Distance(S) ÷ Time (t) ; The most confusing Love equation

WeedLiquorz

JF-Expert Member
May 30, 2022
3,287
5,464
Wakati Physics inasema Umbali gawia Muda unapata Mwendokasi, umewahi jiuliza huo Mwendokasi ni wa kwenda wapi?

Kwenye Mapenzi hiyo ni speed ya kuachwa.

Ila Wahenga wakajifariji kwamba Safari siyo kifo, Bella akasema atarudi.

Wakuu hii equation ya Distance(Umbali)/time(muda) haijawahi mwacha mtu salama haijalishi mnapendana kiasi gani.

Kwamba wahuni wakimtokea Mpenzi/Mkeo akawajibu mimi nina mtu wangu huwa wanamuuliza yupo wapi? Utasikia anafanyia kazi/anasoma mkoani (distance, S)

Hapa ndo vijana tunasema ni suala la muda(t) tu Kumaanisha hakuna Penzi tena hapo.

Iweni na Sabatho Njema.
 
images.png
Kwa unavomjua mpenz wako na unavojijua ipi itakua graph ya penzi lako mkitengani kwa umbali flan?
 
Wakati Physics inasema Umbali gawia Muda unapata Mwendokasi, umewahi jiuliza huo mwendokasi ni wa kwenda wapi?
Kwenye Mapenzi hiyo ni speed ya kuachwa.
Ila Wahenga wakajifariji kwamba Safari siyo kifo, Bella akasema atarudi.

Wakuu hii equation ya Distance/time haijawahi mwacha mtu salama haijalishi mnapendana kiasi gani.

Kwamba wahuni wakimtokea Mpenzi/Mkeo akawajibu mimi nina mtu wangu huwa wanamuuliza yupo wapi? Utasikia anafanyia kazi/anasoma mkoani (distance, S)
Hapa ndo vijana tunasema ni swala la muda(t) tu Kumaanisha hakuna Penzi tena hapo.

Iweni na Sabatho Njema.

M nmewah kuvumilia kwa mwaka tu ila nilivyojua yy ndo champion wa kutembeza ,aaaaaah mm pia nilipea mwingine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom