figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,658
- 55,485
Kenya-Jamaa mmoja ameripotiwa kufariki baada ya kushiriki katika shindano la kunywa pombe kaunti ya Nyandarua -Jamaa huyo alishiriki shindano hilo baada ya kujigamba mbele ya wenzake kuwa yeye ni bingwa wa ulevi -Alishinda shindano hilo na kuzawadiwa shilingi 100 lakini akafa muda mchache baadaye Jamaa mwenye umri wa miaka 38 kaunti ya Nyandarua amefariki baada ya kushiriki katika shindano la kunywa pombe.
Francis Mungai Kimunya alishinda shilingi mia moja baada ya kushinda katika shindano hilo “Aliibuka mshindi baada ya kunywa chupa tatu za mililita 250 za pombe ya bei rahisi,”shahidi mmoja alisema.
Francis Mungai Kimunya alishinda shilingi mia moja baada ya kushinda katika shindano hilo “Aliibuka mshindi baada ya kunywa chupa tatu za mililita 250 za pombe ya bei rahisi,”shahidi mmoja alisema.