Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,877
- 2,758
- Thread starter
- #141
Ni Kiko au Jacob Tesha? Anyway, De klerk naye alikuwa mbaguzi na dikteta. Yeye alibagua, aliua na kufunga weusi na dunia ilitambua. Mwisho wa siku alipewa tuzo pamoja na mzee Mandela. Kwa maoni yangu wala huyu kaburu hakustahili. Yeye na Nyerere kuna tofauti kubwa sana. Nyerere alikuwa na mrengo wa kuikomboa kusini ya Afrika. Hao critics hawakujua kuwa mapigano yanahusisha mauaji pia? Obama anavyotuma ndege tupu nchi za watu kwenda kupeleleza na kushambulia hawaoni?Hapa Tunazungumzia Tuzo Ya Aman Ya Nobel. Hii Tuzo Watu Wengi Wanao Amini Amani Katika Mapigo Akiwemo George Bush Na Pinda Miaka 1000, Hawawezi Kuipokea! Kwa Case Ya Mwalimu Ni Kwamba Alikuwa Nauwezo Mkubwa Wa Kusorve Matatizo Kwa Mdomo, Lakini Aliamini Katika Mapigo! Wakati Furani Nilisikia Watanzania 3000, Waliuawa Na Mreno Mozambique, Kuficha Aibu Kombe Likafunikwa Hadi Miili Ilivyo Rudishwa Hv Karibuni! Watanzania Waliuawa Angola Na Zimbabwe, Uganda - Kiko Akatangaza WATANZANIA WANA KUFA KAMA KUKU, / KAMA MITI IMELAZWA! Ikabidi Arudishwe Aje Anae Tangaza Bara~bara! Kwa Tathmini Hii, Anastahili Tuzo Ya Amani?