Nyama ya Afrika...

Nyama ya Afrika...

Mentor

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2008
Posts
20,335
Reaction score
23,951
377727_467426123323295_1271366031_n.jpg
 
Kupitia dini za kike
Wewe huna DINI au hujui zilianzia wapi maana kuna sahani ya Israel alikotokea Baba yake Isaac na Ishmail
Yaani umekaa kisharishari na kiuchokozi huwezi kuita DINI ya mwenzako ni ya Kike je ungezaliwa Mwanamke ungejisikiaje?
Huujui uumbaji
 
Mkuu, mimi nimeshtuka, tunakoelekea tutuharibu thread. mleta thread ana nia nzuri kabisa na wala hakuwazia masuala ya dini, tujadili hiyo picha pasipo kuingiza masuala ya dini, yule aliyeandika dini ya kike alinivutia nikaomba ufafanuzi, ila sasa nimeshtuka. na wewe shtuka.
 
Kule shinyanga kuna mgodi mpya umetema,yani mita 12 tuu unazoa mawe ya dhahabu!
 
Sasa wametenga sahani, uma na kisu. Ina maana wanakula ikiwa mbichi?
 
Halafu sasa Unakuta mtu na PHD yake Povu linamtoka eti Ukerewe kuna Markaz inafundisha UGAIDI Kisa Eti watu wanafanya Mazoezi ya Kukata TUMBO

ANGALIA MAGAIDI WALIVYO IZUNGUKA SAHANI Wanataka kuigaidi!!!!!!!!!!!!!!!!!

Tihi Tihi Tehe Tehe...............................,CHEZEA UJINGA WEWE
 
Umeandika tungo tata sana mkuu, nikuombe ufafanue kidogo kama hutojali(duu, hii inachekesha, dini za kike? teh, teh, teh)
Ukifuatilia historia ya hizi dini zinazotugombanisha utabaini kuwa zilishadadiwa na wanawake. Kwa uislamu tunaambiwa kuwa mfuasi wa kwanza aliyesababisha mtume muhammad kuieneza dini, alikuwa ni mkewe ambaye licha ya kuamini, alisponsor shughuli zote na alimhimiza mtume kuendelea na kazi ya kuhubiri.
Kwa upande wa ukiristo, tunaambiwa kuwa ni Maria Magdalena ndiye mfuasi mwaminifu aliyejitolea kumpaka mafuta yesu kaburini na ndiye alishuhudia kufufuka kwa yesu na kuutangazia umma kuwa amefufuka. Hawa wanawake wawili bila ya jitihada zao, pengine hizi dini zisingekuwepo.
 
Wewe huna DINI au hujui zilianzia wapi maana kuna sahani ya Israel alikotokea Baba yake Isaac na Ishmail
Yaani umekaa kisharishari na kiuchokozi huwezi kuita DINI ya mwenzako ni ya Kike je ungezaliwa Mwanamke ungejisikiaje?
Huujui uumbaji
huyo yuko sawa kabisa dini zimejaa vidomodomo na kutishiana@mkuu chiefmTz uko juu sana,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom