Nyani Banaaa, wanapenda deeezo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyani Banaaa, wanapenda deeezo

Discussion in 'Jamii Photos' started by MaxShimba, Sep 11, 2012.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Sep 11, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 2. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #2
  Sep 11, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Hapo umemdhalilisha Nyani huyo ni Ngedere kaka...
   
 3. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #3
  Sep 11, 2012
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,525
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  Naona ni wa zoo
   
 4. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #4
  Sep 11, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Wanyama wanapendana, upendo umetoweka Tanzania tunauana kwa risasi, mabomu, kitu cha ncha kali, mabwepande, yaani kila style!!
   
 5. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #5
  Sep 11, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  mKuu, maneno yako yamenitia uchungu sana ninapo kumbuko Daud alicho fanywa kule I-ringa
   
 6. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #6
  Sep 11, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  hivi ngedere ndo tumbili....au ni yupi....?
   
 7. Catherine

  Catherine JF-Expert Member

  #7
  Sep 11, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  muulize kama na sokwe nae ndio nyani.
   
 8. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #8
  Sep 11, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  na kima tumemsahau......
   
 9. Yegomasika

  Yegomasika JF-Expert Member

  #9
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 7,149
  Likes Received: 23,848
  Trophy Points: 280
  Ipo kazi hapa, watu mnanyabulisha tu maneno!.
   
 10. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #10
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  uyo ni kima
   
 11. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #11
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  ivi pana tofauti??
   
 12. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #12
  Sep 13, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Wakuu nikipata muda nitatoa picha zao na sifa zao maana naona ni watu wengi sana huwa wanashindwa kuwatofautisha hawa mabinamu zetu...
   
 13. ZENITH

  ZENITH JF-Expert Member

  #13
  Sep 13, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 732
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 60
  Hapana huyu ni kima!
   
 14. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #14
  Sep 13, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,584
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280
  usichelewe maana maswali ni mengi kuliko majibu.
   
 15. The Pen

  The Pen JF-Expert Member

  #15
  Sep 13, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 764
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Yes, ngedere ndio tumbili.
   
 16. m

  mzawahalisi JF-Expert Member

  #16
  Sep 13, 2012
  Joined: Jan 11, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Kima wengi ni weusi zaidi na wakuwa kufikia ukubwa wa nyani.
  Ngedere a.k.a Tumbili nihawa wadogo wadogo hata mitaani wanafugwa na ngoma wanacheza kama unabisha nenda Bush party ama muulize muhogo mchungu.
  Nyani ni wakubwa zaidi ya ngedere, ni wajeuri zaidi lakini ni wadogo kwa sokwe.
  Pia kuna mwingine anaitwa mbweha, nijamii hii hii ya apes lakini yeye analingana na nyani pia anarangi nyeupe upande wa tumboni yaani mbele na mgongoni ni mweusi.
  Then kuna sokwe huyu ndiye yule anaye fanana sana na sisi kitabia, mkubwa zaidi ya hawa wote.
  Bila kumsahau Binadamu, huyu mungu kamjalia akili zaidi na utashi kumtofautisha na sokwe. Lakini pia huyu ana sifa ya kipekee mbaya zaidi kuliko hawa ndugu zake wote kuwa, adui yake mkubwa ni yeye mwenyewe.
   
Loading...