Nyambibo sio kwa mkorogo huu

Nyambibo sio kwa mkorogo huu

Mimi siamini JD hawezi fanya kitu hicho sema yawezekana mdogo wake au mshana jr. umefanya ile editing ambayo wengi wanafanya.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kila siku zikisonga mbele wanaume tunazidi kuwa weusi na mabinti wanazidi kuwa weupe. Mchina anazidi kutuumbua[emoji13] [emoji13] Sitoshangaa siku nikikuta hata barabara nazo zinaanza kuwekewa lami nyeupe[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Back
Top Bottom