Nyambibo sio kwa mkorogo huu

Nyambibo sio kwa mkorogo huu

Duh hizi makeup sasa zinahamisha watu sayari ya dunia ya kawaida na kuwapeleka sayari mpya ya viumbe wasioeleweka[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mimi siamini JD hawezi fanya kitu hicho sema yawezekana mdogo wake au mshana jr. umefanya ile editing ambayo wengi wanafanya.

Hata mimi sikubali kuwa Jide anaweza kujichuna namna hii tena uzeeni [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]itakuwa ni makeup zisizojali uhalisia editing za macamera 360 na ndugu zake wengine.
 
Back
Top Bottom