NYARAKA: Hukumu ya Mahakama ya Rufaa kuruhusu Wakurugenzi kusimamia Uchaguzi Mkuu

Kiapo ni kitu gani, watu wanakula viapo na hawaviishi, kuna kiapo cha kuwatendea wananchi wote kwa haki bila kuwabagua kwa makabila, dini, jinsia, hali, itikadi, je ndivyo ilivyo? Utasikia nenda kamtafute diwani, mbunge uliyemchagua akusaidie....kwani kuna Chama cha upinzani kinachokusanya kodi?!!!!
 
Sheria ilikuwepo kuanzia utawala wa awamu ya 4 kurudi nyuma ila kwa sasa ule utawala umetawaliwa
Mkuu kati ya makosa makubwa aliyofanya nyerere ni kuandika katiba mbovu ili kulinda fikra zake sijui alidhani yeye ndo atakuwa rais milele.

Shida nyingi zinaanzia hapo, rais wa tanzania ana madaraka makubwa mno. Ukichunguza kwa makini utagundua hata uchaguzi wote uwe mdogo au mkubwa wa kumchagua yeye na wabunge anafanya yeye mwenyewe alafu wanatudanganya eti kuna democrasia.

Na mwisho eti rais ashitakiwi kwa kosa lolote hata akishatoka madarakani! Hiyo katiba kweli? Kwani rais amekuwa Mungu? Mkapa na mchagga wake walitumia weakness hii kuihujumu nchi yetu na bado hakuna wa kuwafanya chochote, katiba ya kijinga ya nyerere inawalinda.
 
Aliyemuua Mwangosi yuko wapi?Sheria ilisema nini kuhusu Mwangosi?Sheria ilisema nini kuhusu mauaji ya Arusha 2011,Mauaji huko Zanzibar 2001,Kubenea kumwagiwa Tindikali nk.Hizo tawala 4 Kurudi nyuma haya matukio SHERIA zilikua zinasemaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Two wrong don't make one Right, hiyo hoja yako ni ya kipuuzi
 
We feel the pitch the same way! Maumivu ni yale yale kwa wote; kilichobaki ni kila mtu kuangalia atakachokula leo na kesho. Siasa zimekwisha umebaki ubabe. Na hata hao walio madarakani wanatukanwa kila siku "MPUMBAVU". Heri wewe mkulima kijijini hakuna mtu amewahi kukutukana hivyo.....
 
Kudos mkuu! kama nimekuelewa vema kwa ufupi unasema nchi hii inayoitwa tanzania haijawahi kuwa na sheria, inaendeshwa tu kirahisirahisi na mahamuzi ya mtu mmoja anayejipajika jina la rais. Kwa asilimia zote huko sahihi kabisa, hii nchi tunadanganywa kama watoto wadogo na tutadanganywa sana tu maana mwelekeo wa kulishinda hilo tatizo hakuna.
 
We feel the pitch the same way! Maumivu ni yale yale kwa wote; kilichobaki ni kila mtu kuangalia atakachokula leo na kesho. Siasa zimekwisha umebaki ubabe. Na hata hao walio madarakani wanatukanwa kila siku "MPUMBAVU". Heri wewe mkulima kijijini hakuna mtu amewahi kukutukana hivyo.....
Huko sahihi kabisa mkuu. Kilichobaki ni hicho kila mtu kuangalia leo yake inaenda vipi? Na kesho yake panapo majaliwa ya Mungu ikafikiwa inakuwaje? Hayo mengine tuwaachiwe hao mafisadi wa kisiasa waendeleze ufisadi wao maana ukijiingiza kwenye anga zao wanakupoteza. What a pity?! Just a minor correction on your post, it is not pitch it is a pinch. God bless you.
 
Two wrong don't make one Right, hiyo hoja yako ni ya kipuuzi
Mbona ueleweki dogo? Unasema mwenzio mpuuzi wakati wewe ndiyo umeandika upuuzi hapa. Kumbe kweli nyani aoni kundule! Mpuuzi hajioni kama ni mpuuzi anawatuhumu wenzake kuwa wapuuzi!
 
refer kesi ya Mzee Mtikila kuhusu mgombea binafsi, huu ni muendelezo tu..wa uminyaji wa haki. Sasa kada wa CCM ati awe msimamizi mkuu wa uchaguzi unategemea nini hapo kitakachofuatia.....
 
Mkuu kati ya makosa makubwa aliyofanya nyerere ni kuandika katiba mbovu ili kulinda fikra zake sijui alidhani yeye ndo atakuwa rais milele.

Shida nyingi zinaanzia hapo, rais wa tanzania ana madaraka makubwa mno. Ukichunguza kwa makini utagundua hata uchaguzi wote uwe mdogo au mkubwa wa kumchagua yeye na wabunge anafanya yeye mwenyewe alafu wanatudanganya eti kuna democrasia.

Na mwisho eti rais ashitakiwi kwa kosa lolote hata akishatoka madarakani! Hiyo katiba kweli? Kwani rais amekuwa Mungu? Mkapa na mchagga wake walitumia weakness hii kuihujumu nchi yetu na bado hakuna wa kuwafanya chochote, katiba ya kijinga ya nyerere inawalinda.

Hapa ndipo ninapowashangaa watu wazima kama Mbowe na Zitto, Katiba Katiba Katiba ndio msingi wa mambo yote ikiwamo na Tume huru kwanza ndio tuje kwenye uchaguzi mbali na hivyo ni porojo porojoni.
 
Tuoneshe judgement ambayo iliupa ushindi upande wapili mkaridhika! Zote huwa mnazipinga na pale mnaposhinda mnaupongeza uamuzi wa mahakama
Hakuna kesi yeyeote ya Msingi ambayo matokeo yamekwenda kwa Wapinzania ....... Kama ipo tukumbushane!!

Wapinzani wanashinda kesi ndogo ndogo tu ...........!!
 
Back
Top Bottom