halafu ujue shemeji sikusomi kabisa!!
haya nenda gangilonga kasalimie wajomba zako
Huyu jamaa ni mwizi ile mbaya halafu ana mambo ya kihuni sana,ni check Bob mkubwa huyu jamaa ni hatari,mi nakwambia Jumapili ndio mwisho wa Nyamlani atashindwa ile mbaya.
Ameeen
mkuu kwa hiyo avatar yako hebu tembelea hapa. Nimekupenda ghafla brodah!!Hata hao wajumbe ni walewale waendekeza njaa, sitashangaa wanaweza mpiga chini Jamal Malinzi waweke walewale ili iwe business as usual..... hao wajumbe wengi wao ndo wezi wa mapato milangoni mikoani mwao
"festledi" huyo...
naye atafunikwa siku ya kura. mia
mwiaho wa Nyamlani hauko mbali binafsi nilishasema sitamlipiza kisasi lakin nilimwomba Mungu atende jambo juu yake ili ajue kwamba Mungu yupo.
Yaani mimi nilisikitika sana juu ya Malinzi na nilipokuja kugundua ni mwana jamvi mwenzetu nilifurah zaid manake ukweli Nyamlani alinitoka vibaya sana. ana nyodo huyu kaka acheni tuu watu wanasema hawajawah kukutana nae uso kwa uso. ni mla rushwa ambaye yeye huibia watu kwa wazi kabisa manake raha ya rushwa utoe kiasi unachotaka yaani yy hata kama utauza nyumba ili umpe rushwa hatasikitika bado atafurah tu na kusema nitakusaidia. mbaya zaid huwaga ni mtu wa kudouble cross, yani unaweza ukampa mlungula wewe na upande mwingine nao akapokea Magoma PP wake ndio shahidi wake. Kwanza huko TFF anakwenda kufanya nini ilihali ni mtumish wa umma?? aachishwe kazi ya uhakimu kwanza.
Yaani hayo malalamiko dhidi ya huyo Nyamlani na bado yupo hai anapumua na hata kilema cha maisha hana?
Ama kweli wabongo ni wajinga sana. Ingekuwa kwingine huyo jamaa angekuwa keshanyooshwa kama siyo kuuliwa kabisa.
Na ashukuru wengine tunabeba maboksi huku maana kama tungekuwa tunakula vumbi na kukanyaga tope basi tungekuwa tushaingizana kwenye kumi na nane na kufanyiana mbaya sana.
*** him.
hahaha hahaja ha ha! wewe unamjua sawia. kwa wasio mjua wakawaulize wanashinyanga walio kuwa nq kesi mbele yake. gfsonwin teh! u remind me in zoz dayz!
NN acha kabisa bestie!!
huyu Nyamlani ni shetan anayetembea duniani, binafsi nilishawah kuwaza kuchoma gari yake akiwemo ndani, yaani namshukuru sana Mungu roho ya KINUBI ilishindwa ikainuka ya kichaga. Lakini ukweli ni mla rushwa maarufu tena anayeiba wazi pasina kificho akishirikiana na Magoma wake.
Mwisho wake hauko mbali sana ipo siku tu ile roho ya KINUBI itanyanyuka atatoweka kama hadi panya walioko ndani mwake hawatasalia
mkuu usinikumbushe huyu mshenzi ambaye anajiona ndio msomi kuliko wasomi wote huku duniani ------- zake kabisa.........Alinisotesha sana pale Kinondoni na mbaya zaid akaniweka lockup masaaa 2 kisa nimemwambia yeye ni mla rushwa mwizi..............akashinikiza shoga yangu aende segedansa na mimi nilipotoka tu nikamwendea juu alikomaje sasa?? manake hadi hakimu niliomba kesi ipewe mwingine na shostito alipata dhamana,,,,,,,,,,,,,,,,,nikikutanaga nae huyu hatusalimiani hata salam ya mdomo..........................na nilisha sema siku roho ya KINUBI itakaponyanyuka hatasalia hata panya ndani mwake..................
Hali ya Nyamlani mbaya sana mpaka jqnq aemahidi kununulia baadhi ya wajumbe gari,sasa wajumbe wamestuka na kumwambia wanataka wazione gari kwanza vinginevyo anaumia kura ziko 127 na kati ya hizo Malinzi ana zaidi ya kura 88 jiulize Nyamlani anashindia wapi,anaungwa na zaidi ya mikoa 16 kati ya 24,anaungwa mkono na vilabu 8 kati ya 14,anaungwa mkono na vyama vitatu kati ya vi5,sasa piga hesabu yako.mtu kavurugwa asubuhi mnooooooo!
Tupe update
hehhehehhehehhe!!!!!!!!!!!!!!! si unaona eti anawanunulia magarii nyoko zake............ na akitoka hapo atakufa kwa presha mwaka huuu.................natamani hata kazi afukuzwe acha tu.Hali ya Nyamlani mbaya sana mpaka jqnq aemahidi kununulia baadhi ya wajumbe gari,sasa wajumbe wamestuka na kumwambia wanataka wazione gari kwanza vinginevyo anaumia kura ziko 127 na kati ya hizo Malinzi ana zaidi ya kura 88 jiulize Nyamlani anashindia wapi,anaungwa na zaidi ya mikoa 16 kati ya 24,anaungwa mkono na vilabu 8 kati ya 14,anaungwa mkono na vyama vitatu kati ya vi5,sasa piga hesabu yako.mtu kavurugwa asubuhi mnooooooo!