Nyaronyo Kicheere 'ahamia CCM'

Nyaronyo Kicheere 'ahamia CCM'

Naam, ngoma inogile, tutampokea tundu lissu na pro.safari na baregu sio mda mrefu
Tumia akili wewe, kasome makala yake uielewe, Katumia lugha ya picha ambayo kama huna akili nzuri huwezi kuelewa kama wewe ulivyoingia mkenge. Ile makala yake imeitukana sana CCM na JK tatizo mnashindwa kumuelewa Nyaronyo
 
Lumumba wameuvaa uzi kichwakichwa teh teh teh

na kweli mkuu wamezoea mada zilizouchi zilizovaa nguo kama hii hamna kitu ndo nape ajue ana kundi la aina gani linalotetea serikali na ccm. kwa kifupi ni watupu sana!
 
Rudia kusoma mkuu na ikibidi tumia jicho la 3 utaupata ujumbe wa jamaa!
Safari njema Nyaronyo, huenda mtakuwa katika mahusiano mazuri na Kikwete, maana wiki iliyopita ulilalamika kuachwa katika uteuzi wa wajumbe wa Bunge la Katiba, licha ya kukidhi vigezo vyote
 
Tumia akili wewe, kasome makala yake uielewe, Katumia lugha ya picha ambayo kama huna akili nzuri huwezi kuelewa kama wewe ulivyoingia mkenge. Ile makala yake imeitukana sana CCM na JK tatizo mnashindwa kumuelewa Nyaronyo

mkuu, kule lumumba kumejaa mabumunda na mburumundu tu! hayaelewi chochote yaani mavuvuzela tuuuuu!!!!
 
Nimesoma post ya kwanza na nyingine kama nne hivi nikagundua kwamba watu huwa wanasoma heading na kuanza kuchangia! Kwenye hii post eti unakuta mtu anamini kwamba Nyaronyo kaenda CCM na kuuliza kafuata nini huko wakati alikuwa akiitukana!
 
Fasihi ni ngumu kwa watu wenye ubongo mwembamba, inabidi uwe na kichwa ngumu.
 
Huyu si alisema Kikwete anamchukia bila ya sababu? Kafuata nini tena huko CCM?

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...cheere-kikwete-ananichukia-bila-sababu-3.html

Nyaronyo-Mwita-Kicheere.jpg

Yaelekea umesoma heading tu ukakimbilia kucomment
 
Nimesoma post ya kwanza na nyingine kama nne hivi nikagundua kwamba watu huwa wanasoma heading na kuanza kuchangia! Kwenye hii post eti unakuta mtu anamini kwamba Nyaronyo kaenda CCM na kuuliza kafuata nini huko wakati alikuwa akiitukana!

Mkuuu tatizo ushabiki umezidi mno.....

hapo ndio utakapojua kua watu hawabishani kwa hoja bali ushabiki, mtu hajipi hata muda kusoma kimeandikwa nini anakurupuka tu na kupost.!
 
hii ilinishtua sana heading yake, kwamba ameenda kufuata ukuu wa mkoa au nn, lakini nimemuelewa kicheere tangu kule ----------- mpaka leo si mtu wa kubabaisha
 
Naam, ngoma inogile, tutampokea tundu lissu na pro.safari na baregu sio mda mrefu

Div.5 at work,yaani hujui hata fasihi.? Ama ccm mpo ng'ombe sijapatamo kuona,ndiyo maana mengi mnapinga na kuchangia kama wenda wazimu. Shenzi kabisa. Nyaronyo hawezi kuja misri tena ni kebehi hiyo.
 
wanaochangia humu naona hawjaelewa anamaanisha nini. kwenye makala yake. wajaribu tena kusoma tena makala hiyo
 
Mkuuu tatizo ushabiki umezidi mno.....

hapo ndio utakapojua kua watu hawabishani kwa hoja bali ushabiki, mtu hajipi hata muda kusoma kimeandikwa nini anakurupuka tu na kupost.!

Aise ata mimi nimefehedheshwa sana ,sikutegemea kama kuna watu hamnazo kiasi hiki .,kwa mtaji huu wa watu wa aina hii naamini kile kisemwacho .ccm ina aina 3 za watu wezi ,wajinga,na wapumbavu .na ndugu zao .
 
HAJACHELEWA KAMA ANATAKA KUWA JANGIRI, KWA MUDA ALIOBAKIZA JK NAAMINI ANAWEZA KUTOA MSAMAHA MWINGINE KWA MAJANGIRI WOTE (NA KICHEERE ANAWEZA KUWEMO) WATAKAO JITOKEZA NDANI HUU MWAKA MMOJA ULIOBAKI.CHADEMA HAINA SERA YA KUSAMEHE WAHUJUMU NCHI HATA KIDOGO.Sasa hivi ni nafasi nzuri mno kwa mafisadi wote kutamba watakavyo make msamaha uko online.
 
Back
Top Bottom