Nyama safi ya popo.....

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
Ama wanasema tembea uone mengi na never say never. Wakati sehemu nyingi katika bara la Africa tunawachukulia popo kama viumbe vinavyohusishwa na imani za kishirikina na hata muonekano wake tu ni wa kuogofya kwa baadhi ya watu, katika baadhi ya maeneo ya bara la Asia kama Indonesia, mnyama huyu anatumika kama kitoweo maridhawa kabisa hususan wale wnaoitwa fruit bats,unaambiwa ni watamu mithili ya kuku sekela.
 
Hapana kwa kweli, sio kila ndege lazima aliwe.
 
Itakuwa hawajahi kuonja kuku hao ndo maana wanakula hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…