Nyamlani Amfunika Malinzi Leo Live!!

Nyamlani Amfunika Malinzi Leo Live!!

Pole mamii tunaanza kukutuliza machungu yako leo kwa kumnyima kura,halafu tutamtumia kikosi kazi kianze kula nae sahani moja pale kinondoni,kumbe alikuwa anawanyanyasa ili mtoe pesa anazohonga leoeee?!zake zimetimia leo.

uwiii yaani wewe unanipa raha hujui tu.................pale kinondoni katutesa balaa sasa leo ndipo atakaapoona dunia imemuangukia. Nyamlani ashindweeeeeeeeeeeeeeeeeee ashindweeeeeeeeeeeee kabisa
Nyamlani ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,,,,,,,,,,,,,,,,,,ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, kabisaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!
 
William, Nadhani sasa umejionea nani kamfunika Mwenzake kutokana na michango tu michache hapa JF Great Thinkers. Nachelea kusema William una Gundu kama sio Damu ya Kunguni. Haya majibu usidhani ni data za hapa tu JF, hapana - waliochangia Uzi wako huu wengine ni Wapiga Kura siku ya leo, ambao hawako tayari kumuchangua Nyamlani.

Yaani kama ungeingia pia FB, kwenye Ukurasa aliofungua JAMAL MALINZI na kuweka mikakati yake, ungeomba poo.

Ninachokiona katika maelezo ya Ndg Athuman Nyamlani ni kwamba kumbe hata hajajipanga pamoja na kukaa Madarakani muda Mrefu na Mzee Tenga, Inawezekanaje unatumbia huna ulichokiandaa maana unasubiri watu mje Mkae ndio uweke Ilani. Shame Upon your face. Kama Mgombea unatakiwa kutuonyesha Dira yako ni nini - sio unaenda kwenye Kikao au Mkutano huna hata cha kuchangia, ndo maana wajumbe wanamuona kuwa atakuwa tu MSUKULE WA TENGA Pale.

Acha leo aambulie Aibu, na wewe uache kushashadia issue za wenzio maana una KIMAVI utawakosesha Ulaji kama unavyoelekea kumkosesha NYAMLANI.

Watanzania wanataka mabadiliko hapo TFF na wamewaomba wajumbe wawachagulie JAMAL MALINZI, nina imani wajumbe hawatawaangusha.
 
hehhehehhehehhe!!!!!!!!!!!!!!! si unaona eti anawanunulia magarii nyoko zake............ na akitoka hapo atakufa kwa presha mwaka huuu.................natamani hata kazi afukuzwe acha tu.

kura mpeni Malinzi jamani uwiiiiiiiiiiiiiiiiii, nitarukarukaje mie kuona huyu nyamlani akikosa ushindi?? na siku ya kesi pale kinondoni nitampa pole ya nguvu na hivi kesi ilibadilishwa hakimu lazima nimwonyeshe kwamba nguvu ya mwanamke iko wapi............ katika maisha yako chunga sana usilaaniwe na mwanamke yaan mwanamke yyte asiseme neno baya juu yako ni mbaya sana nakwambia

Sauti ya wengi siku zote ni sauti ya Mungu,amini amini nawaaambieni.!
 
Mkuu hakuna mtu mbaya kama Nyamlani,sio kwamba Malimzi pengine anamzidi Malinzi kilw kitu hapana hata yeye tunajua mapungufunyake,lakini Nyamlani na Kundi lake lile la wakina Lyato walianza kuwavuruga wajumbe kile mikoani,kuna watu walowaondoa kwa nguvu kwa sbb tu ya misimamo yao,ama kwa sbb tu walikuwa wanaumuunga mkono Malinzi,na mbaya zaidi walifikia hatua ya kuwapitisha watu kugombea nafasi hata kama hawana sifa kwa makubaliano ya kuja kuwapigia kura,sasa leo hii nakwambiq atajinyea ukumbini,na wakileta tu ujinga wakuchakachua hawatoki ukumbini tutawakamua mavi yote kwa sbb wanaanza kule ujingaujinga,yani jamaa limekaa kiwiziwizi tu,mi mtu mingine bana sijui hata kwa nn inaishi humu duniani.
 
hehhehehhehehhe!!!!!!!!!!!!!!! si unaona eti anawanunulia magarii nyoko zake............ na akitoka hapo atakufa kwa presha mwaka huuu.................natamani hata kazi afukuzwe acha tu.

kura mpeni Malinzi jamani uwiiiiiiiiiiiiiiiiii, nitarukarukaje mie kuona huyu nyamlani akikosa ushindi?? na siku ya kesi pale kinondoni nitampa pole ya nguvu na hivi kesi ilibadilishwa hakimu lazima nimwonyeshe kwamba nguvu ya mwanamke iko wapi............ katika maisha yako chunga sana usilaaniwe na mwanamke yaan mwanamke yyte asiseme neno baya juu yako ni mbaya sana nakwambia

Uwiiiiiiiiiiii
 
kiswahili bado ni tatizo, amemfunika na shuka gani?
 
Jamal Malinzi ndio chaguo la Watanzania wengi.Wajumbe msituangushe.
 
NN acha kabisa bestie!!
huyu Nyamlani ni shetan anayetembea duniani, binafsi nilishawah kuwaza kuchoma gari yake akiwemo ndani, yaani namshukuru sana Mungu roho ya KINUBI ilishindwa ikainuka ya kichaga. Lakini ukweli ni mla rushwa maarufu tena anayeiba wazi pasina kificho akishirikiana na Magoma wake.

Mwisho wake hauko mbali sana ipo siku tu ile roho ya KINUBI itanyanyuka atatoweka kama hadi panya walioko ndani mwake hawatasalia

Unakumbuka kule Shinyanga kuna hakimu wa mahakama ya mwanzo alichomwa bisu usoni na shingoni mwezi uliopita? Basi hata huyo Nyamlani ipo siku yatamtokea....ipo siku mtu atajitoa mhanga na kutuma ujumbe wa 'sasa basi, imetosha' na kumfanyia mbaya.

Chezea mengine lakini si haki za watu.
 
Nani alikkwambia ndani ya tff wanataka waandishi wa habari?,ili wakaumbue?!thubutu angalia walivyo wasanii hao!

Mkuu WABHEJASANA wewe ni mpiga kura leo ama uko ukumbini waterfront katika kuchagiza operation dhibiti mla rushwa?
 
Last edited by a moderator:
Unakumbuka kule Shinyanga kuna hakimu wa mahakama ya mwanzo alichomwa bisu usoni na shingoni mwezi uliopita? Basi hata huyo Nyamlani ipo siku yatamtokea....ipo siku mtu atajitoa mhanga na kutuma ujumbe wa 'sasa basi, imetosha' na kumfanyia mbaya.

Chezea mengine lakini si haki za watu.

Siyo ,Tabora?
 
Siyo ,Tabora?

Ni Shinyanga.

Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo iliyopo eneo la Nguzo Nane, Kata ya Kambarage Mjini Shinyanga, Satto Nyangoha amejeruhiwa kwa kuchomwa kisu katika shavu lake la kushoto baada ya kutoa hukumu ya kesi ya wizi wa baiskeli.

Kitendo hicho kinadaiwa kufanywa na mlalamikaji katika kesi hiyo, Emmanuel Izengo (28), mkazi wa Tambukareli, Shinyanga baada ya kutokuridhishwa na hukumu iliyotolewa bila ya mshtakiwa, Daniel Makelezia, mkazi wa Lubaga Shinyanga na mdhamini wake, Marko Nkelezia kuwepo mahakamani.

Bofya hapa kwa habari zaidi.
 
Back
Top Bottom