gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,272
- 20,720
Unakumbuka kule Shinyanga kuna hakimu wa mahakama ya mwanzo alichomwa bisu usoni na shingoni mwezi uliopita? Basi hata huyo Nyamlani ipo siku yatamtokea....ipo siku mtu atajitoa mhanga na kutuma ujumbe wa 'sasa basi, imetosha' na kumfanyia mbaya.
Chezea mengine lakini si haki za watu.
unachokisema ni kweli kabisa NN.
ila anavyojiskia huyu utafkiri sijui anakunya keki na kukojoa soda yaani akitokea mtu wa kuRIP mie nitamwongezea zana ili amamalize kabisa