Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,679
- 4,382
Kule shinyanga kuna mgodi mpya umetema,yani mita 12 tuu unazoa mawe ya dhahabu!
Mkuu upo! Nchi tajiri sana hii we acha tu!
Kule shinyanga kuna mgodi mpya umetema,yani mita 12 tuu unazoa mawe ya dhahabu!
chunguza ni dini gani, waumimi wake wana izo tabia.. Utaibaini tu hiyo dini Mkuu! Ila mie sipo
Ukifuatilia historia ya hizi dini zinazotugombanisha utabaini kuwa zilishadadiwa na wanawake. Kwa uislamu tunaambiwa kuwa mfuasi wa kwanza aliyesababisha mtume muhammad kuieneza dini, alikuwa ni mkewe ambaye licha ya kuamini, alisponsor shughuli zote na alimhimiza mtume kuendelea na kazi ya kuhubiri.
Kwa upande wa ukiristo, tunaambiwa kuwa ni Maria Magdalena ndiye mfuasi mwaminifu aliyejitolea kumpaka mafuta yesu kaburini na ndiye alishuhudia kufufuka kwa yesu na kuutangazia umma kuwa amefufuka. Hawa wanawake wawili bila ya jitihada zao, pengine hizi dini zisingekuwepo.
Kwa hiyo unaamini kuna DINI ya kidume na Kike?huyo yuko sawa kabisa dini zimejaa vidomodomo na kutishiana@mkuu chiefmTz uko juu sana,
mimi sina dini yeyote maana naamini hizo ni tamaduni za watu kama zilivyo za kipogoro kwa hiyo bora nibaki mtanzania wa kipogoro.halafu hata quraan na biblia ni hadithi za kiyahudi na kiarabu.nawatakia mapigano mema kama mtazidi kutokutumia akili na hekima katika kujadiliana.Kwa hiyo unaamini kuna DINI ya kidume na Kike?
hiyo Avarter yako na jina ni tosha kabisa na hutatoka katika Mfumo Dume kwani umeshakuingia kutokana na Mapokeo ya Hadithi naomba uendelee hukohuko kwenye dini za kike