Nyerere! Huyu mzee kiboko! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyerere! Huyu mzee kiboko!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by LoyalTzCitizen, Feb 25, 2011.

 1. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #1
  Feb 25, 2011
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Nimeshindwa kujizuiz leo baada ya kuiona hii ya Hayati JK wa ukweli alipoongea 1995!, Tumekwishaaaaaaa!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #2
  Feb 25, 2011
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160


  Aliyoyasema yote yanatutokea sasa hivi! RIP Mwalimu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. V

  Vumbi Senior Member

  #3
  Feb 25, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 191
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Nyerere alikuwa kiongozi mwenye uelewa usio pimika, aliyoyasema ndio yanayofanyika hata leo hii, hatuna serikali bali tuaongozwa na wala rushwa. Taifa linahitaji kiongozi kama huyo ili tuweze kusonga mbele, leo hii masikini hana chake katika taifa hili, matajiri ndio wanaoendesha nchi kwa fedha zao viongozi waliopo ni kanya-boya.
   
 4. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #4
  Feb 25, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Nimeangalia hii video nikatoka chozi kwa kuondokewa na Raisi Nyerere. Tunamhitaji sasa kuliko wakati wowote.
   
 5. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #5
  Feb 25, 2011
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Dingiswayo inauma sana! imeniuma imeniuma imenuma! vyote vinatokea sasa, wakuu wamefanya Ikulu ni mahala pa madeals, wanatumia udini ktk kufanya ukaburu wao, Wenye pesa ndio wanaichezea nchi, rushwa imekuwa legal, haki kwa mwananchi hakuna tena, wananchi wanachagua kiongozi sababu ni muislamu bila ya kuangalia kama ni mfanyakazi muadilifu! you name it!
   
 6. nsimba

  nsimba JF-Expert Member

  #6
  Feb 25, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  nimeangalia na kurudia na kurudia. huyu alikuwa nabii, alitabiri yote yanayojiri leo. nimemlilia saaaaaaaaaaaaaaana. hapa hatuna kingine cha kufanya bali ni kudai uhuru toka kwa mafisadi. peopleeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!
   
 7. MWEEN

  MWEEN JF-Expert Member

  #7
  Feb 25, 2011
  Joined: Feb 6, 2010
  Messages: 472
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  I do not see anything in this posting! Is it my problem???
   
 8. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #8
  Feb 25, 2011
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160

  Yap! *&%^""£@~*!&&*i:fencing:Mafisadis!
   
 9. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #9
  Feb 25, 2011
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  I think it is your system or something! because the videos are on! try again Mkuu!
   
 10. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #10
  Feb 25, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Alifanya makosa kuondoka bila kubadili katiba na kupunguza madaraka ya Rais.

  Angelikuwa kalibadili hilo, nafikiri leo hii kuna mabaya mengi yangelikuwa hayatokei.

  Maadamu alikuwa binadamu, ninamsamehe kwani mazuri mengi alifanya.

  Mie hapa natumia Laptop, kama si huyo Mzee, ningelikuwa napalilia tumbaku na BANGI.
   
 11. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #11
  Feb 25, 2011
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Huyu Mgiriki anayemzungumzia sasa ndio namfananisha na RA today maana ni kama mtu aliyeikamata serikali yote ya TZ! seen!
   
 12. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #12
  Feb 25, 2011
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Wajua huyu mzee kama unavyosema mkuu yeye kafanya makubwa mengi sana ila kama binadamu nae pia ana mapungufu yake! lakini atlest alikuwa ni very reasonableindividual who knew exactly what he was doing! i am pretty sure Mkulu wetu leo has no target, inconsistent, lacking self awareness and decision making ambapo yupo soft sana, washauri ni wabovu, kakaa kirafiki rafiki na ni very complicated ktk utendaji wake! Leo anasema hiki kesho kile! ohh!
   
 13. D

  Dopas JF-Expert Member

  #13
  Feb 25, 2011
  Joined: Aug 14, 2010
  Messages: 1,151
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  RIP Baba wa Taifa Mwl Nyerere. Daima tutakumbuka busara yako
   
 14. MWEEN

  MWEEN JF-Expert Member

  #14
  Feb 25, 2011
  Joined: Feb 6, 2010
  Messages: 472
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Thank you, but it is probably my machine. I still can't see anything despite refreshing the thread several times. WILL TRY SOME OTHER TIME
   
 15. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #15
  Feb 25, 2011
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Welcomed! give a go later on!
   
 16. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #16
  Feb 25, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,569
  Likes Received: 1,936
  Trophy Points: 280
  Ni vigumu sana kutofautisha kati ya mizizi ya ufisadi na mizizi ya ubepari...Mabepari hawapendi kabisa kodi na mwalimu umesikia akisema serikali isiyokusanya kodi ni corrupt na wasiolipa kodi pia ni corrupt kwasababu matokeo yake ni ukandamizwaji wa haki za wasio nacho.
  Kutenganisha ubepari na ufisadi ndo kazi kubwa tuliyonayo.
   
 17. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #17
  Feb 25, 2011
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Exactly! hao wote wapo ktk same family sasa siku zote nikazi sana kueliminate hii! na inatakiwa nguvu za ziada! sababu sasa hata ule msingi nao umeshaota nyufa na the whole house is about to collapse kama anavyosema Mwalimu na hapo ndio patachimbika kusettle things back to normal again.
   
 18. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #18
  Feb 25, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Umezaliwa mwaka gani?
   
 19. meddie

  meddie JF-Expert Member

  #19
  Feb 25, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 413
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  naomba katika familia/kizazi cha Mwalimu JK Nyerere apatikane anayemfanana kwa upendo, uzalendo, akili na busara. Itakuwa ni hazina kubwa kwa taifa!!!
   
 20. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #20
  Feb 25, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Kuna wakati nilipokuwa nikisoma chuo kikuu hapo Dar es slalaam, nilianza kupinga sana siasa zake za Ujamaa na Kujitegemea. Sio kusema zilikuwa si sahihi, bali niliona zilianza kuleta matabaka kati ya wtawala (CCM) na raia, jambo ambalo limedumu mpaka leo. Vile vile niliona kuwa itikadi yake ya Ujamaa na Kujitegemea ilikuwa na mapungufu mengi na isingeweza kufanikiwa kama vile ilivyokuwa katika jamii yetu. Nilikuwa nimejazwa kichwani mwangu fikra za Marx na Lenin na ukommunisti. Hata hivyo namheshimu sana kwa misingi ambayo alitujengea na kutuwezesha wengine kusma hadi chuo kikuu na kupata shahada zaidi ya moja, kitu ambacho sikuhizi ingekuwa shida.
   
Loading...