Nyerere! Huyu mzee kiboko!

To be honest hata mimi jamaa nilikuaga simzimii hivyo na wakati ule watu wazima wakimzungumzia na kumsifia nikawa naona kama wamepagawa maana maisha yalitupiga sasa lakini nilianza kumzimia alipopisha mambo ya vyama vingi na kun'gatuka ktk uraisi. Sasa watanzania tumetake it for a granted! chizi kapewa rungu sasa ukiachilia haya maafa yetu ya mabomu hata raia wetu wameshikwa na wale pyrates kule Somalia walaa hatujali na huko Libya kuna wabongo kibao na huenda ikawa hata kuna wengine wamekufa tayari BUT nchi imekosa muelekeo na hakuna hata tamshi lolote kuhusu haya matukia! yaarkkk!! Sijui hata viongozi wanafanya kazi gani yaani hapo ndio kichwa kinaponiuma! Foreign ministry does not exist anymore! ila cha kushangaza kuna mabalozi na kila kukicha raia watanzania pia wanauliwa kinyama abroad BUT no response toka foreign office!
 
Huyu mzee I will always respect him. He was so honest..RIP baba wa taifa!

Hivi ile sheria ya viboko kwa wala rushwa bado ipo??? Nimeipenda ile ya kwenda kumwonyesha mke wake.....:laugh::laugh::laugh:
 
hivi viongozi wetu wanazitama hizi,au basii tu makumbusho kama kumbukumbu
 
Ukisikiliza hii speech utajua kwanini watu wa uganda wanataka kumfanya huyu mtu awe mtakatifu...any way hii ni imani yao.

Mie ningependekeza kabla ya vikao vya baraza la mawaziri, bunge na vyama vya siasa, wawe wanaweka speech kama hii baada ya dua, na kabla ya kuanza mijadala yao.

Hii italeta discipline,focus,transparency, hata kuwaondoa watu walioitia mfukoni serikali ya JK (RA na wenzake).
 
mkuu asante kwa kutukumbusha kwa video za busara ya mwalimu, leo hii nchi yetu tunaiona inapata shida sana sababu ya rushwa, kujuana, haki hamna kwa mtu maskini, inasikitisha sana,
 
mkuu (speech) video za mwalimu unazipata wapi nimejaribu kutafuta lakini u tube unapata chache sana naomba unipe source please.
 
mkuu (speech) video za mwalimu unazipata wapi nimejaribu kutafuta lakini u tube unapata chache sana naomba unipe source please.

Mkuu kama ukiangalia kwa makini mwisho wa hii clip utaona options nyingi sana kwa hiyo unaweza kuanza na tangu part 1 to part 10 of 10 thanks to you tube and an uploader! utapata zile za May day pale Mbeya 1995 What a genius head of all time! RIP Teacher!
 
hivi viongozi wetu wanazitama hizi,au basii tu makumbusho kama kumbukumbu
Watizame wapi! Macho yamewatoka kuuza nchi na 10%, ni majitu yasiyo patriotic na hii nchi wakati wake na watoto zao wanawapeleka nje kusoma na kutibiwa! naona mpaka wataanza kutuuza sisi wananchi sasa!
 
Huyu mzee I will always respect him. He was so honest..RIP baba wa taifa!

Hivi ile sheria ya viboko kwa wala rushwa bado ipo??? Nimeipenda ile ya kwenda kumwonyesha mke wake.....:laugh::laugh::laugh:

Sasa Happuch je kama Mwanamama ndio offender hivi itakuwaje naona tutatafutana hapo! inabidi achapwe mikwaju na akaonyeshe mumewe hahahahaha!
 
Alifanya makosa kuondoka bila kubadili katiba na kupunguza madaraka ya Rais.

Angelikuwa kalibadili hilo, nafikiri leo hii kuna mabaya mengi yangelikuwa hayatokei.

Maadamu alikuwa binadamu, ninamsamehe kwani mazuri mengi alifanya.

Mie hapa natumia Laptop, kama si huyo Mzee, ningelikuwa napalilia tumbaku na BANGI.

hakika mwalimu alijitahidi japo hali ya wakati ule ilikuwa ngumu kiutandawazi, alijisahau tu juu ya katiba. Yote aliyoyakemea 'maovu' yanajiri sasa.
 
Nimejaribu kuangalia hizi video, mara nyingi unamuona Mwl. akishikashika pua yake. Any insight?
 
Nimejaribu kuangalia hizi video, mara nyingi unamuona Mwl. akishikashika pua yake. Any insight?

Umeona ehee!! sasa sijui ndio dalili za uzee zile! lakini hata alipokuwa anahutubia pale Mbeya the same year pia alikuwa anashikashika paji la pua! labda ndio mbwembwe zenyewe :confused2:
 
Sio nabii tu ni mungu haswa kwa watanganyika. Wengine eti wanasema kafanya mengi mazuri, yapi hayo? Mbona hatuyaoni zaidi ya kuwakandamiza waislam?
 
Mtabie uko sahihi kwa your own perspective! sisi sote ni binadamu na tunaona vitu tofauti sasa kuna walioona kafanya mengi mazuri kuliko mabaya na kuna kama kina nyie mlioona kafanya mengo mabaya hiyo ni mitazamo yeta sisi sote, na ofcourse hatuwezi kuwa na the same conclusions!
 
Ndio maana manyang'au hawa tulio nao hivi leo wanajaribu sana kumchafua ili kuficha mapungufu yao. Masikini Kikwete, yeye mwenyewe amechafuka kiasi kwamba hata akioga kwa sabuni ya OMO hawezi kutakata. Mwalimu aliweka kiwango kisichoweza kufikiwa na hawa vilaza kama Kikwete na sasa wanachojaribu kukifanya ni kuchafua jina lake lakini je, wataweza ?

Eti hadi leo wako tayari kumlaumu kwa ulafi na ujinga wao unaoliangamiza taifa toka ang'atuke kwa hiari yake mwenyewe miaka zaidi ya 25 iliyopita. Cha ajabu wao wenyewe hawana ubavu wala ujasiri wa kuthubutu kufanya hilo, hivyo wanawatumia amka twende wao ambao sasa wametapakaa hadi humu JF - shuhudieni mabandiko yasiyo na miguu wala kichwa yanayojitokeza kila leo !
 
Sasa Happuch je kama Mwanamama ndio offender hivi itakuwaje naona tutatafutana hapo! inabidi achapwe mikwaju na akaonyeshe mumewe hahahahaha!

LoyalTZ...
Uzoefu unaonyesha kuwa wengi wala rushwa ni wanaume, ndo maana mwl akapelekea kusema hiyo sentensi ya kwenda kumuonyesha mke wake.....:)
 
LoyalTZ...
Uzoefu unaonyesha kuwa wengi wala rushwa ni wanaume, ndo maana mwl akapelekea kusema hiyo sentensi ya kwenda kumuonyesha mke wake.....:)

Nimekupata lakini ati kuna mkuu hapo amegusia kuwa mpaka hivi leo bado wanachapa hizi bakora!? hapo sina uhakika kwa kweli. lol!
 
Back
Top Bottom