Nyani Ngabu! mtongoze Heaven on earth....

Wewe unatoa order kama nani?
 
Kha...! We unamtongoza/unatongozwa na nani?
 
Last edited by a moderator:
Nyani Ngabu Anza kumpiga mistari huyu mtoto wa kike!
Ritz we mpige mistari Fixed Point!
Bishanga we chonga na Lady doctor.
afu tuone

Watu wengine bwana,natamani niwe mods walau kwa dk 5 hivi niwape watu ban!Hivi unajisikiaje mwanaume anaposema amtongoze dada yako au mama yako!Kwa nini hata husimPM ili sisi ndugu zao tusione hizi aibu! Sijui dadangu Heaven on earth tutaangalianaje leo wakati wa dinner.Ngoja nipitilize tu chumbani nilale bila kula!
 
Last edited by a moderator:
Hahahaah! Pole aisee.
 
Last edited by a moderator:
sungura1980. we shida yako nini? kama hofu yako ni kukutana na mama yako au dada yako si uweke username ambayo ni verified? kuondoa utata. sidhani kama pendekezo langu linashida pamoja na matumizi ya username zetu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…