Nyamlani Amfunika Malinzi Leo Live!!

Nyamlani Amfunika Malinzi Leo Live!!

kwani inaita?? sijui kama inaita manake haionyeshi kwangu kama inaita ama la...........niko kwa madiba niliiacha hewani tu japo niweze kupokea sms

Unafanya nn sasa huko na wewe mheshimiwa?!
 
Ha ha ha! Hafu ndo unaniongezea machungu kunikumbusha yaliyonikutaga kwa Nyamlani.

Nina uhakika kama sitalipiza kwake basi kwa kizazi chake, Mungu anishushie Roho Mtakatifu haraka sana niweze kumsamehe aliyonisababishia.
mwiaho wa Nyamlani hauko mbali binafsi nilishasema sitamlipiza kisasi lakin nilimwomba Mungu atende jambo juu yake ili ajue kwamba Mungu yupo.
Nyamlani keshokutwa jumapili anachinjwa,na mashambulizi ya kummaliza yanaendeshwa na mm mwenyewe,gfsonwin,naomba tukutane kesho jiooni pale Sinza maeneo yetu wewe najua utanisaidia,nakwambia Nyamlani akishinda na kuwa rais wa tff nauza mali zangu zote nilizo nazo halafu naanza moja,mtu mdhulumati hata siku moja hawezi kupata mafanikio,walitaka kumdhulumu Malinzi haki yake ya kugombea na ngoja kesho tunaweka hadharani akaunti wanayosaini yeye na Tenga wake iliyowasaidia kujenga magorofa.

Yaani mimi nilisikitika sana juu ya Malinzi na nilipokuja kugundua ni mwana jamvi mwenzetu nilifurah zaid manake ukweli Nyamlani alinitoka vibaya sana. ana nyodo huyu kaka acheni tuu watu wanasema hawajawah kukutana nae uso kwa uso. ni mla rushwa ambaye yeye huibia watu kwa wazi kabisa manake raha ya rushwa utoe kiasi unachotaka yaani yy hata kama utauza nyumba ili umpe rushwa hatasikitika bado atafurah tu na kusema nitakusaidia. mbaya zaid huwaga ni mtu wa kudouble cross, yani unaweza ukampa mlungula wewe na upande mwingine nao akapokea Magoma PP wake ndio shahidi wake. Kwanza huko TFF anakwenda kufanya nini ilihali ni mtumish wa umma?? aachishwe kazi ya uhakimu kwanza.
 
Hata Malinzi ni msanii wa kutupwa.Mara ngumi mara muziki mara urembo.Wote hawafai japo Nyamlani is far better than Malinzi.Anabebwa na Dioniz tu wa BMT.Anazungumza nadharia zaidi

Amebebwaje, kwa kaka yake amewalazisha watu lumkubali?
 
nyamala tupa kule.
Jamali malinzi kila la kheri.
 
Last edited by a moderator:
mwiaho wa Nyamlani hauko mbali binafsi nilishasema sitamlipiza kisasi lakin nilimwomba Mungu atende jambo juu yake ili ajue kwamba Mungu yupo.

Yaani mimi nilisikitika sana juu ya Malinzi na nilipokuja kugundua ni mwana jamvi mwenzetu nilifurah zaid manake ukweli Nyamlani alinitoka vibaya sana. ana nyodo huyu kaka acheni tuu watu wanasema hawajawah kukutana nae uso kwa uso. ni mla rushwa ambaye yeye huibia watu kwa wazi kabisa manake raha ya rushwa utoe kiasi unachotaka yaani yy hata kama utauza nyumba ili umpe rushwa hatasikitika bado atafurah tu na kusema nitakusaidia. mbaya zaid huwaga ni mtu wa kudouble cross, yani unaweza ukampa mlungula wewe na upande mwingine nao akapokea Magoma PP wake ndio shahidi wake. Kwanza huko TFF anakwenda kufanya nini ilihali ni mtumish wa umma?? aachishwe kazi ya uhakimu kwanza.

Wale watu Magoma na Nyamlani sitawaacha hivi hivi, ugumu wa maisha walionisababishia kwa kesi ambayo haki ni yangu sitakaa niwasahau.

Huo mchezo wa kupokea hela toka kwa ndugu mhusika akiwa Segerea halafu ukitoka wanakiuka yale makubaliano waliyoyaweka na ndugu na kukuanzishia sheshe upya walinifanyia pia.

Eti lile limagoma linasema aah! Ile ilikuwa ya removal order! Ulizaq ni sh ngapi sasa!

Halafu kesi ya kijinga jinga. Naomba usinikumbushe huyu Nyamlani na wapelelezi wake wa O'Bey police.

Tena mpelelezi wa kesi yangu namwonaga kwenye foleni anaita magari siku zingine karibu na KCB head office, natamanigi kumgonga basi tu!
 
sasa ngoja nikupe akili mpelelezi pp na hakimu wote lao moja na huwaga wanatabia ya kula kote kote alimradi wakuumize tuu. mimi nilimwambia wazi wewe ni mwizi kwa mgongo wa uhakimu alinimind acha tu bahai nzuri na mm nina ndugu ambaye ni bosi kwake alichemkaje sasa?? shostito akapewa dhamana na kesi ikaisha akaambulia patupu. limagoma ndo silipendi yaani angekuwa nyama basi yeye ni ya shingo ambayo hainogi hata kwa ndimu na pilipili
 
Atakimbia na sanduku la kura

Huyu jamaa ni mwizi ile mbaya halafu ana mambo ya kihuni sana,ni check Bob mkubwa huyu jamaa ni hatari,mi nakwambia Jumapili ndio mwisho wa Nyamlani atashindwa ile mbaya.
 
mapato ya getini yanawatoa wengi roho sana.............
ukweli ni kwamba TFF bila Malinzi ni kama nyumba bila baba.............Nyamlani atahaha sana kusema hovyo na kwenye maredio ndio anashindisha watu wanamtukana Malinzi lkn siku ya uchaguzi lazima Jamal Malinzi atashinda tuu

Hata hao wajumbe ni walewale waendekeza njaa, sitashangaa wanaweza mpiga chini Jamal Malinzi waweke walewale ili iwe business as usual..... hao wajumbe wengi wao ndo wezi wa mapato milangoni mikoani mwao
 
Malinzi ni tapeli fulani hivi!! Hawenzi mambo ya mpira. Mbona kashindwa kuongoza chama cha mpira mkoa wa Kagera? Hata uwanja wa mpira mkoa hauna. Anagombea kwa ajili ya tumbo lake tu

Kwani ni Mkoa gani Tanzania unamiliki uwanja???? au chama gani cha mpira wa miguu nnchini Tanzania?? kina uwanja?? Hata TFF wenyewe hawana uwanja!!! Sasa inakuwaje unamlaumu Jamal Malinzi kwa mkoa wa Kagera kukosa uwanja? Kama sio chuki ni Unafki na Uzandiki
 
Kamfunika vipi sasa kwa maelezo haya? Huyu jamaa bana! Ukimuona utadhani mwanaume kumbe ni mvulana
 
Back
Top Bottom