Nyerere road inashangaza kwa haya mabango

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
6,447
Reaction score
11,505
Yani kilichofanyika ni kama kumlazimisha mtoto akubali kua mama wa kambo ndio mama yake mzazi hali yakua mtoto anamjua aliyemzaa ni nani.

Yani ni kama umemfunga mpinzani wako mikono halafu unasubiri ipigwe kengele utangzwe mshindi.

Sijawahi kuona upuuzi kama huu hapa duniani.
 
Umeongea kitu ambacho mchana huu kimenifikirisha sana.

Nimetoka Airport naelekea Kariakoo huko aisee barabarani ni noma, kila mstimu wa taa una bango lake.

Sasa nikawa najiuliza
Kama bango moja linagharimu hata Tsh 50,000 kwa uchapishaji, usafirishaji, na usimikaji na kuna mabango zaidi ya 500 tu kwenye Nyerere Road—tunazungumzia zaidi ya milioni 25 kwa kipande kimoja cha barabara.

Ukiongeza Kigamboni, Morogoro Road, na maeneo mengine ya jiji, huwezi kuepuka kufikiria kuwa huu ni mradi wa mabilioni unaofanywa kwa jina la “kampeni” lakini bila uwazi wa bajeti wala tija ya moja kwa moja kwa mwananchi.

Na hapo bila kuhesabia yale mabango ya kwenye Big Screen kama ambalo lipo Tazara getini na lile la mbele karibu na Sigara. Na bado kuna yale ya ziada ambayo yamebandikwa kwenye flyover chini.

Mwanzo niliamini huwenda ile michango waliyopitisha kwa wafanyabiashara kwa ajili ya ku fund kampeni ndio inayotumika kwenye haya mabango. Lakini mazingira yanaonesha huwenda sio kweli.

Kwasababu tunaona TRA na watu wa Halmashauri wamekuwa na root nyingi siku hizi mitaani kama mashahidi wa Yehova kuliko vipindi vyote vilivyopita.

TRA na Halmashauri wanazidi kuwa wakali kwa wafanyabiashara wadogo, huku mamilioni yakitumika kwa mabango yasiyoleta tija ya moja kwa moja.
 
Umeongea kitu ambacho mchana huu kimenifikirisha sana.

Nimetoka Airport naelekea Kariakoo huko aisee barabarani ni noma, kila mstimu wa taa una bango lake.

Sasa nikawa najiuliza
Kama bango moja linagharimu hata Tsh 50,000 kwa uchapishaji, usafirishaji, na usimikaji na kuna mabango zaidi ya 500 tu kwenye Nyerere Road—tunazungumzia zaidi ya milioni 25 kwa kipande kimoja cha barabara.

Ukiongeza Kigamboni, Morogoro Road, na maeneo mengine ya jiji, huwezi kuepuka kufikiria kuwa huu ni mradi wa mabilioni unaofanywa kwa jina la “kampeni” lakini bila uwazi wa bajeti wala tija ya moja kwa moja kwa mwananchi.

Na hapo bila kuhesabia yale mabango ya kwenye Big Screen kama ambalo lipo Tazara getini na lile la mbele karibu na Sigara. Na bado kuna yale ya ziada ambayo yamebandikwa kwenye flyover chini.

Mwanzo niliamini huwenda ile michango waliyopitisha kwa wafanyabiashara kwa ajili ya ku fund kampeni ndio inayotumika kwenye haya mabango. Lakini mazingira yanaonesha huwenda sio kweli.

Kwasababu tunaona TRA na watu wa Halmashauri wamekuwa na root nyingi siku hizi mitaani kama mashahidi wa Yehova kuliko kivindi vyote vilivyopita.

Ata mm najiuliza ule mkutano pale mlimani City Hall ulikuwa wa KAZI Gani ?.

Maana municipals na ofisi za wilaya , mkoa ndio Zina gharamia camping za CCM .

Nyerere alitukosea sana watanzania
 
Nyerere alitukosea sana watanzani
 
Wanalazimisha credibility, ni aibu kwa mfumo mzima unaotawala nchi.
 
Ijumaa nilipita Mwanza nilikutana na kitu kama hicho barabara kuelekea uwanja wa ndege. Wakti wakifanya matumizi yasiyo na tija baadaye watatutoza.
 
Yani kilichofanyika ni kama kumlazimisha mtoto akubali kua mama wa kambo ndio mama yake mzazi hali yakua mtoto anamjua aliyemzaa ni nani.

Yani ni kama umemfunga mpinzani wako mikono halafu unasubiri ipigwe kengele utangzwe mshindi.

Sijawahi kuona upuuzi kama huu hapa duniani.
1759192720896.jpg
 
Back
Top Bottom