Nyaronyo Kicheere 'ahamia CCM'


mwambie akamchukulie mke ndiyo atajua ni mtu wa kusamehe au la.
 
Inaelekea Fasihi andishi na fasihi simulizi na uandishi wa kutumia picha ilishia miaka ya 1990.Sidhani kama watoto wetu leo wanalishwa vizuri elimu hii.
 
[h=2]Kweli ukiambiwa una akili ya hawa ndugu unaweza ukalia, hivi hawajasoma fasihi kwenye lugha ya kiswahili, wameshindwa kumuelewa Nyaronyo Kicheere mpaka wanamshangilia kwa hizo sababu, kweli CCM janga la elimu Tanzania[/h]
 
Hii inaitwa "ironic" writing. Au kejeri kejeri hivi. Without reading between lines lazima kama ni CCM ishangilie kama ni CDM ulie.
Kwa waliosoma literature miaka ile wanaweza kukumbuka Chief Nanga wa kitabu cha "a man of the people(Achebe) na Dr. Stalkman wa "an enermy of the people (Ibsen) ni nani hasa ali reflect title ya kitabu husika.
 
Nyaronyo jembe, ukifika huko muombee na Babu Seya msamaha na waliochota hazina majuzi wasikamatwe
 
hahahaha,Nyaronyo akisoma comment yako atakudharau! mkuu.
 

Yes, this is what we call "Ironic language", it contain educative, informative and reasonable journalism, while, disgustingly, killing the party to which you pretend to be in common understanding.....loooh!! Thank you so much Learned Brother, Counsel Nyaronyo Kicheere, for your critical makala.
 
Nyaronyo ni Fanani na Mtambaji pia.....hadhira yapaswa kuwa makini ili kung'amua ujumbe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…