Alfred Daud Pigangoma
JF-Expert Member
- Mar 30, 2009
- 1,833
- 972
CCM inapendwa jamani, tuache utani
Hawa walikuwa wanacheka cheka hovyo wakati wanadai uhuru, ama kuyakomboa mataifa yao kutoka kwenye makucha ya mabeberu weusi wanyonyaji? taifa letu linahitaji ukombozi wa kuwatokomoeza hawa mabepari weusi wanaolitafuta bila huruma.
Huyu kicheere ni MPIGANAJI hasa siku moja hawezi kwenda Lumumba!! someni tena hoja ya mlete hoja!!
mkuu we kubali tu kuwa haujaelewa kilicho andikwa ingawa unaweza kukisoma!
Jina lenyewe ukiita tu vidonda vya tumbo hapo hapo.Kwani akihama lazima kila mtu ajue au sifa za kijinga tuu.
Kwi kwi kwi
Kwani inahusu pia jamaa aloimba "Salma uko wapi eeeeeh...." kapewa life ban na appeal zote anapigwa chini.
Safari njema Nyaronyo, huenda mtakuwa katika mahusiano mazuri na Kikwete, maana wiki iliyopita ulilalamika kuachwa katika uteuzi wa wajumbe wa Bunge la Katiba, licha ya kukidhi vigezo vyote
Huyu si alisema Kikwete anamchukia bila ya sababu? Kafuata nini tena huko CCM?
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...cheere-kikwete-ananichukia-bila-sababu-3.html
Mkubwa usisumbuke kichwa hicho ni kipimo kuwa matoto ya Lumumba huwa hayasomi. Kicheere ametumia tasfida kutukana ila matoto ya Lumumba a.k.a Mavisebengo hayajaambulia kitu.
Changia hoja, acha kunitamani. Au uantaka kusema sura yangu inafaa niwe nimehamia CCM tangu zamani? Mimi wa huku huku kwa sura mbaya ila sheria tunafuata
Mwandishi Mahiri wa Makala na Mwanasheria wa Jijini Dar es Salaam Nyaronyo Mwita Kicheere amehamia CCM, kati ya sababu kubwa zilizomhamisha CHADEMA, anasema Viongozi wake hawana sura ya Tabasamu, tofauti na viongozi wa CCM, Kikubwa zaidi anasema ameamua kuipenda CCM kwa kuwa Mwenyekiti wake Jakaya Kikwete ni mtu Rahimu, anayependa watu wake na kuwahurumia kutokana na magumu ya maisha, Juzi juzi ametangaza jinsi alivyopelekewa orodha ya majangili 40 wanaotikisa mbuga zetu lakini hakuwachukulia hatua yeyote kwa kuwa wanafanya ujasiriamali kujikimu na wanaweza kuwekeza. Nyaronyo amesema pia, anahamia CCM kwani kesho au keshokutwa akikamatwa na ngozi ya Chui, ya Mamba, au meno ya Tembo atapata msamaha kama wale 40 waliosamehewa na Kikwete.
Nyaronyo anasema, CHADEMA wangekuwa madarakani leo, ambao viongozi wao hawana tabasamu, akamtaja Mbowe Slaa, Lissu na Lwakatare nchi isingekalika, maana ni wazee wa visasi, maana Wezi wangekamatwa, watekaji wangesakwa, wauza dawa za kulevya wangekuwa wote gerezani.
Tena akaongeza kuwa hii si mara ya kwanza Kikwete kusamehe. Amesamehe Majangili 40, kama alivyosamehe wezi wa EPA, Nyaronyo anasema Tumshukuru Mungu kwa kuwa na Kikwete, Rais anayesamehe. = Chanzo gazeti la -----
Lumumba wameuvaa uzi kichwakichwa teh teh tehmwenzio ni boya hajui kitu kinachoitwa satire katika fasihi!