Nyanza Road works wana bahati gani?

Hyo ni kampuni ya Maghufuli, alinunua vifaa toka Kwa waitaliano wa Astard waliojenga kipande cha Kutoka Nyanguge mpak mwanza mjin toward airport mwanzoni mwa miaka ya 2000..
Lakn mpak leo hakuna repair kwenye vifaa vyao , vimechoka vibaya....ukiachilia mbali pesa ya miradi kuchelewa lakn pia wapo narrow Sana kurun project nying nying Kwa mpigo....wingi wa miradi unazidi uwezo wao wa kuhudumia
Uongo mtupu.
Umepitia BRELA kuthibitisha madai yako?
Majungu yatawamaliza nyie vibulushuti!
 
Mkuu yani hiyo kampuni ni janga kubwa kwa wakazi wa kibondo na nyakanazi barabara yao Bado haijakamilika tangu 2015 na hakuna kinachoendeleahata waziri mkuu alishaitishia kuinyima kazi lakini baadae alionekana kunyongonyea siyo tu waziri mkuu mbarawa akiwa kwenye wizara ya ujenzi aliisema Sana lakini hakuna kilichofanyika
Mbona kuna barabara inajengwa na mchina toka 2009 had leo haijakamilika?
Sio kazi ya mkandarasi kutafuta pesa za kujengea miradi ila serikali itoe pesa mkandarasi ajenge.Ukiona hivyo jua kwamba miradi hiyo ni ya pesa za ndani huwa inachukua mda mrefu sana kukamilika maana serikali huwa inatoa pesa kiduchu au hailipi kabisa kwa kukosa pesa.Miradi ya mikopo na pesa za wafadhili ndio inakwenda speed
 
Najua kama ndio hao Nyanza waliopewa tenda ya barabara za UDOM
Dodoma,Kuna barabara ya Kutoka geti la UDOM hadi njia ya panda ya barabara ya kwenda Moro.Ni kipande cha km 15 tu.Huu ni mwaka wa saba hawajamaliza.Mimi siamini kama ni ya Mjomba Magu,isingekuwa ya kichovu kiasi hiki
 
Kwanza TV wamefungiwa kwa kuandika jina moja la mtu maarufu na kuzuia taharuki.Sasa wewe unataka balaa
Kwani kiongozi kumiliki kampuni ni kosa?..Hii nchi tunaogopana mpaka tunatia kinyaa,kwahiyo kama kampuni yake asisemwe!?..kwani hata akijulikana kuwa yeye ni mmiliki kuna tatizo hapo? Kwahyo asiwekeze ategemee mshahara tu..mbona Trump makampuni yake yanajulikana na hakuna tatizo lolote..hii mentality ya kimaskini ni moja ya sababu tunaonekana watu wa ajabu
 
Kumbe hii campuni ni ya Patel
20191102_142659.jpg
 
Makonda kasema kwa barabara ya Kitunda Kivule walishakula hela zaidi ya 70% kwa hiyo ukata sio sababu
Mbona kuna barabara inajengwa na mchina toka 2009 had leo haijakamilika?
Sio kazi ya mkandarasi kutafuta pesa za kujengea miradi ila serikali itoe pesa mkandarasi ajenge.Ukiona hivyo jua kwamba miradi hiyo ni ya pesa za ndani huwa inachukua mda mrefu sana kukamilika maana serikali huwa inatoa pesa kiduchu au hailipi kabisa kwa kukosa pesa.Miradi ya mikopo na pesa za wafadhili ndio inakwenda speed
 
Najua kama ndio hao Nyanza waliopewa tenda ya barabara za UDOM
Miradi yote inayotekelezwa kwa fedha za ndani maarufu kama development budget projects huwa haikamiliki kwa wakati na sio huko tuu ni nchi nzima,lawama kwa John maana serikali huwa haina pesa ila ukiona mradi uko Fasta jua ni mkopo au mfadhili
 
Makonda kasema kwa barabara ya Kitunda Kivule walishakula hela zaidi ya 70% kwa hiyo ukata sio sababu
Sasa tatizo ni la nani,mkandarasi au wasimizi? Kama wametumia hicho kiasi manake kazi iko 70% sasa si watoe pesa mkandarasi amalize kazi? Practically huwezi lipa kazi haijafanyika
 
Kumiliki sio vibaya kwa mujibu wa sheria lakini lazima Tume ya maadili ya viongozi wa umma ijue na you have to declare your interest
Kwani kiongozi kumiliki kampuni ni kosa?..Hii nchi tunaogopana mpaka tunatia kinyaa,kwahiyo kama kampuni yake asisemwe!?..kwani hata akijulikana kuwa yeye ni mmiliki kuna tatizo hapo? Kwahyo asiwekeze ategemee mshahara tu..mbona Trump makampuni yake yanajulikana na hakuna tatizo lolote..hii mentality ya kimaskini ni moja ya sababu tunaonekana watu wa ajabu
 
Hii kampuni ya ujenzi wa barabara yenye makao yake pale Bwiru road Mwanza itakuwa na bahati sana.

Kila wakati inalalamikiwa sana kwa kuchelewesha miradi ya barabara lakini bado inapewa tenda.

Makonda kaisema sana kuhusu barabara ya Kitunda to Kivule mpaka katishia kutoipa tena Kazi mkoani Dar

Lakini pia kampuni hii ilipewa kazi ya kutengeneza Barabara ya Nyakanazi Kakonko mpaka Kibondo miaka mitano iliyopita. Lakini mpaka leo hakuna hata km30 zilizojengwa. Wakaazi wa Kigoma na Kagera hasa wilaya za Bihalamuro, Kakonko na Kibondo wanapata taabu sana. Barabara hiyo ni diversions to mpaka Kalenge.

Barabara za Musoma mjini nazo pia hoi na ni kampuni hiyo hiyo walipewa tenda. Au kuna kitu hatujui kuhusu kampuni hiyo. Inaweza kuwa ni kampuni ya serikali lakini hatujui.

Nasikitika ya kwamba na Ujanja wako wote umeshindwa hadi hii leo kujua hiyo Kampuni ni ya Mtu muhimu gani ' Kikatiba ' Tanzania Bara na Visiwani.
 
Tayari kuna mtu kishaweka ushahidi. Kumbe ni kambpuni ya Patel bwana. Umenielewaaa
Nasikitika ya kwamba na Ujanja wako wote umeshindwa hadi hii leo kujua hiyo Kampuni ni ya Mtu muhimu gani ' Kikatiba ' Tanzania Bara na Visiwani.
 
Back
Top Bottom