Nyama niliyokula sijui nitapike? Anyway, sikukusudia

Mi huwa sina miiko kwenye misosi. Konokono, mendw, farasi, punda, nyani, mbwa, kenge, huyo racoon wako, ngedere, ng'ombe, chair fire, bear na wengine unaowajua wewe kasoro nyau, wote ni chakula mradi wawe wameandaliwa vyema tu! Kichefuchefu kitakuua ugenini, talking from experience.
Niliwahi kwenda nchini burundi kwenye kongamano lililoshirikisha nchi za afrika mashariki,kila mlo tuliokuwa tunakula ulikuwa haukosi vifinyango vya nyama, wenzetu wanyarwanda na waganda walikuwa wanakwepa kutumia vifinyango hivyo ila wabongo tulikuwa tunakamua kama dawa, baadae baadhi ya marafiki zangu wanyarwanda wakaniuliza hiyo nyama unayokula unaifahamu? Nikawajibu kama sio ng'ombe ni mbuzi, wakacheka sana kisha wakanijibu hiyo ni nyama ya sokwe, imagine ilikuwaje?
 
Hiyo bab Kubwa aisee...matatizo yetu waafrika hatuko wawazi ktk kukielezea chakula. Unakaribishwa tu ukamue.
 
Mkuu Mkuu shushia na maji maisha yaendelee.
Nina kawaida ya kunywa maji asubuhi kabla ya kupiga mswaki lakini asubuhi ya usiku huo niliokula mnyama huyo ckunywa maji...kichefuchefu...NILIENDA KUPIGA MSWAKI KISHA NDO NIKAPIGA GLASI ZANGU TATU ZA MAJI.
 
duh, tuliwahi andaliwa nyama ya kenge, sondo, wale funza sijui niwaite wale hukaa ktk magome ya miti ,vindege visiesie wale na makaki,( ngedere ) hapo tu jirani, Lubumbashi Wantashi, asee eti hizo ndio mboga za heshma.
 
hahaaaah unanikumbusha supu ya wadudu sungusungu ni tamu sana asee,
 
duh, tuliwahi andaliwa nyama ya kenge, sondo, wale funza sijui niwaite wale hukaa ktk magome ya miti ,vindege visiesie wale na makaki,( ngedere ) hapo tu jirani, Lubumbashi Wantashi, asee eti hizo ndio mboga za heshma.
Mimi kenge nakamua kama kawa...ingawa sijawahi kumuonja.
 
ulizidi mno kila siku unaenda kula kwa mwenzio,
wangekulisha hata kiti moto, unafikiria ulaya ni sawa
na hapa bongo vyakula kibao.
 
ulikula nyau pori bro, pole,ni bora utapike kwa kweli.
Kile kitabu kilicholetwa baada ya maandishi makubwa RACCOON, waliandika pia kwa maandishi ya kukoleza American dog...HAPO NIKAJUA TAYARI MAMBO YAMEHARIBIKA
 
duh, tuliwahi andaliwa nyama ya kenge, sondo, wale funza sijui niwaite wale hukaa ktk magome ya miti ,vindege visiesie wale na makaki,( ngedere ) hapo tu jirani, Lubumbashi Wantashi, asee eti hizo ndio mboga za heshma.
Congo/Zaire ni noma...hawabagui, hata nyoka wanakamua.
 
nyama ni nyama tu mkuu, mwenye kujua jinsi ya kuandaa supu ya kenge naomba anielekeze..naish karibu na mto wananisumbua sana
 
As long as ulijichanganya mwenyewe haina mbaya..usijali mkuu
 
Back
Top Bottom