NYARAKA: Watoto wa Magufuli, Dotto James na mke wa Makonda na viwanja huko Ununio, Dar

Status
Not open for further replies.

Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
6,537
2,000
Watoto wa Rais Magufuli na Katibu Mkuu Hazina Bw. Dotto James na Mke wa Mkuu wa Mkoa Dar Bw. Paul Makonda wanaonekana kugawiwa ardhi ambayo tetesi zinadai iliporwa kutoka kwa Wananchi DAR.

Inasemekana ni ‘syndicate’ kubwa ya Viongozi wa Serikali na CCM kujimilikisha ardhi. Je, kuna ukweli wowote katika hili?

IMG_20200217_085101.jpeg
IMG_20200217_085107.jpeg
IMG_20200217_085110.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Jodoki Kalimilo

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
10,477
2,000
Labda ungetupa tip hiyo ardhi iliyoporwa ni kiasi gani na je wamepewa hao hao watatu ardhi yote au kuna watanzania wengine wamepewa ili hata tukipiga kelele au kusambaza ujumbe huu kuwe na mashiko maana tukumbuke hata viongozi na familia zao nao ni Watanzania wana haki ya kumilki ardhi kikubwa utaratibu ufuatwe
 

The Elephant

JF-Expert Member
Dec 18, 2014
4,309
2,000
Sasa hivi kuna vijinyumba kuanzia za udongo mpaka tofali vimeandikwa CCM Block wanadai ni maeneo yao yaliyovamiwa.

Najaribu kujiuliza inakuwaje CCM waweze kurudisha maeneo yao lakini yale maeneo ya wazi ya wananchi yaliyouzwa kinyamela hayarudi? Je, CCM wana nguvu kuliko serikali zetu kiasi kwamba CCM wanaweza lakini serikali isirudishe maeneo ya wananchi?

Sizungumzii yale mashamba makubwa kama ya akina Sumaye? najua Sumaye asingeenda CHADEMA wasingeweza kuchukua hata eka moja
 

Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
6,537
2,000
Hii ardhi iliporwa kutoka kwa nani? Maana ukisema kutoka kwa wananchi Dar kidogo haileweki. Hao wamiliki wa hiyo ardhi walikuwa wakina nani?
Subiri nitakapoleta uzi wenye heading 'wananchi dar waporwa ardhi' hapo ndo nitawataja hao wananchi walioporwa, lakin hii inahusu hao waliogawiwa ardhi iliyoporwa na nimewataja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Bome-e

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
13,020
2,000
Yesu na maria!

Ufisadi katika sura mpya!Kweli hawa watu wameivana,mpaka viwanja wanagawiana sehemu moja!
Hii ni viwanja tu,deal gani nyingine wamepiga pamoja!
Halafu kuna mtu anahisi Makonda atakuja kutumbuliwa,mtasubiri sana!
Ukiona JPM yuko radhi nchi ikose matrilion ya misaada au mikopo ilimradi tu kumlinda Makonda basi ujue kuna binding force kubwa sana baina yao!
 

Asherymdudu

Member
Jul 13, 2018
19
75
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom