NYARAKA: Watoto wa Magufuli, Dotto James na mke wa Makonda na viwanja huko Ununio, Dar

Status
Not open for further replies.
Maelezo ya mleta mada hayajitoshelezi kuonesha namna ardhi ilivyoporwa.
Hivyo kwa wadhifa wa hao watajwa kumiliki ardhi eneo hilo ni jambo la kawaida sana hakuna cha ajabu hapo.

Watu wananunua Villas Oysterbay Sembuse kumiliki ardhi ununio.

Ni wivu tu-Gwajima's voice
 
Watoto wa Rais Magufuli na Katibu Mkuu Hazina Bw. Dotto James na Mke wa Mkuu wa Mkoa Dar Bw. Paul Makonda wanaonekana kugawiwa ardhi iliyoporwa kutoka kwa Wananchi DAR. Inasemekana ni ‘syndicate’ kubwa ya Viongozi wa Serikali na CCM kujimilikisha ardhi.


Sent using Jamii Forums mobile app
Hiiiii iiii hiiiii iiiiiii inchi iiii bhana! Ngoja nami nijimegee kaeneo ka square meters angalau 600 huku Idukilo!
 
Maelezo ya mleta mada hayajitoshelezi kuonesha namna ardhi ilivyoporwa.
Hivyo kwa wadhifa wa hao watajwa kumiliki ardhi eneo hilo ni jambo la kawaida sana hakuna cha ajabu hapo.

Watu wananunua Villas Oysterbay Sembuse kumiliki ardhi ununio.

Ni wivu tu-Gwajima's voice
Ufafanuzi tu unatakiwa kutolewa iwapo kweli kuna watu wanalalamika wameporwa hapo ni tatizo lkn pia iwapo nao wanachukua tu na kujilimbikizia ardhi kwa namna iliyo nje ya utaratibu wa Sheria au wanaficha fedha (money laundering) napo ni tatizo!
 
Yesu na maria!

Ufisadi katika sura mpya!Kweli hawa watu wameivana,mpaka viwanja wanagawiana sehemu moja!
Hii ni viwanja tu,deal gani nyingine wamepiga pamoja!
Halafu kuna mtu anahisi Makonda atakuja kutumbuliwa,mtasubiri sana!
Ukiona JPM yuko radhi nchi ikose matrilion ya misaada au mikopo ilimradi tu kumlinda Makonda basi ujue kuna binding force kubwa sana baina yao!
RAIS anapiga dili la kiwanja cha Square meter 728
Duh!
Huyu RAIS bonge la "fisadi"
Haijawahi tokea.
 
Mbona wamejimegea maeneo makubwa mno. Huwa anajinadi kuwa yeye ni mzalendo kumbe nyuma yake ni mwizi mkubwa. Hakika Tanzania haijapata mzalendo wa kweli.

Inasikitisha
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Kiwanja cha 800Sq Meters ni sawa na 20X40meters Ni mediam density ty wala si Low Density. Ni vidogo sanaaaa. Hizi ni siasa za majitaka tu
 
Duh dhuluma!

Unyang'anyi kwa ncha ya madaraka.

Tuliwaambia UFISADI kwenye wamu hii ni mkubwa kuliko awamu zilizopita combined, sema tu uwazi na uhuru wa vyombo vya habari uko kapuni, na bunge halina meno, na wale whistleblowers wanabambikiziwa kesi za uhujumu uchumi na money laundering kuwanyamazisha, ndiyo maana hatuusikii sana
 
Watoto wa Rais Magufuli na Katibu Mkuu Hazina Bw. Dotto James na Mke wa Mkuu wa Mkoa Dar Bw. Paul Makonda wanaonekana kugawiwa ardhi iliyoporwa kutoka kwa Wananchi DAR. Inasemekana ni ‘syndicate’ kubwa ya Viongozi wa Serikali na CCM kujimilikisha ardhi.


Sent using Jamii Forums mobile app

Wote hawa ni majizi wakijifanya watetezi wa wanyonge, pia wakijinadi kuwa ni wazalendo nawatenda haki.
Wanasema kike ya taifa igawanywe kwa haki kumbe wao ndo wanagawana wewenye kwa manufaha yao.

Unakuta mtu anakuwa mkali katika jambofulani kumbe ni mbinu za kufunika makosa yake yasionekane.

SASA hawa watatu - Mapacha watatu kuna wa kumtumbua mwingine? Ndiyo maana mabo yanayo wahusu makona na doto huwezi sikia Mkuu akiyatolea maamuzi

Sasa hayo ni machache tu. Yapo mwengi ambayo yakigundulika masikio ya wengi yatawasha.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom