Nyerere na wenziye wanamuuliza nini huyu?

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
23,273
17,096
Nadhani ni hiyo ''western suit''..au kazidisha dozi ya ulabu?

n1178010842_30457606_5418439.jpg
 
MBONA HUYU MFUPI (SIJUI NI NANI) KASHIKILIA MAKALIO NA MWALIMU KASHIKA BAKORA? ALICHARAZWA HAMSA NINI?

attachment.php
 
  • Thanks
Reactions: ral
zamani heshima na adabu vilikuwepo sana...
Halafu ona Mkapa alivyokuwa na nidhamu enzi hizo kwa mwalimu! Hata kama ni mimi lazima ningekuja kumpigia debe la uraisi. Ona anavyoonekana, yaani kabisa inadhihirisha adabu zote, mtoto mbele ya baba mzazi kabisa, mpole, hana makuu, yuko tayari kusikiliza, kutumwa, kuomba ushauri, kusaidia wazee, n.k. That was really very good of him!
 
MBONA HUYU MFUPI (SIJUI NI NANI) KASHIKILIA MAKALIO NA MWALIMU KASHIKA BAKORA? ALICHARAZWA HAMSA NINI?

attachment.php

Kweli kaka umenichekesha khaaaa
 
MBONA HUYU MFUPI (SIJUI NI NANI) KASHIKILIA MAKALIO NA MWALIMU KASHIKA BAKORA? ALICHARAZWA HAMSA NINI?

attachment.php

Hahahahahaaa:) Mfupi ni Ben Mkapa..Issue nadhani ilikuwa hofu ya yeye kuja kuchapwa maana kesi inaonekana ilikuwa ya huyu Bwana wa suti nyeusi...Warioba kakaa pembeni kwa pozi la SINILIKUAMBIA??!!!
 
Dah pic zimenivutia hata heshima ya viongozi inaonekana,sio sasa ukiona picha zao tu na harufu ya ufisadi inajaa!
 
MBONA HUYU MFUPI (SIJUI NI NANI) KASHIKILIA MAKALIO NA MWALIMU KASHIKA BAKORA? ALICHARAZWA HAMSA NINI?

attachment.php

Kweli kaka umenichekesha khaaaa

Enzi za Mwalimu mikono nyuma...siku hizi kama sio mfukoni basi kiunoni...
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom