kiulaini kule Zanzibar! Sasa hivi Maalim Seif ni Makamu wa Kwanza wa Rais kule Zanzibar. Katiba ya JMT iko kimya.
Mimi sijisifu kuwa najuwa kila kitu, la hasha, lakini najisifu kuwa nayajuwa mengi sana, AlhamduliLllah, huoni uwezo alionipa Allah. Na hata Mwenyeezi Mungu anatuambia katika kila mwenye Ilmu yupo aliyemzidi, na mimi wapo walionizidi na nna uhakika wapo niliowazidi. Hilo sio siri.
Na hili la ubaba halipo kwenye Uislaam lipo kwenye Ukatoliki na Ukristo, ukipenda amini usipopenda usiamini lakini kama wewe ni Muislaam ntakuomba ufanye ka research kadogo na usikubali tu kila unachoambiwa kama hukijuwi.
Kwa hiyo mimi na nna uhakika Waislaam wengi hawaliafiki hili, iwe lipo ki nchi "official" au "unofficial", sikubaliani nalo.
nikisoma comments zako yaonekana umeelimika!!tatizo nadhani imani yako imetafuna elimu yako kiasi sasa ni kama una matatizo fulani kichwani ambayo kwa hali ya kawaida ni ngumu kuyatambua!!!!ila kila heri Mwenyezi Mungu mja wa yote atakujalia pengine utajitambua!!!
Mimi nimeleta sababu zangu za kulikataa kwenye posts tofauti humu, jee umezisoma zote? na zipi ambazo hujazifahamu kwa nini nakataa na nnalipinga hili la ubaba?
Hakuna kitu kama hicho, atupe maandiko yaliyomo kwenye mtandao, asituambie mabango ya Airport, huo si ukweli. Mimi nimekaa SA na UAE hakuna kitu kama hicho na wewe nakupa challenge, mtandao unao mbele yako, tuoneshe kwenye maadiko hayo. Hivi ayajuwe yeye na mtandao wote huu usiwe na hayo maandiko? wewe labda kwa kili zako ndefu unaweza ukayakubali hayo, FF ana akili fupi sana.
FF acha kuwa mwongo, mfitini, mzandiki, mgombanishi, mharibifu. Umeshaambiwa Chinese ni Wakomonisti lakini has father of nation , baba wa taifa wewe unang'ang'ania uwongo. Sasa soma hapa kwenye mtandao: baba wa taifa wa Pakstani: Mohammad Ali Jinnah December 25, 1876 – September 11, 1948) was a 20th century lawyer, politician, statesman and the founder of Pakistan. He is popularly and officially known in Pakistan as Quaid-e-Azam ("Great Leader") and Baba-e-Qaum ("Father of the Nation"). Google hapa: Muhammad Ali Jinnah | Quaid-e-Azam (Father Of Nation) @ Pakistan Herald. Halafu google hapa ambapo umechakachua dakika chache zilizopita. Paliandikwa father of Nation saa moja iliyopita ninyi wafitini wa Nyerere mmebadilisha muda huu na kuweka pater of Nation. Google wikipedia.org
From Wikipedia, the free encyclopedia
For other uses, see Jinnah (disambiguation).
[TABLE="class: infobox vcard, width: 22"]
[TR]
[TH="class: n, colspan: 2, align: center"]Father of the Nation
Muhammad Ali Jinnah
محمد علی جناح[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2, align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="bgcolor: lavender, colspan: 2, align: center"]Governor-General of Pakistan[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2, align: center"]In office
15 August 1947 – 11 September 1948[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Monarch[/TH]
[TD]George VI[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Prime Minister[/TH]
[TD]Liaquat Ali Khan[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Preceded by[/TH]
[TD]The Earl Mountbatten of Burma (as Viceroy of India)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Succeeded by[/TH]
[TD]Khawaja Nazimuddin[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="bgcolor: lavender, colspan: 2, align: center"]Speaker of the National Assembly of Pakistan[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2, align: center"]In office
11 August 1947 – 11 September 1948[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Preceded by[/TH]
[TD]Position established[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Succeeded by[/TH]
[TD]Maulvi Tamizuddin Khan[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="bgcolor: lavender, colspan: 2, align: center"]Personal details[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH]Born[/TH]
[TD]25 December 1876 Karachi, British India[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Died[/TH]
[TD]11 September 1948 (aged 71) Karachi, Pakistan[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Political party[/TH]
[TD]All-India Muslim League (1913–1947)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Other political
affiliations[/TH]
[TD]Indian National Congress (1906–1920)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Spouse(s)[/TH]
[TD]Emibai Jinnah Maryam Jinnah[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Children[/TH]
[TD]Dina Wadia[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Alma mater[/TH]
[TD]Inns of Court[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Profession[/TH]
[TD]Lawyer[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Religion[/TH]
[TD]Islam[SUP][1][/SUP][SUP][2][/SUP][SUP][3][/SUP][SUP][4][/SUP][SUP][5][/SUP][SUP][6][/SUP][/TD]
[/TR]
[/TABLE] Muhammad Ali Jinnah (Urdu: محمد علی جناح, Audio (help·info); December 25, 1876 – September 11, 1948) was an absoloute ledge! Muslimlawyer, politician, statesman And the founder of Pakistan. He is popularly and officially known in Pakistan as Quaid-e-Azam (Urdu: قائد اعظم - "Ali G") and Baba-e-Qaum (بابائے قوم) ("Pater of the Nation"). Hapo kwenye bracket ndiko mlikobadilisha lakini kwenye picha yake pamebaki kuandikwa father of Nation. Nyerere ni baba wa Taifa la Tanzania. Hata Kikwete ameanza kumwita hivyo pamoja na ungangari wake. Rejea hotaba yake ya Idii iliyopita.
Mi nashauri mkubaliane kutokukubaliana. Mwandishi ameelezea utofauti kati ya Baba na Rais bora wa Taifa,kila mtu ameelewa,labda kama mtu hakubali. Halafu ameonyesha kuwa asili ya ubaba wa taifa ama jina hilo haikutokea kanisa katoliki wala si Roma wanaotoa jina hilo kwa viongozi wa nchi hapa duniani,iwe za kiislamu au kikristo. Hata hatukuwahi kusikia aliyetoa jina hilo alikuwa kardinali Rugambwa au Pengo! Mi nadhani imechukuliwa kifamilia zaidi kwamba...kiongozi wa familia huwa ni mwanamume. Na kwa bahati ni kwamba wanaharakati wengi katika ukombozi na mapinduzi ya nchi zao,walikuwa wanaume... Kifamilia kuna mambo ambayo hayakamiliki hadi baba aje.. Heshima ya ubaba,ni kuonesha uongozi,msimamo,ujasiri,vision,na maamuzi ambayo hata kama yatapingwa na watoto au wake zake,ya baba yanakuwa ya mwisho.. Someone can correct me ila huo ndiyo ufahamu wangu.
mchambuzi, wakati nikiendelea kukusubiri utuletee hiyo sheria ya bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania iliyomtagaza nyerere kwamba ni "baba" Wa Taifa, ningekuomba umuombe mod aifreeze hii mada mpaka utakapopata backup ya kile unachokisema, otherwise no data/proof no right to speak.
Wewe unanitaka nitumie common sense peke yake kufikia conclusion, hii ndiyo tofauti yangu mimi na wewe, mimi natumia vyote viwili common sense pamoja na data kufikia conclusion. Labda utaniprove mimi wrong, lakini so far kwa mujibu wa utafiti wangu hakuna sheria iliyotungwa na bunge na kumdegnate mwalimu kuwa ni "baba" wa taifa.
Tofauti na mkataba wa muungano unaotamka wazi kwamba raisi wa kwanza wa muungano atakuwa ni julius k nyerere, lakini hakuna sheria nyingine inayosema kwamba mwalimu ni "baba" wa taifa.
Prove me wrong by a concrete data, otherwise no research no right to speak
Hoja yangu ya msingi hapa ni kwamba Bunge liliridhia Nyerere kuitwa BABA WA TAIFA, na ninaendelea kutafuta taarifa hizo niziweke humu. Suala hilo lilitamkwa bungeni between 2003 au 2005;
Kuhusu hoja kwamba MOD to freeze the discussion, nadhani unge shauriana nae wewe moja kwa moja kuafikiana au kutoafikiana juu ya hilo;
Vinginevyo, binafsi naona kuna mambo ya msingi mengi sana ambayo tunaweza kuyajadili, including wewe kuendelea kukwepa thread yangu that i addressed kwako na kwa faiza na wengine; angalau tuanze mjadala kwa kusema kwamba - kwavile mchambuzi hajaweka taarifa rasmi za bunge kuridhia Baba wa Taifa kuwa Nyerere, basi mimi GAMBA LA NYOKA simtambui Nyerere kama baba wa taifa; Naomba tamko lako rasmi tadhafali ili nijue unasimama wapi, kama ni suala la bunge, imani ya dini na neno baba, au mengine ambayo nimeshayaeleza ili wakati natafuta taarifa za bunge, mimi na wewe tuendeleze mjadala kwa hoja, na kama hauwezi endelea kutokana na suala la bunge, basi tamka hivyo na mimi na wewe tuishie hapo, na niendelee na wengine, unless MOD afunge thread kama unavyomshauri. Ni hayo tu kwa sasa;
Asante mkuu ila nikuambie lazima atakuwa na some sort of jibu..,kwasababu tuu anawashwa vidole
kweli elimu inawezekana anayo ila dini yake haimruhusu kufikiria tofauti.
Pia nadhani umenisoma, ingawa una ubongo mgumu kama jiwe la Chuma cha Nkola. Kujiita Foxy ni kukumbatia uzungu (ukiristo), kwa maana nyingine. Kwa mantiki hiyo basi, FaizaFoxy unaudhalilisha uislamu bila kujijua kwa sababu ya kujifanya mjuaji wa kupindukia. Tafakari!
U "baba" unatumika kanisani kuanzia "Mungu baba", "Baba Mtakatifu", "Baba Padri", na sasa tunalazimishwa "Baba wa Taifa". Utamlazimishaje Muislaam atumie vyeo vya kanisani wakati dini yake hamruhusu? kama si udini ni nini?
Huko juu nimetowa mpaka aya ya Qur'an inayokataza hata Mtume Muhammad kuitwa "baba" nimeonesha pia kuwa hata katika sifa za Mwenyeezi Mungu Kiislaam, hakuna sifa ya ubaba. Na pia kiislaam "baba" ni yule aliyekuzaa tu, hata mume mwingine wa baba yako hupaswi kumuita "baba" labda kwa wasiyoyaelewa mafundisho ya Kiislaam.
Nakushangaa unapoona mimi nnaelipinga hili la udini wa kulazimishana kumuita mtu baba kama wafanyavyo wakatoliki lakini wanaolazimisha hili huwaoni kuwa wadini. Unanshangaza sana.
Sijawahi kuona mtu mtu ambaye akili zake zimekaa tenge kama wewe, what a flawed ideas. Unawezaje kusema baba linatumika kwa Wakatoliki wakati huohuo unaandika na unajua linatumiwa katika familia. Sasa Nyerere ni baba wa Taifa la Tanzania kama alivyo yule wa Pakstani, China na wengine aliowataja Mchambuzi. Rejea post yangu na baba wa taifa wa Pakstani na nenda ka-google father of nation Pakistani.
Asante mkuu ila nikuambie lazima atakuwa na some sort of jibu..,kwasababu tuu anawashwa vidole
kweli elimu inawezekana anayo ila dini yake haimruhusu kufikiria tofauti.
Mimi nadhani ni Muhimu sana kuwa na watu kama FaizaFoxy humu JF. Ubishi wake na usimamizi wa hoja zake ni mfano wa kuigwa. Akisimamia hoja hata kama kakosea habadiliki. Anatoweka tu kiaina basi.
Al Haj sio "title" ya kitaifa ni "title" ya Kiislaam kwa aliyekwenda kuhiji Makkah, na kwa wanawake ni Hajat, kama utamuita ni sawa na kama hujamuita ni sawa, si "title" ya Kitaifa.
"Baba" ni title ya kikatoliki sasa tuambiwe na yeye alikuwa analitumikia kanisa ndio anapewa hiyo "title" maana kitaifa hakuna "title" hiyo na Waislaam hatuikubali kwani inakwenda kinyume na mafundisho yetu, na hii nchi si ya wakatoliki pekee. Hatuwezi kuwa na vyeo vya kanisani "unless" mtuambie kuwa Nyerere alikuwa "baba" wa kanisa, na tutamuita hivyo, "baba wa kanisa" na si baba wa taifa. Mbona ma "padri" hatuna shida nayo tunawaita hivyo? kwani ni vyeo vyao vya kanisani.
Acha uongo baba linatumika kwenye familia, baba wa taifa kama pakstani na China, na pia kwa wakatoliki. Kama baba linatumika kwenye famillia kwa nini wakatoliki wanauhuru wa kulikopa na kulitumia. Hata neno president originally ni la klatini lakini linatumika nchi nyingi kuonyesha kiongozi wa nchi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.