Baba V
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 19,479
- 9,546
kwa majitu yaliyokufa kiubogo sio rahisi kumwelewa huyu jamaa anachokiandika
Kuna wala sembe hapo juu wamefurahi kumbe wamepigwa chenga ya mwili. Kweli ukiwa ccm ujinga ni kigezo kimojawapo.
kwa majitu yaliyokufa kiubogo sio rahisi kumwelewa huyu jamaa anachokiandika
Naam, ngoma inogile, tutampokea tundu lissu na pro.safari na baregu sio mda mrefu
Mimi namuonea huruma sana maana, kimsitu cha Mabwe pande bado kinatisha sana.
Safari njema Nyaronyo, huenda mtakuwa katika mahusiano mazuri na Kikwete, maana wiki iliyopita ulilalamika kuachwa katika uteuzi wa wajumbe wa Bunge la Katiba, licha ya kukidhi vigezo vyote
Huyu si alisema Kikwete anamchukia bila ya sababu? Kafuata nini tena huko CCM?
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...cheere-kikwete-ananichukia-bila-sababu-3.html
![]()
Changia hoja, acha kunitamani. Au uantaka kusema sura yangu inafaa niwe nimehamia CCM tangu zamani? Mimi wa huku huku kwa sura mbaya ila sheria tunafuata
kumbe ndiye huyu? the same Psychological problems as TSAVERY LWAITAMA.
Mkuu soma vizuri, Jamaa amewakilisha kifasihi.
Huyu si alisema Kikwete anamchukia bila ya sababu? Kafuata nini tena huko CCM?
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...cheere-kikwete-ananichukia-bila-sababu-3.html
![]()
Huyu si alisema Kikwete anamchukia bila ya sababu? Kafuata nini tena huko CCM?
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...cheere-kikwete-ananichukia-bila-sababu-3.html
![]()
Mkuu soma vizuri, Jamaa amewakilisha kifasihi.
Sijamwelewa hapa. Is this really a parting shot?