Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,268
- 17,099
Nadhani ni hiyo ''western suit''..au kazidisha dozi ya ulabu?
Huoni na Warioba hivyo hivyo
Huoni na Warioba hivyo hivyo
MBONA HUYU MFUPI (SIJUI NI NANI) KASHIKILIA MAKALIO NA MWALIMU KASHIKA BAKORA? ALICHARAZWA HAMSA NINI?
Halafu ona Mkapa alivyokuwa na nidhamu enzi hizo kwa mwalimu! Hata kama ni mimi lazima ningekuja kumpigia debe la uraisi. Ona anavyoonekana, yaani kabisa inadhihirisha adabu zote, mtoto mbele ya baba mzazi kabisa, mpole, hana makuu, yuko tayari kusikiliza, kutumwa, kuomba ushauri, kusaidia wazee, n.k. That was really very good of him!zamani heshima na adabu vilikuwepo sana...
Nadhani ni hiyo ''western suit''..au kazidisha dozi ya ulabu?
MBONA HUYU MFUPI (SIJUI NI NANI) KASHIKILIA MAKALIO NA MWALIMU KASHIKA BAKORA? ALICHARAZWA HAMSA NINI?
MBONA HUYU MFUPI (SIJUI NI NANI) KASHIKILIA MAKALIO NA MWALIMU KASHIKA BAKORA? ALICHARAZWA HAMSA NINI?
Kweli kaka umenichekesha khaaaa