Nyama niliyokula sijui nitapike? Anyway, sikukusudia

Nyama niliyokula sijui nitapike? Anyway, sikukusudia

Fresh tuu mbona.
Hapo Dar watu wanagonga sana mishkaki ya paka, mbwa na mwewe.
 
duh, tuliwahi andaliwa nyama ya kenge, sondo, wale funza sijui niwaite wale hukaa ktk magome ya miti ,vindege visiesie wale na makaki,( ngedere ) hapo tu jirani, Lubumbashi Wantashi, asee eti hizo ndio mboga za heshma.
Mkuu mbona hizo vitu huku tunduma tunazikamua fresh tu..
 
Niliwahi kwenda nchini burundi kwenye kongamano lililoshirikisha nchi za afrika mashariki,kila mlo tuliokuwa tunakula ulikuwa haukosi vifinyango vya nyama, wenzetu wanyarwanda na waganda walikuwa wanakwepa kutumia vifinyango hivyo ila wabongo tulikuwa tunakamua kama dawa, baadae baadhi ya marafiki zangu wanyarwanda wakaniuliza hiyo nyama unayokula unaifahamu? Nikawajibu kama sio ng'ombe ni mbuzi, wakacheka sana kisha wakanijibu hiyo ni nyama ya sokwe, imagine ilikuwaje?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Oohoh pole sana yalinikuta Korea ile chakula sikumbuki inaitwaje, samaki mbichi na ubichi wake daah nikabadilisha sikuona aibu
 
Back
Top Bottom