Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,807
- 105,008
Wanafyala na mapilipili.CCM ni wahuni.Chama cha Mumiani CCM hawachagui kitu cha kula, wanafyala tu
Kuna watu wanakula kila kitu isipokuwa MAWE tu
Na mawe yangelainika wangeongeza chumvi na kula
Mnasema mmestaarabika wenzenu wanafakamia kila kitu
Tulikamata kenge wanne na jamaa akaanza kuwachinja kwa kweli huyu kiumbe alinitisha alipoweka kiganja shingoni kuzuia kisu lakini wote walikula kisu
Moto ukakokwa lakini cha ajabu nyama inatetemeka hata baada ya kupikwa sana.
Unapakuwa bado inatetemeka
Popo nimeona watu wakila ukitembelea Bangkok na Burma na Philippines utaona mama ntilie wanauza popo na pia kuna wale mende wakubwa sio wa chooni
Huu izi nilidhani ni wa mshana...
Nilishawala ni watamu mpaka kisogoni!
Nilikuwa na mdada mmoja mwenyeji alikataa kula hotel akaniambia atakula kwa street vendorMende ni among richest sources za protein mkuu
Nilikuwa na mdada mmoja mwenyeji alikataa kula hotel akaniambia atakula kwa street vendor
Du niliona popo, vyura na nge pamoja na mende hao wakubwa.
Akaagiza chakula chake akachanganyiwa na mende akashusha na snake wine
Niliita taxi hapo hapo
Kuna siku ntakupa kisa cha demu wangu fyalafyalaWanafyala na mapilipili.CCM ni wahuni.
Hahahaha kuna wadudu wengine sio wa kujaribu.Hahah ungetest tu mkuu
Jaribu mamba niliwahi mla carnivore nairobi, mutamu sana,Popo, nyani, nyoka, mamba ni kitoeo kizuri katika baadhi ya sehemu. Haya ndiyo yaliyonifanya nishindwe kuolewa West Africa
Nilikaribishwa sehemu nilikataaJaribu mamba niliwahi mla carnivore nairobi, mutamu sana,
Ungejaribu ni kuliko mbuzi katolikiNilikaribishwa sehemu nilikataa
Nimeanza kutumia cotton buds kusafisha masikio. Naisubiri hiyo simulizi nishuhudie "fyalafyala" alivyojitunuku kitambi.Kuna siku ntakupa kisa cha demu wangu fyalafyala