Nyamlani Amfunika Malinzi Leo Live!!

Nyamlani Amfunika Malinzi Leo Live!!

nyamlani akishinda naacha ishu zote za mpira tanzania hata kinesi ntakua siendi achilia mbali uwanja wa taifa. Ntakuwa mi na bpl tu.

wee fisi naona unaungana na waandishi waliopewa rushwa na malinzi "promota wa ngumi" anayetumia mgongo wa pesa za kaka yake dioniz...jamali ni mganga njaa nambari moja hafai hata kukanyaga eneo ilipojengwa ofisi ya tff.

Nimeona brochures zake anaongea siasa tupu na uongo usioeleweka...ndio maana nyamlani kampiga dongo kuwa "uchaguzi wa tff huwezi kukaa chumbani na mkeo munaandika ilani ya tff bila kushirikisha wadau wengine"...

Kusoma kwiiingi elimu hakuna kichwani na uongo plus pompous za kikwao huko...big noooo to jamal malinzi promota wa ngumi...anamchafulia jina na sifa kaka yake dioniz.
 
Nyamlani ni muhuni mmoja tu hivi anaeganga njaa TFF na kama kweli ni hivyo yeye na kamati ya uchaguzi ya tff wasingeweza kumuondoa Malinzi smbae leo wamemrudisha kuwania nafasi yake anajua hamuwezi.muhuni tu huyo.

mapato ya getini yanawatoa wengi roho sana.............
ukweli ni kwamba TFF bila Malinzi ni kama nyumba bila baba.............Nyamlani atahaha sana kusema hovyo na kwenye maredio ndio anashindisha watu wanamtukana Malinzi lkn siku ya uchaguzi lazima Jamal Malinzi atashinda tuu
 
le mutuz, mbona hakuna sehemu uliyoonesha amemfunika? Halafu wewe mbona unaonekana una umri mkubwa lakini akili yako kama ya standard seven? Hivi una elimu gani vile?

mkuu hapo umetutukana wengi bora ungesema akili zake kama za mtoto wa miaka 12.
 
mtu akishakuwa CCM sijui akili uendaga wapi?
tazama mtu kama @W. J. Malecela anaandika huu utumbo! unawezaje kulinganishaje watu 2 kwa kuonesha sera za mmoja?

jipange.mzee wa matanuzi,huna jipya bongo!
 
​

MGOMBEA nafasi ya urais wa Shirikisho la Mpira Miguu Tanzania (TFF), Athuman Nyamlani amejinadi kusimamia na kutekeleza programu ya muda mfupi na mrefu ya shirikisho hilo na kuwa hawanii nafasi hiyo akiwa na ilani yake ya uchaguzi binafsi.

"Chama chochote hata cha siasa, hupitisha mgombea wao na wenye chama hutengeneza sera ya chama hicho itakayotekelezwa na serikali yake kwa maendeleo ya eneo husika na si mtu," alisema Nyamlani alipozungumza wanahabari kwenye mkutano uliofanyika katika ukumbi
#MY VOTE TO JAMAL MALINZI WE WANT CHANGE/NYAMLANI MEANS L TENGA NO NEW THERE
 
Malinzi ni tapeli fulani hivi!! Hawenzi mambo ya mpira. Mbona kashindwa kuongoza chama cha mpira mkoa wa Kagera? Hata uwanja wa mpira mkoa hauna. Anagombea kwa ajili ya tumbo lake tu
 
Tutamchagua Malinzi, liwalo na liwe.

That's it. Hatutaki uswahili uswahili TFF.

Malinzi amefanyia press conference yake Kilimanjaro hotel, na huyu Nyamlani kafanya press conference yake ukumbi wa bure wa idara ya habari maelezo halafu anatokea kula kulala anasema eti Nyamlani kafunika!

Huyu mzee kijana anaitia aibu sana.
 
wee fisi naona unaungana na waandishi waliopewa rushwa na malinzi "promota wa ngumi" anayetumia mgongo wa pesa za kaka yake dioniz...jamali ni mganga njaa nambari moja hafai hata kukanyaga eneo ilipojengwa ofisi ya tff.

Nimeona brochures zake anaongea siasa tupu na uongo usioeleweka...ndio maana nyamlani kampiga dongo kuwa "uchaguzi wa tff huwezi kukaa chumbani na mkeo munaandika ilani ya tff bila kushirikisha wadau wengine"...

Kusoma kwiiingi elimu hakuna kichwani na uongo plus pompous za kikwao huko...big noooo to jamal malinzi promota wa ngumi...anamchafulia jina na sifa kaka yake dioniz.

mapato ya getini yanawatoa wengi roho sana.............
ukweli ni kwamba TFF bila Malinzi ni kama nyumba bila baba.............Nyamlani atahaha sana kusema hovyo na kwenye maredio ndio anashindisha watu wanamtukana Malinzi lkn siku ya uchaguzi lazima Jamal Malinzi atashinda tuu

​

Alijinadi kuwa, kamwe hatafumbia macho rushwa na hilo ni jambo jema iwapo atafanikiwa kwa kuwa siku za nyuma ilikuwa ni vigumu kutoa maamuzi ya aina yoyote katika hilo, kwa kuwa, hakukuwa na vyombo vinavyoshtaki na kutoa hukumu za aina hiyo ndani ya katiba ya TFF, wala kujitetea kwa kukata rufaa.

"Ilikuwa kama kuna mshukiwa inapaswa kupelekwa Takukuru (Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa), baadaye mahakama za kiraia, hivyo sisi kukosa meno ya eneo hilo kwa hukumu za aina yoyote zitolewazo huko, katiba ya sasa ya TFF iliyofanyiwa marekebisho katika mkutano mkuu wa mwisho, vilipitishwa vyombo hivyo, ikimaanisha sasa kinachotakiwa ni utekelezaji kivitendo bila kumuonea mtu," alisema.

Of all people Nyamlani hawezi kusema kwamba hatavumilia rushwa, mahakama ya Kinondoni Mh Nyamlani kupitia kwa mwendesha mashtaka wake Magoma (spelling sina hakika nazo) ndio wanaongoza kuchukua rushwa kubwa kupita wote.

Nina experience na hawa jamaa, Nyamlani nitamchukia mpaka naingia kaburini, ana Verossa yake hivi ukishamwona anaingia ujue cash imekutoka, halafu haheshimu muda wa watu, ana dharau sana huyu mtu.

Unaweza ukawa na kesi mnamsubiria yupo ndani hatoi maelezo yoyote labda muondoke mje saa ngapi, baada ya muda unamwona huyo anaondoka na Verossa yake, kurudi ni saa kumi na nusu au saa kumi na moja, sasa hata kama una kesi huna haki ya muda jamani! Sasa ukosee useme ngoja nitoke kidogo, akirudi ukaitwa haupo, wewe tena umelala ndani, kupata removal order ni Laki 3 mpaka 4 hapo.

Nyamlani? Nyamlani? Nyamlani? Naomba aje akiri kwamba anajirekebisha kwa hili la rushwa na kuheshimu watu kwanza, na yule mwendesha mashtaka wake Magoma! We waache tu.

Jamaa anajua fitina sana, ana roho mbaya, ndio maana walitaka kura ya ndiyo na hapana kule mwanzo.

NINA HASIRA NAYE, NAMWOMBA MUNGU ANISAIDIE HASIRA ZA ALICHONIFANYIA NYAMLANI ZIISHE, NIPATE MOYO WA KUMSAMEHE NA KUSAHAU KWA KWELI.

NB: Naomba kama kuna mtu anaweza kumtumia haya niliyo andika kwenye email yake afanye hivyo, ninaumia na ninaendelea kuumia kwa haki niliyodhulumiwa na Nyamlani, dharau aliyonifanyia na rushwa kubwa aliyoniomba, na mengine mengi ya kutojari muda wangu. Asnteni.
 
Hapana, mashetani kama hawa hawastahili msamaha, nilikuwa sijui kama ni wakili ulichokieleza nimekuelewa kuliko maelezo sasa mimi ndio nitamchukia zaidi.

Hawa mawakili mimi huwa siwaelewi huwa wanaahairisha kesi kwa madai kwamba wana kesi mahakama nyingine, sasa huyu Nyamlani anataka aongezewe majukumu ili awatese vizuri watu wenye zao Mahakamani.

Alaaniwe sana Tenga kwa kutaka kutuletea wahuni kama Nyamlani TFF.
 
Mh Nyamlani sio wakili, ni hakimu mwenye madaraka makubwa sana pale Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni. Ukitaka kumfahamu nenda pale Kinondoni Mahakamani, jifanye kuulizia kwa askari yeyote akuelekeze uongee na nani juu ya kesi yako iliyo kwa Nyamlani, utapata maoni ya kutosha tu!

Kwanza huyo askari utakayemuuliza atakuhurumia hapo hapo, na atakwambia jiandae fungu la kutosha.
 
Mleta uzi hajui ata mpira leo ukimuuliza MRISHO NGASA anacheza timu gani hajui kaka LE MUTUZ wewe ni mdau wa urembo na warembo habari ya soka hujui mameniiiiiiiiiiiiiiiiii.
 
Of all people Nyamlani hawezi kusema kwamba hatavumilia rushwa, mahakama ya Kinondoni Mh Nyamlani kupitia kwa mwendesha mashtaka wake Magoma (spelling sina hakika nazo) ndio wanaongoza kuchukua rushwa kubwa kupita wote.

Nina experience na hawa jamaa, Nyamlani nitamchukia mpaka naingia kaburini, ana Verossa yake hivi ukishamwona anaingia ujue cash imekutoka, halafu haheshimu muda wa watu, ana dharau sana huyu mtu.

Unaweza ukawa na kesi mnamsubiria yupo ndani hatoi maelezo yoyote labda muondoke mje saa ngapi, baada ya muda unamwona huyo anaondoka na Verossa yake, kurudi ni saa kumi na nusu au saa kumi na moja, sasa hata kama una kesi huna haki ya muda jamani! Sasa ukosee useme ngoja nitoke kidogo, akirudi ukaitwa haupo, wewe tena umelala ndani, kupata removal order ni Laki 3 mpaka 4 hapo.

Nyamlani? Nyamlani? Nyamlani? Naomba aje akiri kwamba anajirekebisha kwa hili la rushwa na kuheshimu watu kwanza, na yule mwendesha mashtaka wake Magoma! We waache tu.

Jamaa anajua fitina sana, ana roho mbaya, ndio maana walitaka kura ya ndiyo na hapana kule mwanzo.

NINA HASIRA NAYE, NAMWOMBA MUNGU ANISAIDIE HASIRA ZA ALICHONIFANYIA NYAMLANI ZIISHE, NIPATE MOYO WA KUMSAMEHE NA KUSAHAU KWA KWELI.

NB: Naomba kama kuna mtu anaweza kumtumia haya niliyo andika kwenye email yake afanye hivyo, ninaumia na ninaendelea kuumia kwa haki niliyodhulumiwa na Nyamlani, dharau aliyonifanyia na rushwa kubwa aliyoniomba, na mengine mengi ya kutojari muda wangu. Asnteni.
Pole.Msamehe.Mungu atakulipia.
Na bila shaka ujumbe ushamfikia atakuwa ni member au ni guest humu.
 
Mh Nyamlani sio wakili, ni hakimu mwenye madaraka makubwa sana pale Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni. Ukitaka kumfahamu nenda pale Kinondoni Mahakamani, jifanye kuulizia kwa askari yeyote akuelekeze uongee na nani juu ya kesi yako iliyo kwa Nyamlani, utapata maoni ya kutosha tu!

Kwanza huyo askari utakayemuuliza atakuhurumia hapo hapo, na atakwambia jiandae fungu la kutosha.

No way huyu mtu hafai kabisa, atulie na ajila yake, angegombea ujumbe wa kamati nisingekuwa na tatizo naye maana kamati ni kwa ajili ya vikao tu, sasa haingii akilini mtu wa Serikali full time inawezekana vipi aombe dhamana hii.

Mwanasheria mkuu wa serikali Frederick Werema wewe ni member mwenzetu hapa JF tunaomba ufafanuzi hata kutumia ile ID yako nyingine.

Na tunakuomba umfikishie salamu hizi Jaji mkuu kwamba wananchi wanalia Nyamlani amebobea kwenye rushwa. ndio maana kesi zimerundikana mahakamani kumbe mahakimu wenyewe wana tamaa kama fisi taaluma zao zinawashinda halafu wanarukia kwenye fani za watu wengine!
 
Last edited by a moderator:
Tuna watu wengi tu wazuri ambao wangeweza kuwa viongozi wetu kama haki ingetendeka katika mchakato mzima wa kupata wagombea na wasiwasi sana viongozi wanaokuja kama watalifikisha soka letu mahali pazuri ni jambo la kusubiri na kuona.
 
No way huyu mtu hafai kabisa, atulie na ajila yake, angegombea ujumbe wa kamati nisingekuwa na tatizo naye maana kamati ni kwa ajili ya vikao tu, sasa haingii akilini mtu wa Serikali full time inawezekana vipi aombe dhamana hii.

Mwanasheria mkuu wa serikali Frederick Werema wewe ni member mwenzetu hapa JF tunaomba ufafanuzi hata kutumia ile ID yako nyingine.

Na tunakuomba umfikishie salamu hizi Jaji mkuu kwamba wananchi wanalia Nyamlani amebobea kwenye rushwa. ndio maana kesi zimerundikana mahakamani kumbe mahakimu wenyewe wana tamaa kama fisi taaluma zao zinawashinda halafu wanarukia kwenye fani za watu wengine!
Matola naomba niongeze kidogo tuuu juu ya Nyamlani.
mwaka jana kuna shostito wangu alikuwa na kesi pale mahakama ya kinondoni yy na mwendesha mashtaka wake Magoma walimwekea ngumu ya dhamana kisa tu mlungula haukuwa aloutaka, nakumbuka aliniweka lockup kwa masaa2 kisa nilimwambia yy sio hakimu ni mwizi anayetumia mahakama kuiba. shostito alipelekwa segerea na nikatumia mjanja kuliko yy akapata dhamana.

hongo yake huyu sii laki 2 usimwone hapo anaonyesha mwanya ni mwizi wa mahakama manake hata kama ni rushwa kwake huyu imezidi
 
Last edited by a moderator:
Wote hawafai kabisa, lakini Nyamlani ndio hafai kabisa kabisa.
 
Matola naomba niongeze kidogo tuuu juu ya Nyamlani.
mwaka jana kuna shostito wangu alikuwa na kesi pale mahakama ya kinondoni yy na mwendesha mashtaka wake Magoma walimwekea ngumu ya dhamana kisa tu mlungula haukuwa aloutaka, nakumbuka aliniweka lockup kwa masaa2 kisa nilimwambia yy sio hakimu ni mwizi anayetumia mahakama kuiba. shostito alipelekwa segerea na nikatumia mjanja kuliko yy akapata dhamana.

hongo yake huyu sii laki 2 usimwone hapo anaonyesha mwanya ni mwizi wa mahakama manake hata kama ni rushwa kwake huyu imezidi

Thanks dada, maana nimepata mtu mwingine wa kushuhudia udhalimu wa huyu Nyamlani na Magoma, rushwa wanazochukua si mchezo.

Halafu jamaa hashindwi kukupeleka Segerea kama hujafika dau.

Nilishtuka sana kusikia anagombea peke yake last time kabla hawaja revise.
 
Last edited by a moderator:
Matola naomba niongeze kidogo tuuu juu ya Nyamlani.
mwaka jana kuna shostito wangu alikuwa na kesi pale mahakama ya kinondoni yy na mwendesha mashtaka wake Magoma walimwekea ngumu ya dhamana kisa tu mlungula haukuwa aloutaka, nakumbuka aliniweka lockup kwa masaa2 kisa nilimwambia yy sio hakimu ni mwizi anayetumia mahakama kuiba. shostito alipelekwa segerea na nikatumia mjanja kuliko yy akapata dhamana.

hongo yake huyu sii laki 2 usimwone hapo anaonyesha mwanya ni mwizi wa mahakama manake hata kama ni rushwa kwake huyu imezidi

Lakini mmemlea sana mlipaswa kumpa pesa za moto za Takukuru huyu ng'ombe angebaki historia tu.
 
Last edited by a moderator:
khaaaa Matola sikuwezi hivi hapo red ulilipuliza saa ngapi??
cc Dark City, CHUAKACHARA wakwetu mpooo!!
salam zimfikie Martha

Mbona unatuuzia kesi teacher??

Ila kwa hali ya mpira wa Bongo ulipofikia, tunahitaji mabadiliko ya kweli...

Naomba wajumbe watupatie mtu anayeweza kututoa hapa tulipo.

Pia naomba wadau watusaidie zaidi kuwajua wagombea.

Kama mtu hajawahi kusimamia program yoyote au kuendesha kampuni/taasisi/shirika successfully, basi huyo tumjue na kumweka kando!!
 
Back
Top Bottom